Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.

Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.

View attachment 2605932
Tukikumbuka usemi wa manara kwa hoja yako na wajinga wenzio uko sawa.Maana hata Afrika mashariki huijui.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ndio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tu
Huyu admin wa official account ya CAF anasema hamjawahi fika nusu fainal
 
Attachments

  • AD6BA57A-460C-41B4-886E-6F4D96E628C2.png
    AD6BA57A-460C-41B4-886E-6F4D96E628C2.png
    286.8 KB · Views: 2
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.

Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.

View attachment 2605932
Gor Mahia na Simba je?
 
Kati ya wewe na CAF tumwamin nani
Unajua maana ya "ever"
Hizo attachment nimezitoa wapi km siyo CAF Ni wapi.

Kwahiyo admini akichemka nawe hujiridhishi km habari Ni sahihi.

Na Hata hapa ulipaswa kuingia page rasmi za CAF kujiridhisha . Na Wala usingekuja kukoment hapa.

Kwahiyo kila unachoambiwa mtandaoni unasadiki.

Wanaoandika si kwamba wanajua kila kitu Ni binadamu km wewe.
 
Mmeingia kwenye nusu tena!! Aloo nyie watu mnatafutiza historia.

Nani aliekubishia hilo, hapa mmepigwa kikumbo pale mlipotaka kudanganga uma kua mshawahi kucheza fainali kwenye kombe mliitalo la loosers. Baada ya kuelimishwa vilivyo sasa mnahamisha mjadala.

Enewei hongereni sana watani wa 1974.
Ahahaaaaa

Hongera yao,

Na msimu ujao tunatinga nusu fainali ya CAF CL
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Ni mwaka 1993 ndio alicheza na hao kina stella.

mwaka 2003 alicheza na Zamalek ya Misri
 
Hivi wewe unaakili timamu kusema East Africa ? Halaf be smart basi, you should be very specific kuwa kwa upande wa SHIRIKISHO.

Pia tambua kuwa kumtoa Rivers sio kipimo cha ubora wenu , it is true kuwa Yanga this time ipo very lucky , njia yake ni rahisi na inatimu za kawaida sna.

Mfano Raja Kwenye Robo fainali angepangiwa na Simba , Nani angepita?

Hivyo njia ya Wydad kwenda Nusu Fainali ilikuwa ni rahis na inanafuu as compared na njia ya Raja

Wakati mwingine game ni bahati....... kwenye Champion tuliona Yanga alikutana na timu yenye hadhi kidogo tu, alitolewa kirahisi sana

Yanga angekutana na Asec tu wale , asingeenda nusu....... this time upepo ni wake na hii haimaanishi ubora kwake .

Tupunguze maneno while we know deep down kikosi cha Yanga ni kawaida na bado kipo kwa growth
Utopolo watakupiga na mawe
 
Ndio tunakubaliana, nataka nione mtu afungue mdomo wake kubisha. Watu wanapiga kelele kuingia nusu finally ya kombe la loosers wakati wapo watu wamefika final ya mabingwa.., na wapo kimya tu
Aaaaahahaaa

Usikhofu,msimu ujao tunaenda kuifuta na hiyo rekodi
 
Mmeingia kwenye nusu tena!! Aloo nyie watu mnatafutiza historia.

Nani aliekubishia hilo, hapa mmepigwa kikumbo pale mlipotaka kudanganga uma kua mshawahi kucheza fainali kwenye kombe mliitalo la loosers. Baada ya kuelimishwa vilivyo sasa mnahamisha mjadala.

Enewei hongereni sana watani wa 1974.
Asante sana mtani na bahati nzuri hata wewe ulikuwepo 1974 , huyu Azam anatakiwa kupewa historia hii wewe unafahamu
 
View attachment 2606177

Sasa si uwaulize wewe kwanini wanafanya upotoshaji wakati 1974 Simba aliingia nusu fainali ya Mabingwa Afrika na akacheza na Ghazi el- mahalla , wakatoka 1-0, 0-1, aggregate wakatoka 1-1, Simba akatolewa kwa penalty. Sasa Yanga ni lini atafika nusu fainali Kombe la Champions , achana na kombe la Loosers hili.
Aahhaaaa

One step at a time
 
Uongo, huu ni Uongo bwana, kombe la shirikisho limeanzishwa 2004.. kombe alilocheza Simba ni CAF Cup ambayo ikaunganishwa na African cup, winners cup ndo ikapatikana CAF confederation cup mwaka 2004, siyo hajawahi kucheza semi ya confederation
Aahaaaaaa

Asante mkuu Kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom