Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Kweli, kwa sababu wengi wao uona kama matajiri ndio chanzo cha umaskini wao.Viol,
Maskini wengi wana hasira!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli, kwa sababu wengi wao uona kama matajiri ndio chanzo cha umaskini wao.Viol,
Maskini wengi wana hasira!
Unaweza kuwa tajiri wa mali, lakini ukawa na mawazo ya kimaskini. Na kuna maskini wa roho pia. Huenda mojawapo kati ya hayo analo.Ndugai ni maskini?!
Ni baadhi yao, tena wale wasiojitambua na wanaoona wameshafika.Siku zote waliotoka katikamaisha ya namna iyo wakitoboa maisha huwa na jeur, visirani, hasira etc
Huo unaitwa ushamba.Japo ndani ya masaa 24 yajayo mh Job Ndugai atakuwa siyo Spika tena lakini ametuaga akiwa ametutegulia kitendawili.
Tuliosoma zamani tunajua namna watoto wa maskini walivyojihisi unyonge mbele ya watoto wa maofisa wa serikali achilia mbali wafanyabiashara.
Kama Ndugai hadi anaingia Chuo alikuwa bado ni maskini basi yawezekana wakati akiwa sekondari hali yake ilikuwa mbaya zaidi.
Fikiria wakati huo ndio yuko shule moja na mtoto wa mmiliki wa Mbowe Hotels iliyopo jijini Dsm lazima alijisikia unyonge mara dufu.
Na yeye Freeman watoto wa matajiri hata wakifaulu walisoma shule za private Shaban Roberts Dsm au The Highlands kule Iringa siyo kwenda kujimwambafy kwenye shule za watoto wa wakulima.
Waswahili walisema aliye juu mngoje chini ndio hiyo sasa rungu la Job limesambaratisha Ufipa yote, kisa bifu za sekondari.
Nawatakia wabunge wote vunja jungu njema usiku wa leo.
Maendeleo hayana vyama!
Leo Job Ndugai spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania, anetoa ya moyoni na kuwaaga wabunge akiashiria kumalizika kwa bunge katika kipindi chake cha uongozi.
Kati ya mambo aliyoyaeleza ni:
1. Historia fupi ya maisha yake;
-alipozaliwa
-shule ya msingi aliyosoma
-hali halisi ya mazingira aliyokulia
-maisha yake ya chuo kwa ufupi nk
2. Mafanikio yake kwa kupewa sapoti na raisi
3. Familia yake na hali yake ya kiafya aliyopitia.
4. Mwisho akawaaga wabunge wenzake.
Ninakutakia mema huko uendako na ukavune sawa na kazi ya mikono, ulimi na matendo yako
AMEN
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka umesoma hitimisho langu...karma ikafanye kazi yake.Aende zake akafie mbali. Hana legacy yeyote aliyeiacha zaidi ya UDHAIFU wa kiakili na kiuongozi. Hovyooo kabisa.
Leo Job Ndugai spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania, anetoa ya moyoni na kuwaaga wabunge akiashiria kumalizika kwa bunge katika kipindi chake cha uongozi.
Kati ya mambo aliyoyaeleza ni:
1. Historia fupi ya maisha yake;
-alipozaliwa
-shule ya msingi aliyosoma
-hali halisi ya mazingira aliyokulia
-maisha yake ya chuo kwa ufupi nk
2. Mafanikio yake kwa kupewa sapoti na raisi
3. Familia yake na hali yake ya kiafya aliyopitia.
4. Mwisho akawaaga wabunge wenzake.
Ninakutakia mema huko uendako na ukavune sawa na kazi ya mikono, ulimi na matendo yako
AMEN
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaonea huruma wanae na mkewe wakati akiwatambulisha, kuwa na mzazi mwenye matendo kama yake unatamsni umkaneKwa jinsi alivyoshindwa kuongoza Bunge Oct 2020 HATOBOI.