Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Ni zile rangi pendwa black man… napenda mwanaume mweusi kwasababu mimi ni mweupe so I don’t like white
man
Hapa huwa pananichanganya maana wanaume weusi wamejaa tele mtaani wanalalamika hawapati mademu kisa rangi zao lakini wanaume weupe wanashobokewa na mademu.

Kiukweli huwa nashindwa kuelewa ukweli wa hili maana iweje wanaume wanaoongoza kuwa single ni weusi wakati huo huo weupe wana date na mademu kibao kwa wakati mmoja.

Binafsi ni mweupe na nina mademu wanne wa kupumzikia japo wao wanajua nina future nao na wawili wanafahamiana kama nadate nao huwa wanapigana mikwara lakini hayupo aliye tayari kuachia ngazi.

Wanawake buana! Wanakwambia wanapenda mwanaume mweupe lakini wakitaka kuzaa wanataka watoto weupe.
 
Huyo hakupendi usije jilengesha...endelea kuomba Mungu atakupa wako atayekupenda
Mwanaume akipenda anafanya vitu willingly wala hutatumia force

Sawa mama ngoja nivae moyo wa chuma
 
Unavyoonekana atakunyandua tuu,anakuvutia Kasi!
 

Sijui kwa wengine but mimi sivutiwi na ninyi rangi nyeupe kwasababu mm ni mweupe haswa so kwa wengine sifahamu
 
Nimekuelewa.. itabdi nikija ofisin kwako tuongee vzr but punguza kunilegezea Macho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…