Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Tukikumbuka usemi wa manara kwa hoja yako na wajinga wenzio uko sawa.Maana hata Afrika mashariki huijui.


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ndio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tu
Huyu admin wa official account ya CAF anasema hamjawahi fika nusu fainal
 

Attachments

  • AD6BA57A-460C-41B4-886E-6F4D96E628C2.png
    286.8 KB · Views: 2
Gor Mahia na Simba je?
 
Kati ya wewe na CAF tumwamin nani
Unajua maana ya "ever"
Hizo attachment nimezitoa wapi km siyo CAF Ni wapi.

Kwahiyo admini akichemka nawe hujiridhishi km habari Ni sahihi.

Na Hata hapa ulipaswa kuingia page rasmi za CAF kujiridhisha . Na Wala usingekuja kukoment hapa.

Kwahiyo kila unachoambiwa mtandaoni unasadiki.

Wanaoandika si kwamba wanajua kila kitu Ni binadamu km wewe.
 
Ahahaaaaa


Hongera yao,

Na msimu ujao tunatinga nusu fainali ya CAF CL
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Ni mwaka 1993 ndio alicheza na hao kina stella.

mwaka 2003 alicheza na Zamalek ya Misri
 
Utopolo watakupiga na mawe
 
Ndio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tu
Aaaaahahaaa

Usikhofu,msimu ujao tunaenda kuifuta na hiyo rekodi
 
Asante sana mtani na bahati nzuri hata wewe ulikuwepo 1974 , huyu Azam anatakiwa kupewa historia hii wewe unafahamu
 
Aahhaaaa

One step at a time
 
Uongo, huu ni Uongo bwana, kombe la shirikisho limeanzishwa 2004.. kombe alilocheza Simba ni CAF Cup ambayo ikaunganishwa na African cup, winners cup ndo ikapatikana CAF confederation cup mwaka 2004, siyo hajawahi kucheza semi ya confederation
Aahaaaaaa

Asante mkuu Kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…