Kataa dhuluma,pigania haki hata ukaishi masaa mawili you will be crowned in your next life.💪🏿💪🏿💪🏿💖🔥Kiongozi huu ni ubinafsi na hakuna sehemu utatupeleka.Nyanya itafika hiyo bei na mafuta yanaweza kuzidi hiyo bei ikiwa mtaendelea na mitazamo hii(Hivi mababu zetu(kwa nchi zilizopigania uhuru achana hii ya kupewa kwa hisani) wangesema tuache mkoloni afanye yake leo hii wewe si ungekuwa unaamushwa na kiboko ukalime kahawa au katani kwenye mashamba yao)
Hakuna anayependa maandamano au vurugu lakini watawala wakiwa na mioyo migumu unategemea nini(Ungekuwa mtoto wa Tundulissu au ndugu yake Pole pole au Mdude,kutaja wachache ungeyasema haya).
Maisha yetu ni magumu hata kama leo kwako ni mazuri nakuhakikishia kesho yatakuwa mabaya zaidi(Watu walishakufa siku nyingi wamebaki miili tu inatembea siku si nyingi utaona maiti zao).
Kuna sababu gani ya kuishi maisha marefu yasiyo na malengo(Kwamba utwambie uliishi miaka mia mbili lakini hakuna kitu ulikamilisha hapa duniani,inakusaidia nini?)
Kataa dhuluma,pigania haki hata ukaishi masaa mawili you will be crowned in your next life.
Asante na jumapili njema
Hivi haya maandamano yameitishwa na nani! Nasikia tu kuna maandamano! kuna Maandamano!jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii
Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
I think this is totally nonsense politically speaking 🐒jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii
Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
Kabisa, vinaondoka, na ogopa muoga akikapata ujasiri,Taratibu ule uoga na hofu vinaisha
.....Kuanzia asubuhi: Kusanyika katika vituo vikubwa vya magari, hakikisha katika vituo vyote vya magari, pikipiki, daladala, bajaji kuna kuwa na mikusanyiko mikubwa nchi nzima kila mtaa/kijiji, lengo ni kuhakikisha ulinzi wa pamoja, hakuna polisi aliyepanga kuua atakayeweza kushinda mtaa mzima, hii ni hatua muhimu kwa vijana wote nchi nzima...Kabisa, vinaondoka, na ogopa muoga akikapata ujasiri,
You're very right comrade..Tanzania ime-prove kwamba tuna viongozi ambao walitakiwa waongoze hii nchi kipindi cha stone age na sio kwa wakati huu.
Hivi unapata wapi nguvu ku-parade wanajeshi mitaani kwa kitishio cha maandamano ambayo kiongozi hajulikani.Na kama kiongozi hajulikana wa maandamano maanake yake ni kwamba watu wamejipanga kupiga ambush sio,sasa kama ni ambush huwa haina mjanja ukiwahiwa umekwisha(akawaulize wanajeshi wanao kwenda kwenye mission za ulinzi wa amani ambush ni nini)
Aiseee 🥲You're very right comrade..
Lakini pia watu tumeshindwa tu kuisoma psychology ya viongozi wa serikali hii haramu..
Kwa mtu yeyote mwerevu atajua mara moja kuwa, kinachowahangaisha watawala hawa kiasi cha kupaniki hivi, sio usalama wa taifa/nchi na wananchi...
Bali HOFU na WOGA wao huu umejengwa katika kujaribu kuhami na kulinda mali zao. Uharibifu wa 29/10 ulikuwa mkubwa sana na wengi wana hasira mno na kitu chochote kinachoitwa mikusanyiko wenye sura ya maandamano..
Na mtu yeyote akifanya utafiti kidogo tu atagundua mara Moja kuwa utajiri zaidi 95% wa matajiri wa nchi hii ni wa wafanyabiashara walio serikalini, CCM na wenye ushirika na viongozi wa serikali..
Tazameni kwa umakini demeanor ya Mwigulu Nchemba anapoongea kujaribu ku - address ishu ya maandamano...
Asiyejua anaweza kudhani anayasema hayo kwa sababu ni kweli yeye na wenzake Wana nia ya kulinda usalama wa maisha ya watu/wananchi...
Ni waongo na wanafiki hawa kwa 1,000%....!!
Ukweli ni kuwa, wanahofia usalama wa mali zao na za washirika wao waliozipata kwa wizi na uporoji wa masikini wa nchi hii kupitia mifumo ya kiserikali...!
Ule mtekenyo wa 29/10/2025 na siku zilizofuata kwa mali zao kushambuliwa na kuharibiwa huku baadhi wakizikimbia familia zao na kujificha kusikojulikana kwa kuwa umma ulikuwa unawasaka wauwawe, uliwa - paralyze na kuwashitua wengi...
Trust me, baadhi walikufa kwa pressure na wengine wame - paralyze mpaka leo...!!
jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii
Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
Tuache hilo la wao kupanick, utaandamana kama unavyoambiwa na ,aria sarungi au?!!🤣🤣🤣Wamepanick aisee sijui wanacho ogopa ni nin kama wao wanatenda haki..
Bila shaka utaandamana kamanda nyumbu wetu wa ukweli, au sio?!!!Kunguru sasa wanavyotoa vitisho na sauti zao kwa kwa kwa huku wanapaa na hapo ni wamesikia mruzi tu😄😄😄
Ahsante kwa kuwafariji nyumbu. Enhe, utaandamana kamanda nyumbu au?!!!Tanzania ime-prove kwamba tuna viongozi ambao walitakiwa waongoze hii nchi kipindi cha stone age na sio kwa wakati huu.
Hivi unapata wapi nguvu ku-parade wanajeshi mitaani kwa kitishio cha maandamano ambayo kiongozi hajulikani.Na kama kiongozi hajulikana wa maandamano maanake yake ni kwamba watu wamejipanga kupiga ambush sio,sasa kama ni ambush huwa haina mjanja ukiwahiwa umekwisha(akawaulize wanajeshi wanao kwenda kwenye mission za ulinzi wa amani ambush ni nini)
Hahahaa. Serikali yote imeandamanishwa bila kupenda. Tena wao wameanza kuandamana mapema sana. Km lengo lilikuwa maandamani basi limetimia.Sidhani kama matokeo ya hapa yanaweza kukupa uhalisia wa mitaa.
Nachojua kama kuna watu walikuwa sehemu ya maandamano ya october 29 kutoka humu hawazidi 50.
Sema ninachofurahia serikali ina watu wa hovyo kweli.Just imagine nguvu wanayotumia kujaribu kuzuia maandamano ambayo hayana kiongozi na dhima ya kuandamana zaidi tu ya kila mtu kusikia kwenye mitandao