Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.

Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.

View attachment 2605932
Wenye akili ni wawili tu., fuatilia historia ya soka la Tanzania kabla hujaleta upotoshaji wako. Waulize wakubwa wako mwako 1974 na mwaka 1993 kwenye soka la Tz nini kilitokea. NYAMBAFU
 
Simba walicheza fainali kombe la Caf mwaka 1993 na wala sio kombe la washindi hivyo acha upotoshaji tafadhali.
Ni majina yalibadilika ma mifumo makombe Ni yale yale.

Mazembe tunaimba imechukua klabu bingwa Mara tano lkn mara mbili Ni miaka ya 1960,je tufute rekodi zake tuseme Ni Mara tatu?

Hali kadhalika Al Ahly.

Yanga mnasema Ni mabingwa wa kihistoria ktk hizo 28 au 29 mlichukua ikiitwa ligi daraja la kwanza miaka hiyo ya 60 na 70. Kwahiyo tufute ubingwa wa miaka ya nyuma tuanzie hapo kwenye premier league /ligi kuu?

Hakuna Yanga mwenye akili aisee nimejiaminisha kwa hakika.

Mnalazimisha rekodi!
 
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.

Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.

View attachment 2605932
Historia hailazimishwi Wala humuwezi kuifuta.

Makombe ya shirikisho na klabu bingwa Ni haya haya ya Leo Ni majina na mifumo imebadilika tu.

Kumbukumbu za CAF zipo na zitaishi. View attachment 2606135View attachment 2606136View attachment 2606137View attachment 2606138View attachment 2606139
Screenshot_20230501-140549.jpg
 
Attachments

  • EF3A3FDD-6EAA-4DAC-A449-EF16068325CA.png
    EF3A3FDD-6EAA-4DAC-A449-EF16068325CA.png
    286.8 KB · Views: 4
Roborobo baada ya mwananchi kupiga hatua mnaanza kutafuta vijirekodi, mtatafuta hadi makocha na wafungaji miaka hiyo.

Yanga imewafanya mjue historia yenu vyema, safi sana.
Sasa kwanini mnapingana na historia na kusema uongo?
 
Sasa kwanini mnapingana na historia na kusema uongo?
Historia gani jombaa mbona ukweli upo wazi kombe limeanzishwa 2004 hilo la 93 ni lenu na sio hili la sasa.

Yako tofauti mkuu, nyuzi kibao mmeelezewa utofauti bado hamuelewi.
 
Historia gani jombaa mbona ukweli upo wazi kombe limeanzishwa 2004 hilo la 93 ni lenu na sio hili la sasa.

Yako tofauti mkuu, nyuzi kibao mmeelezewa utofauti bado hamuelewi.
1974 Simba aliingia nusu fainali ya kombe gani?

83BABB89-CE61-4B83-936E-059D692406C4.jpeg
 
Mbona hapa wanasema first ever
AE305064-3F79-45A0-B2CA-CAD82D9A74D3.jpeg

Sasa si uwaulize wewe kwanini wanafanya upotoshaji wakati 1974 Simba aliingia nusu fainali ya Mabingwa Afrika na akacheza na Ghazi el- mahalla , wakatoka 1-0, 0-1, aggregate wakatoka 1-1, Simba akatolewa kwa penalty. Sasa Yanga ni lini atafika nusu fainali Kombe la Champions , achana na kombe la Loosers hili.
 
Logic ni ndogo tu kama 1993 kombe la shirikisho lilichukuliwa na Stella kwanini kwenye CAF super cup hakucheza Stella vs Zamalek? Badala yake caf super cup ilichezwa baina ya Al Ahly (bingwa wa Africa cup winner's cup) VS Zamalek ( bingwa wa Africa cup of champions club)
Kwahiyo tunakubaliana kuwa Simba kacheza nusu fainali CAF CHAMPIONS LEAGUE ( wakati huo ikiitwa AFRICAN CUP OF CHAMPIONS CLUB)

2EFC3578-51C7-4B3B-AACE-6C100ACCB0DC.jpeg
 
Kwahiyo tunakubaliana kuwa Simba kacheza nusu fainali CAF CHAMPIONS LEAGUE ( wakati huo ikiitwa AFRICAN CUP OF CHAMPIONS CLUB)

View attachment 2606194
Ndio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tu
 
Ndio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tu
Watu ni wavivu sana , hata ukiwaelekeza bado wabishi , Simba amecheza CAF CHAMPIONS LEAGUE nusu fainali
 
View attachment 2606187

Haya, hebu fungua tena mdomo wako nikuone
Mmeingia kwenye nusu tena!! Aloo nyie watu mnatafutiza historia.

Nani aliekubishia hilo, hapa mmepigwa kikumbo pale mlipotaka kudanganga uma kua mshawahi kucheza fainali kwenye kombe mliitalo la loosers. Baada ya kuelimishwa vilivyo sasa mnahamisha mjadala.

Enewei hongereni sana watani wa 1974.
 
Back
Top Bottom