Hisia zako zilikuwaje?

Jamani jipange sawa sawa - Kaza mwendo mbele tililili (By Rose Muhando)
 
ah ah ah jipe moyo utayashindaaaaaaaaa,c unaona habishi?
Mie mtu mzima.sitishiwi nyau my dia,mtoto mwenyewe bado kuzaliwa..Atazunguka weeee lakini lazima kwangu ndio makao makuu yake!
NAJIAMINI NAPENDWA!
 
Dah! Basi ngoja nife na tai yangu shingoni tu! πŸ™‚

By the way hako katoto kwenye Avatar hakajaanza kukaa kenyewe tu, naona bado unakasapoti na Mito teh teh teh
 
Nani anafahamu huyu NYIVONDUMA SIR yukoje am curious to know
 
Fidel80: Huyu ninavyohosi ni muongeaji sana Nyuma ya Laptop, lakini mbele ya totoz Mdogo unaganda, nahisi wanafanana kisifa na Masanilo,

Hehehehe haya bana lakini nakukumbusha Simba mwenda pole.............
 
you sound kama yalinikuta juzi nikaishia kuvaa nguo ya church......

jamani kesho ifike basi fasta.....
na wewe nimekumis ....ona sasa unaniponza natoa siri hapa!!

Nimekumiss pia darling we should get together sometime si mpaka Geoff awe anaoa ndo tunaonana you know
 
Nimekumiss pia darling we should get together sometime si mpaka Geoff awe anaoa ndo tunaonana you know

true......tena sasa is more relaxing that mipango na mikakati.....you know!!!
let it be soon!!!!!
 
hahaaa sema ukweli Masaki....ukekabem.......................hahaaaaa!!!

am sorry to anika the truth!!!

Hapo kwenye red nimefuatilia kwa daktari kasema hakuna kitu kama hicho! πŸ™‚ Kudumisha mila ni kwa kwenda mbele!
 
Mamushka mbona umesahau kale kaneno ketu samahani kama nimekukwaza?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Samahani kama nimekukwaza!

hahaa hapo juu kalamu yako iliisha wino biggy??
 
Hapo kwenye red nimefuatilia kwa daktari kasema hakuna kitu kama hicho! πŸ™‚ Kudumisha mila ni kwa kwenda mbele!

Jesus Christ
huyo Jr.....atakaa kw asapoti ya mito mpaka 2013
samahani kama nimekukwaza though.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…