bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
kama sio member ulijuaje hao huwa wanenda pale?
ni njiani nayeye ni konda wa dalalala kila siku anapita hapo.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama sio member ulijuaje hao huwa wanenda pale?
Hahahahaha dah nimecheka mpaka basi leo nakuandalia mzinga wa Konyagi kabisa.
Kwa sasa umenitia hamu ngoja niende nikasuuze koo maana umenichekesha sana.
Umeongea ukweli mtupu,dah!Ila hapo kwenye red nadhani yeye ndiyo mwalimu.
Fidel utanifanya nionekane mlevi mwenzio jamani ushindwe na ulegee kabisa. Kasuuze koo kaka yangu
Hapo kwenye bold ndipo unapokosea. Hatumpotezi bali tunamkomaza. Hapo red, tatizo we ulikataa mitala. Kijana haridhiki na mmoja. Hiyo naweza kuapa mkitaka.Fidel ni mtu mcheshi sana, mwongeaji (maneno mengi kweli kama konda wa daladala). Fidel ni MKAKA kwa wale new members wa JF ambao hamjamfahamu bado. Fidel kwa urefu ana kimo cha kawaida na si mnene wala mwembamba. "Mlevi kupindukia" (xspin, geoff na kaizer wanapoteza mdogo wetu huyu). Fidel anapenda wadada sana (hajanitokea mpaka sasa sijui anasubiri nini we fidel hebu fanya the needful). Fidel bwana fidel ni fidel there will be no else like fidel. Mwisho, Fidel yuko single and searching for his soulmate bado.........![]()
Dada FL1 huyo ndo Fidel80 wa JF
Mshiki amegonga Ikulu ndogo ya Chamwino. Amesahau tukutuku na Udumishaji mila kubwa.Hahahahaha dah nimecheka mpaka basi leo nakuandalia mzinga wa Konyagi kabisa.
Kwa sasa umenitia hamu ngoja niende nikasuuze koo maana umenichekesha sana.
Hahaha! Moja ya rangi na nyingine black and white. Mseminaristi hapo chini kashaelewa. Hebu msome.Napata picha mbili kwa mpigo hapo!!!
Ndio matunda ya kufaulu theolojia mkatekumeni.Nimekusoma.
Mbona mnatuchanganya? mara pearl dume mara jike.....mshindwe.kuhusu pearl umempatia kweli ni mpole mcheshi mjasiriamali kwelikweli yani kama dume
Fide ni mkufunzi sio mwalimu......
😀😀😀 We JS umeanza kuvuta bangi eh?
Mbona mnatuchanganya? mara pearl dume mara jike.....mshindwe.
You must be genius.au una kaushehe yahaya kidogo.Itabidi nianze kufunga kumuombea Fidel,Xpin,Geoff n.k waache valua na milas.charity mdada,mpole,mnyenyekevu mcha mungu(ingawa hafungi),mpenda familia
Hahahahaha utasikiaje siku ukiambiwa Fidel ameokoka na amekuwa mchungaji wa kondoo walio nona.
yani mm hata sielewi bana but ngoja nimwambie G,xpin,kaizer,maskai,buji etc wanaonifaham waseme ukweli
Mbona mnatuchanganya? mara pearl dume mara jike.....mshindwe.
leo umeamkaje na kushinda jeee??? hahaaaaa lol!!! natamani ingekuwa ijumaa vile???
Inawezekana. Siku mojamoja dada yangu huyu huwa anazibua ubongo kwa bange.😀😀😀 We JS umeanza kuvuta bangi eh?
Nshakuambia dada kalipuliza leo. Kama unabisha msome huyu hapa chini ambaye ndio huwa anamuuzia.leo umeamkaje na kushinda jeee??? hahaaaaa lol!!! natamani ingekuwa ijumaa vile???
Hahahahaha JS leo kavuta bange ya Malawi sio ya Tarime hahahaha
Hapo umepatia kabisaaa. Na Senksi umekula. Ni Mrs wangu yule kwahiyo namjua fika, nje na ndani.charity mdada,mpole,mnyenyekevu mcha mungu(ingawa hafungi),mpenda familia
Hapo kwenye bold ndipo unapokosea. Hatumpotezi bali tunamkomaza. Hapo red, tatizo we ulikataa mitala. Kijana haridhiki na mmoja. Hiyo naweza kuapa mkitaka.
Mshiki amegonga Ikulu ndogo ya Chamwino. Amesahau tukutuku na Udumishaji mila kubwa.
Hahaha! Moja ya rangi na nyingine black and white. Mseminaristi hapo chini kashaelewa. Hebu msome.
Ndio matunda ya kufaulu theolojia mkatekumeni.