Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Andunje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuatilie uone utajiri alionao leo huyo ndugai,unatokana na kufanya biashara gani?Alisoma kwa shida,akaajiriwa tanapa na ndani ya utumishi wake akawa fogo ndipo akaenda kwao na kupata ubunge,baadaye naibu spika hadi uspika.Ndugai ana pepo la ufukara ndio maana ana chuki na wenye mafanikio kuliko yeye
Huenda alifadhiliwaHuyo jamaa mnafiki sana, masters kasoma ESAM Arusha? Unajua gharama yakusoma pale hata cheti tu? Eti masikini?
Hapana mkuuhiyo heading imenishtua mno
nikahisi kajamaa kame raipi in peace
Kwa awamu hii sidhani, mtenda haki bila sapoti ya mkuu hatadumu piaAlidhani atabaki milele pale mjengoni, asepe zake aje Spika mtenda haki kwa Taifa lake.
Assad alikuwa sahihiSpeaker alie liharibu bunge Yani bunge lilikosa nguvu na mvuto
Bashite.......all the way from KOLOMIJE! 😀Alidhani atabaki milele pale mjengoni, asepe zake aje Spika mtenda haki kwa Taifa lake.
Kilometers 80 ndo ukamanda huo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona mnapenda mtu atangulie kule hivi?Nikajua labda namna gani, kumbe kamaliza bunge
Japo ndani ya masaa 24 yajayo mh Job Ndugai atakuwa siyo Spika tena lakini ametuaga akiwa ametutegulia kitendawili.
Tuliosoma zamani tunajua namna watoto wa maskini walivyojihisi unyonge mbele ya watoto wa maofisa wa serikali achilia mbali wafanyabiashara.
Kama Ndugai hadi anaingia Chuo alikuwa bado ni maskini basi yawezekana wakati akiwa sekondari hali yake ilikuwa mbaya zaidi.
Fikiria wakati huo ndio yuko shule moja na mtoto wa mmiliki wa Mbowe Hotels iliyopo jijini Dsm lazima alijisikia unyonge mara dufu.
Na yeye Freeman watoto wa matajiri hata wakifaulu walisoma shule za private Shaban Roberts Dsm au The Highlands kule Iringa siyo kwenda kujimwambafy kwenye shule za watoto wa wakulima.
Waswahili walisema aliye juu mngoje chini ndio hiyo sasa rungu la Job limesambaratisha Ufipa yote, kisa bifu za sekondari.
Nawatakia wabunge wote vunja jungu njema usiku wa leo.
Maendeleo hayana vyama!
Leo Job Ndugai spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania, anetoa ya moyoni na kuwaaga wabunge akiashiria kumalizika kwa bunge katika kipindi chake cha uongozi.
Kati ya mambo aliyoyaeleza ni:
1. Historia fupi ya maisha yake;
-alipozaliwa
-shule ya msingi aliyosoma
-hali halisi ya mazingira aliyokulia
-maisha yake ya chuo kwa ufupi nk
2. Mafanikio yake kwa kupewa sapoti na raisi
3. Familia yake na hali yake ya kiafya aliyopitia.
4. Mwisho akawaaga wabunge wenzake.
Ninakutakia mema huko uendako na ukavune sawa na kazi ya mikono, ulimi na matendo yako
AMEN
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo huo nao ni mwendo mkuuuakafie mbali huko. hakuna mwendo wowote alioumaliza
pyumbaaaav dhake
Amekuwa muungwana kutwambia kwanini ana hasira hasira hasa linapokuja swala la kushughulika na Mbowe na kundi lakeJapo ndani ya masaa 24 yajayo mh Job Ndugai atakuwa siyo Spika tena lakini ametuaga akiwa ametutegulia kitendawili.
Tuliosoma zamani tunajua namna watoto wa maskini walivyojihisi unyonge mbele ya watoto wa maofisa wa serikali achilia mbali wafanyabiashara.
Kama Ndugai hadi anaingia Chuo alikuwa bado ni maskini basi yawezekana wakati akiwa sekondari hali yake ilikuwa mbaya zaidi.
Fikiria wakati huo ndio yuko shule moja na mtoto wa mmiliki wa Mbowe Hotels iliyopo jijini Dsm lazima alijisikia unyonge mara dufu.
Na yeye Freeman watoto wa matajiri hata wakifaulu walisoma shule za private Shaban Roberts Dsm au The Highlands kule Iringa siyo kwenda kujimwambafy kwenye shule za watoto wa wakulima.
Waswahili walisema aliye juu mngoje chini ndio hiyo sasa rungu la Job limesambaratisha Ufipa yote, kisa bifu za sekondari.
Nawatakia wabunge wote vunja jungu njema usiku wa leo.
Maendeleo hayana vyama!
Na watavunja jungu hasa, zaidi ccmJapo ndani ya masaa 24 yajayo mh Job Ndugai atakuwa siyo Spika tena lakini ametuaga akiwa ametutegulia kitendawili.
Tuliosoma zamani tunajua namna watoto wa maskini walivyojihisi unyonge mbele ya watoto wa maofisa wa serikali achilia mbali wafanyabiashara.
Kama Ndugai hadi anaingia Chuo alikuwa bado ni maskini basi yawezekana wakati akiwa sekondari hali yake ilikuwa mbaya zaidi.
Fikiria wakati huo ndio yuko shule moja na mtoto wa mmiliki wa Mbowe Hotels iliyopo jijini Dsm lazima alijisikia unyonge mara dufu.
Na yeye Freeman watoto wa matajiri hata wakifaulu walisoma shule za private Shaban Roberts Dsm au The Highlands kule Iringa siyo kwenda kujimwambafy kwenye shule za watoto wa wakulima.
Waswahili walisema aliye juu mngoje chini ndio hiyo sasa rungu la Job limesambaratisha Ufipa yote, kisa bifu za sekondari.
Nawatakia wabunge wote vunja jungu njema usiku wa leo.
Maendeleo hayana vyama!
Kama sio Nyerere nchi hii kuna watu wangekua daraja la kutawaliwa tu , we must be grateful ....nikikumbuka unyonge waliokuwa nao wenzetu shule ....ni Tanzania tu pengine unakuta baadaye mnakutana kwenye fursa sawa .....kuanzia JKT hadi Chuo kikuu wote mnakuwa sawa ...aliyesoma Arusha School au Shaaban Robert na mzizima , waliosoma nje ...wote mnakutana kwenye maisha bosi wenu ni Job mtoto wa maskini aliyekulia nyomba ya tembe na kulalia ngozi ....nchi nyingine maskini na kizazi chake wataendelea kuwa maskini hadi mwisho wa dunia.......lakini baahati mbaaya sana baadhi ya viongozi walikuwalia kwenye umaskini uliokithiri wamekua na tamaaa sana na uonevu ....ni kufuru nadhani lengo la mwalimu kuweka sera sawia ilikuwa ni ili kwenye vyombo vya maamuzi kuwe na watu wanaowakumbuka maskini ...lakini kwa wengine ndio wanaongoza kwa tamaaa na matumizi mabaya ya madaraka tofauti na baadhi ya watu waliokulia kwenye utajiriAmekuwa muungwana kutwambia kwanini ana hasira hasira hasa linapokuja swala la kushughulika na Mbowe na kundi lake
Nilichomsifu amekuwa muwazi mbele yetu na mbele ya familia yake
Naamini Mbowe kwa kukumbuka hali ya Spika ya enzi hizo atamsamehe bure maana waliosema maskini akipata matako hulia mbwata walimaanisha vitu vingi
Hata hivyo, Ni sahihi kuwa alivyo (uonevu, hasira, ubabe) kwa kuwa tu alipitia maisha magumu na kujificha wakati wenzake wakienda likizo?
Wa aina hiyo walikuwa wengi hata miaka ya 2000 nasisi tumesoma nao sio kwamba yeye ndo alikuwa maskini wa mwisho kuliko wote