Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Afu weweeee! LOLZ!ah ah ah yuko hapa now anambembeleza mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu weweeee! LOLZ!ah ah ah yuko hapa now anambembeleza mtoto
Mie mtu mzima.sitishiwi nyau my dia,mtoto mwenyewe bado kuzaliwa..Atazunguka weeee lakini lazima kwangu ndio makao makuu yake!ah ah ah yuko hapa now anambembeleza mtoto
Wewe ndiye wa Kwanza kulalamika Mkuu teh teh teh teh
Dah! Basi ngoja nife na tai yangu shingoni tu! 🙂
By the way hako katoto kwenye Avatar hakajaanza kukaa kenyewe tu, naona bado unakasapoti na Mito teh teh teh
Fidel80: Huyu ninavyohosi ni muongeaji sana Nyuma ya Laptop, lakini mbele ya totoz Mdogo unaganda, nahisi wanafanana kisifa na Masanilo,
ndie atamtafuna Azam Jpili.........sorry kwa offtopicHehehehe haya bana lakini nakukumbusha Simba mwenda pole.............
ndie atamtafuna Azam Jpili.........sorry kwa offtopic
Pole kaka mkubwa Fidel na adau wenzako wa jangwa kwa kipigo cha LupopobawaHehehehe lol samahani mm mtu wa Jangwani lol
you sound kama yalinikuta juzi nikaishia kuvaa nguo ya church......
jamani kesho ifike basi fasta.....
na wewe nimekumis ....ona sasa unaniponza natoa siri hapa!!
Nimekumiss pia darling we should get together sometime si mpaka Geoff awe anaoa ndo tunaonana you know
Bado mkuu, kanadeka sana! 🙂
Ha ha haaa au mmeKabemenda? LoL!
hahaaa sema ukweli Masaki....ukekabem.......................hahaaaaa!!!
am sorry to anika the truth!!!
Mamushka mbona umesahau kale kaneno ketu samahani kama nimekukwaza?😀😀😀
Samahani kama nimekukwaza!
Hapo kwenye red nimefuatilia kwa daktari kasema hakuna kitu kama hicho! 🙂 Kudumisha mila ni kwa kwenda mbele!