Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

Hahahahaha dah nimecheka mpaka basi leo nakuandalia mzinga wa Konyagi kabisa.
Kwa sasa umenitia hamu ngoja niende nikasuuze koo maana umenichekesha sana.

Fidel utanifanya nionekane mlevi mwenzio jamani ushindwe na ulegee kabisa. Kasuuze koo kaka yangu
 
Fidel utanifanya nionekane mlevi mwenzio jamani ushindwe na ulegee kabisa. Kasuuze koo kaka yangu

Si nakuonjesha hizo Coca Cola zitakuvimbisha miguu hiyo shauri yako kunywa Nyagi kwa afya.
 
Fidel ni mtu mcheshi sana, mwongeaji (maneno mengi kweli kama konda wa daladala). Fidel ni MKAKA kwa wale new members wa JF ambao hamjamfahamu bado. Fidel kwa urefu ana kimo cha kawaida na si mnene wala mwembamba. "Mlevi kupindukia" (xspin, geoff na kaizer wanapoteza mdogo wetu huyu). Fidel anapenda wadada sana (hajanitokea mpaka sasa sijui anasubiri nini we fidel hebu fanya the needful). Fidel bwana fidel ni fidel there will be no else like fidel. Mwisho, Fidel yuko single and searching for his soulmate bado.........
icon10.gif

Dada FL1 huyo ndo Fidel80 wa JF
Hapo kwenye bold ndipo unapokosea. Hatumpotezi bali tunamkomaza. Hapo red, tatizo we ulikataa mitala. Kijana haridhiki na mmoja. Hiyo naweza kuapa mkitaka.

Hahahahaha dah nimecheka mpaka basi leo nakuandalia mzinga wa Konyagi kabisa.
Kwa sasa umenitia hamu ngoja niende nikasuuze koo maana umenichekesha sana.
Mshiki amegonga Ikulu ndogo ya Chamwino. Amesahau tukutuku na Udumishaji mila kubwa.

Napata picha mbili kwa mpigo hapo!!!
Hahaha! Moja ya rangi na nyingine black and white. Mseminaristi hapo chini kashaelewa. Hebu msome.

Nimekusoma.
Ndio matunda ya kufaulu theolojia mkatekumeni.
 
😀😀😀 We JS umeanza kuvuta bangi eh?

Mmmmh MJ1 hivi humu ndani hamna polisi kweli maana anaeza akadhani navuta kweli akaja kunikamata. Sivuti dada yangu afya yenyewe hii mgogoro mtupu nikivuta itakuwaje???????
icon10.gif
🙄🙄
 
charity mdada,mpole,mnyenyekevu mcha mungu(ingawa hafungi),mpenda familia
You must be genius.au una kaushehe yahaya kidogo.Itabidi nianze kufunga kumuombea Fidel,Xpin,Geoff n.k waache valua na milas.
 
yani mm hata sielewi bana but ngoja nimwambie G,xpin,kaizer,maskai,buji etc wanaonifaham waseme ukweli
Mbona mnatuchanganya? mara pearl dume mara jike.....mshindwe.
 
Mbona mnatuchanganya? mara pearl dume mara jike.....mshindwe.

TOLU babaangu (wacha niongee kiarusha sasa) usijichanganye twin wangu Pearl ni SHE rijali.......sawa babaa!! (hivi wee ni He btw?)
 
mpenda neno,Mungu,mbishi sanaaaaaaaaaaaaa,mkaka na heshima unazo japo kiduchu(joking)ah ah ah
nipe na ww wasifu wangu,zen umesema mm dume watu hawaelewi bana
@ pearl
nipe wasifu wangu
 
leo umeamkaje na kushinda jeee??? hahaaaaa lol!!! natamani ingekuwa ijumaa vile???

Leo kwa kweli niliamka kiaina umeme ukawa haupo tukutuku ikagoma kuwaka basi tabu tupu nikaja JF nikasuuzika moyo kama kawaida. Ndugu zangu nyie mnanisahaulishaga shida za dunia hii.
Ingekuwa ijumaa ingekuwa balaa aau sio BHT??

Xspin kesho wapi?? au nikusemelee na wewe hisia zangu kwako???
 
😀😀😀 We JS umeanza kuvuta bangi eh?
Inawezekana. Siku mojamoja dada yangu huyu huwa anazibua ubongo kwa bange.

leo umeamkaje na kushinda jeee??? hahaaaaa lol!!! natamani ingekuwa ijumaa vile???
Nshakuambia dada kalipuliza leo. Kama unabisha msome huyu hapa chini ambaye ndio huwa anamuuzia.

Hahahahaha JS leo kavuta bange ya Malawi sio ya Tarime hahahaha

charity mdada,mpole,mnyenyekevu mcha mungu(ingawa hafungi),mpenda familia
Hapo umepatia kabisaaa. Na Senksi umekula. Ni Mrs wangu yule kwahiyo namjua fika, nje na ndani.
 
Hapo kwenye bold ndipo unapokosea. Hatumpotezi bali tunamkomaza. Hapo red, tatizo we ulikataa mitala. Kijana haridhiki na mmoja. Hiyo naweza kuapa mkitaka.

Mshiki amegonga Ikulu ndogo ya Chamwino. Amesahau tukutuku na Udumishaji mila kubwa.

Hahaha! Moja ya rangi na nyingine black and white. Mseminaristi hapo chini kashaelewa. Hebu msome.

Ndio matunda ya kufaulu theolojia mkatekumeni.

hivi wats wrong or right with wasemanarist (au ex waseminari) hapa.....mnavitabia fulani hivi sivielewagi kama Fidel
 
Back
Top Bottom