Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

Nani anafahamu huyu NYIVONDUMA SIR yukoje am curious to know

Nguli hukujibu nilipouliza nini maana ya Nyivondima???
am curious too!!!! afu tangu asubuhi umni-ignore..ntakuanzishia thread na wewe!!!
 
Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano watu niliowasiliana nao na tumeonana/hatujaonana:
Geoff: niliisi ni mtu mnene,mrefu,mpole,mcheshi
Xpin: mtundu,mchokozi,mcheshi
kaizer: mchokozi,mcheshi,mrefu,mwembamba
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
Bht: mcheshi,muongeaji,zais ya kati,lady with dignity n principoz
Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae,
Masaki :mcheshi,mkaka
Ngoswe: mcheshi,mpenda kabila lake,anapenda kusoma
Huu ni mtazamo wangu tu kuna ambao nimekutana nao ni kweli wako hivyo wengine hatujakutana nadhani wako hivyo au kuna tofauti kidogo,je na ww kuna yyte hapa JF uliekutana nae/hujakutana nae unahisi yukoje/ulihisi yukoje,je hisia zako zilikuwa kweli?

Kwa maono yangu,

Pearl ni mtoto wa Lundenga (mnyange fulani) ila mtata sana, kwa kauli na vitendo! Anahitajika jinius kuvuta mzigo vinginevyo mtu anaweza kuvutwa masikio!
 
Kwa maono yangu,

Pearl ni mtoto wa Lundenga (mnyange fulani) ila mtata sana, kwa kauli na vitendo! Anahitajika jinius kuvuta mzigo vinginevyo mtu anaweza kuvutwa masikio!

hahaaaa DC wal ahujakosea......
 
umepataaaaaaaaaa,kwa maoni yangu ww ni mbishi yani lazima uone ndo uamini,but mcheshi ,mpole,caring etc
Kwa maono yangu,

Pearl ni mtoto wa Lundenga (mnyange fulani) ila mtata sana, kwa kauli na vitendo! Anahitajika jinius kuvuta mzigo vinginevyo mtu anaweza kuvutwa masikio!
 
Mtoa mada naomba utuwekee sifa za

MJI- Wise lady
Nyamayao-Babla
Balantanda...
Vivian....
Nguli
Burn...
Preta
Carmel ...
JS...
MKjj huyu hatabiriki..
naendelea ..

Heheeee...muulize wifi yako bht atakueleza sifa zangu kwa PM
 
umepataaaaaaaaaa,kwa maoni yangu ww ni mbishi yani lazima uone ndo uamini,but mcheshi ,mpole,caring etc

Kwani kuwa Thomaso ni vibaya?

Ila wewe mhhh, ningekuwa bado vacant ningejiuliza mara mia mia kabla ya kutia timu! Na hayo maandishi yako yaonesha kuwa majibu yako ni short short! Ni hatari tupu. Yaani nakuogopa, labda nikiona ndo naweza kubadili hii kichwa yangu!!
 
kwa maono yangu,

pearl ni mtoto wa lundenga (mnyange fulani) ila mtata sana, kwa kauli na vitendo! Anahitajika jinius kuvuta mzigo vinginevyo mtu anaweza kuvutwa masikio!
mtu kama mimi hivi,ingependeza
 
hivi wats wrong or right with wasemanarist (au ex waseminari) hapa.....mnavitabia fulani hivi sivielewagi kama Fidel
Wacha mungu
wana upendo wa agape
wanawapenda watu
Wanamwogopa Mungu
Wanaona miujiza ya Mungu katika uumbaji wake
Wapenda amani na furaha ---kinywaji kinahusika hapa
 
Wacha mungu
wana upendo wa agape
wanawapenda watu
Wanamwogopa Mungu
Wanaona miujiza ya Mungu katika uumbaji wake
Wapenda amani na furaha ---kinywaji kinahusika hapa

hahaaaa naona hapo wino umeisha B!!!!
 
Wacha mungu
wana upendo wa agape
wanawapenda watu
Wanamwogopa Mungu
Wanaona miujiza ya Mungu katika uumbaji wake
Wapenda amani na furaha ---kinywaji kinahusika hapa
baho baho baho muyangu😀😀
 
Nnachojua mimi MWANAKIJIJI ni mtu wa siasa lakini sasa hivi amekuwa mtunzi wa mashahiri na riwaya za mapenzi kwa sababu amepata 'dogo dogo'.

hahahahah... Ndiba labda umeingia hivi majuzi.. unachoona nafanya leo nimekuwa nikifanya tangu akili ziliponiangia. Sasa hawa dogodogo labda ni ma muse tu wa maisha..
 
aya!!! sasa ndio nini.. nimeshaadhibiwa mara moja.. sasa mnataka kuvunja ndoa za watu...

MMK huelewki in the sense that we ni kiraka!!

mwambie bibi apunguze mikwara siku moja moja mvalie sura ya kazi bana aaaah!!!
 
Back
Top Bottom