SahihiSimba walicheza fainali kombe la Caf mwaka 1993 na wala sio kombe la washindi hivyo acha upotoshaji tafadhali.
Wenye akili ni wawili tu., fuatilia historia ya soka la Tanzania kabla hujaleta upotoshaji wako. Waulize wakubwa wako mwako 1974 na mwaka 1993 kwenye soka la Tz nini kilitokea. NYAMBAFUKwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
View attachment 2605932
Ni majina yalibadilika ma mifumo makombe Ni yale yale.Simba walicheza fainali kombe la Caf mwaka 1993 na wala sio kombe la washindi hivyo acha upotoshaji tafadhali.
Historia hailazimishwi Wala humuwezi kuifuta.Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
View attachment 2605932
Kati ya wewe na CAF tumwamin naniHistoria hailazimishwi Wala humuwezi kuifuta.
Makombe ya shirikisho na klabu bingwa Ni haya haya ya Leo Ni majina na mifumo imebadilika tu.
Kumbukumbu za CAF zipo na zitaishi. View attachment 2606135View attachment 2606136View attachment 2606137View attachment 2606138View attachment 2606139View attachment 2606141
Sasa kwanini mnapingana na historia na kusema uongo?Roborobo baada ya mwananchi kupiga hatua mnaanza kutafuta vijirekodi, mtatafuta hadi makocha na wafungaji miaka hiyo.
Yanga imewafanya mjue historia yenu vyema, safi sana.
Historia gani jombaa mbona ukweli upo wazi kombe limeanzishwa 2004 hilo la 93 ni lenu na sio hili la sasa.Sasa kwanini mnapingana na historia na kusema uongo?
1974 Simba aliingia nusu fainali ya kombe gani?Historia gani jombaa mbona ukweli upo wazi kombe limeanzishwa 2004 hilo la 93 ni lenu na sio hili la sasa.
Yako tofauti mkuu, nyuzi kibao mmeelezewa utofauti bado hamuelewi.
Ukweli kama huuSasa kwanini mnapingana na historia na kusema uongo?
Mbona hapa wanasema first ever1974 Simba aliingia nusu fainali ya kombe gani?
Mbona hapa wanasema first ever
Upotoshaji wa kijinga sana, 1974 Simba aliingia nusu fainali ya kombe gani labda?Ukweli kama huu
Historia gani jombaa mbona ukweli upo wazi kombe limeanzishwa 2004 hilo la 93 ni lenu na sio hili la sasa.
Yako tofauti mkuu, nyuzi kibao mmeelezewa utofauti bado hamuelewi.
Kwahiyo tunakubaliana kuwa Simba kacheza nusu fainali CAF CHAMPIONS LEAGUE ( wakati huo ikiitwa AFRICAN CUP OF CHAMPIONS CLUB)Logic ni ndogo tu kama 1993 kombe la shirikisho lilichukuliwa na Stella kwanini kwenye CAF super cup hakucheza Stella vs Zamalek? Badala yake caf super cup ilichezwa baina ya Al Ahly (bingwa wa Africa cup winner's cup) VS Zamalek ( bingwa wa Africa cup of champions club)
Ndio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tuKwahiyo tunakubaliana kuwa Simba kacheza nusu fainali CAF CHAMPIONS LEAGUE ( wakati huo ikiitwa AFRICAN CUP OF CHAMPIONS CLUB)
View attachment 2606194
Watu ni wavivu sana , hata ukiwaelekeza bado wabishi , Simba amecheza CAF CHAMPIONS LEAGUE nusu fainaliNdio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tu
Mmeingia kwenye nusu tena!! Aloo nyie watu mnatafutiza historia.