Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

hapa!! hakuna mwanamke,
"drAma_@_work''
*anyway
fanya unachotaka, penda unachofanya. ongea na roho yako.
 
Tatizo hivyo vimaneno vya uchokozi na attention mnatuvuruga sasa mtu anakwambia i feel good around you[emoji4][emoji4] mara i miss u hata kama hamaanishi inafanya mimi naweka attention nikisubiri mtongozo halafu kimya daah so sad [emoji174]
 
Ukiwa na hela na cheo wanawake wanachanganyikiwa kwa kweli kama una mapenzi ya kweli wabeba taka huwaoni mtaani sema umependa pesa tu mambo ya black sijui boss ni mbwembwe tu .
 
Ukiwa na hela na cheo wanawake wanachanganyikiwa kwa kweli kama una mapenzi ya kweli wabeba taka huwaoni mtaani sema umependa pesa tu mambo ya black sijui boss ni mbwembwe tu .

Hata wewe una type ya wanawake unao wataka haichukui nafasi ya daktari kukushauri uwaache hao unaowataka uende kwa usiowataka

Mazingira ndio yanakukutanisha na watu
 
Map
Tatizo hivyo vimaneno vya uchokozi na attention mnatuvuruga sasa mtu anakwambia i feel good around you[emoji4][emoji4] mara i miss u hata kama hamaanishi inafanya mimi naweka attention nikisubiri mtongozo halafu kimya daah so sad [emoji174]
Hakuna shule ya MAPENZI ndio maana hata vikongwe vinaachana pambana na hali yako
 
Tatizo hivyo vimaneno vya uchokozi na attention mnatuvuruga sasa mtu anakwambia i feel good around you[emoji4][emoji4] mara i miss u hata kama hamaanishi inafanya mimi naweka attention nikisubiri mtongozo halafu kimya daah so sad [emoji174]
Inategemea na response yako
Kama nikikwambia I miss you we unanijibu "Nashukuru" au "thanks"
Kwa watu wenye hulka kama yangu nakupotezea hata kama nlitaka kukutongoza nabadili mada na sitarudia tena kukwambia maneno mazuri
 
Unajua sisi wanaume tunajuana.. alafu kuna mbinu zingine ili ww ufikie malengo huna budi kumfata wa kiume mwingine ili afanye drama wewe uwe subjected...

Sasa ili jambo liwe oky naomba nijue upo wapi ..?
 
Dah pole miezi saba tu kisim Kimeshaanza kupwita?aaaah kubwa makini huyo ni bwana wa mtu labda kama unataka akutimizie tu haja zako za kimwili Fake P
Mama mchungaji ni wewe umetype hii comment? au account yako ya jf imehakiwa!

BTW nimependa neno kisim 😃 Hope urassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…