Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Mdogo wangu yuko katika kilele cha balehe, sasa hakwenda shule, jana niliambiwa anaumwa, leo najuzwa kua ni ashki zimemshika sana kiasi cha kuona kuumwa. Kwakua ni mambo ya kike, na siwezi ongea nae moja kwa moja wala yeye hawezi kuniambia mimi ila nawaza huu sio ugonjwa kweli au ni kawaida kwa balehe? She is 17, Am sure hakuwahi fanya sex.