mkubwa simba
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 284
- 206
HahahaaNoted... Japo sijairemba ila nimeandika mtazamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaNoted... Japo sijairemba ila nimeandika mtazamo
hoja ni kwamba, kwanini Mwafrika ameathirika zaidi na hii dhana ya nyani?? Kwanini Ngozi nyeupe inatubagua kama dhana inasema kuwa asili yetu ni moja (ya nyani)?Historia inaonesha mzungu nae yupo kwenye kundi hili la Nyani sio mwafrika peke yake
Scientifically speaking kipindi hiki ndipo binadamu anaishi miaka mingi kuliko hata vipindi vyote vilivyopita..! Hii inatokana na maendeleo katika mapinduzi ya kisayansi yaliyofikiwa duniani kwasasa. Hizo story zako za kwenye bible ni story kama story nyengine. Watu wamekuja maevidence tele kwa tele we unaleta mistari kutoka kwenye bible inayosema dunia ipo flat, like really?!Sidhani kama huu uongo na upotoshaji bado unafundishwa kwenye shule zetu kwenye somo la historia....
Sisi tulifundishwa na kuaminishwa kuwa asili ya mwanadamu ni mnyama nyani.... Ni katika harakati za kutatua changamoto za maisha yanayomzunguka ndio akajikuta mpaka anaweza kusimama kwa miguu miwili na kutumia mikono kwa shughuli nyinginezo... Ithibati za kuunga zikionesha kutoka hatua za homo sapien mpaka homo habilis.. Ambaye sasa alikuwa ni binadamu kamili....
Kadiri tunavyozidi kuzama na kuhoji kuhusu hizi elimu na uhalisia wake ndivyo tunavyozidi kuangaziwa na kufunuliwa kuhusu uongo na upotoshaji mwingi kisayansi, kibaologia na kihistoria...
Ndana ya binadamu wa kwanza kutokana na nyani inawezekana kabisa ndio dhana dhaifu zaidi na inayoongoza kwa uongo na upotoshaji kuliko dhana nyingine zote kuhusiana na asili ya mwanadamu
Kuna maswali mengi ya kuhoji hapa
. Asili ya huyo nyani ni ipi?
. Kwanini baada ya hapo nyani wengine hawakupitia mchakato wa mabadiliko mpaka kuwa binadamu?
. Kwanini sasa nyani azae nyani na binadamu azae binadamu?
. Kwanini kusiwe na kinyume cha binadamu kuzaa nyani na nyani kuzaa binadamu?
Pamoja na mfanano wa vinasaba kati ya nyani na binadamu kwa zaidi ya asilimia 90.. Lakini ukweli unabaki kuwa hizi ni asili mbili tofauti kabisa
Dhana ya binadamu kubadilika umbo tangu kuumbwa kwa dunia inaweza kuwa na mashiko... Tukisoma misahafu tunaambiwa kuna watu waliishi zaidi ya miaka 800,Lakini pia kuna simulizi za wanefili, majitu makubwa yaliyoishi zamani...rejea zinjathropus
Kadiri miaka inavyosonga umri wa kuishi unazidi kupungua na hata maumbo pia.. Na hii si kwa binadamu tuu bali hata wanyama na vitu vingine vingi...
Dhana pekee ambayo mpaka sasa inajadilika ni Ile dhana ya uumbaji wa kiimani... Dhana ya asili ya mwanadamu na uumbaji wa kimungu...
Upotoshaji huu wa historia ulifanywa na watu maalum... Je lengo lao lilikuwa ninini?
Katika maisha ni lazima uwe na upande.. Na usichague upande kwa kushinikizwa ama kufuata mkumbo bali baada ya kusoma kuchambua na kujiridhisha kile ulichochagua kwa muktadha wakoKutaka kujua asili/chimbuko la mwanadam ni sawa na kutaka kujua asili/chimbuko la Mungu
Tumeletewa vitabu tukaambiwa history ya binadam na tukaamin kupitia ivo vitabu (Bible na Quran)
Lkn kuna vitabu vingine vinavyopinga vitabu vya dini lkn cha ajabu hatuviamin
Hp ndo shida ipo!!

Kwa upande wangu, sidhani kama kuna haja ya kufundishwa kuhusu chimbuko la vitu vinavyoishi.Sidhani kama huu uongo na upotoshaji bado unafundishwa kwenye shule zetu kwenye somo la historia....
Sisi tulifundishwa na kuaminishwa kuwa asili ya mwanadamu ni mnyama nyani.... Ni katika harakati za kutatua changamoto za maisha yanayomzunguka ndio akajikuta mpaka anaweza kusimama kwa miguu miwili na kutumia mikono kwa shughuli nyinginezo... Ithibati za kuunga zikionesha kutoka hatua za homo sapien mpaka homo habilis.. Ambaye sasa alikuwa ni binadamu kamili....
Kadiri tunavyozidi kuzama na kuhoji kuhusu hizi elimu na uhalisia wake ndivyo tunavyozidi kuangaziwa na kufunuliwa kuhusu uongo na upotoshaji mwingi kisayansi, kibaologia na kihistoria...
Ndana ya binadamu wa kwanza kutokana na nyani inawezekana kabisa ndio dhana dhaifu zaidi na inayoongoza kwa uongo na upotoshaji kuliko dhana nyingine zote kuhusiana na asili ya mwanadamu
Kuna maswali mengi ya kuhoji hapa
. Asili ya huyo nyani ni ipi?
. Kwanini baada ya hapo nyani wengine hawakupitia mchakato wa mabadiliko mpaka kuwa binadamu?
. Kwanini sasa nyani azae nyani na binadamu azae binadamu?
. Kwanini kusiwe na kinyume cha binadamu kuzaa nyani na nyani kuzaa binadamu?
Pamoja na mfanano wa vinasaba kati ya nyani na binadamu kwa zaidi ya asilimia 90.. Lakini ukweli unabaki kuwa hizi ni asili mbili tofauti kabisa
Dhana ya binadamu kubadilika umbo tangu kuumbwa kwa dunia inaweza kuwa na mashiko... Tukisoma misahafu tunaambiwa kuna watu waliishi zaidi ya miaka 800,Lakini pia kuna simulizi za wanefili, majitu makubwa yaliyoishi zamani...rejea zinjathropus
Kadiri miaka inavyosonga umri wa kuishi unazidi kupungua na hata maumbo pia.. Na hii si kwa binadamu tuu bali hata wanyama na vitu vingine vingi...
Dhana pekee ambayo mpaka sasa inajadilika ni Ile dhana ya uumbaji wa kiimani... Dhana ya asili ya mwanadamu na uumbaji wa kimungu...
Upotoshaji huu wa historia ulifanywa na watu maalum... Je lengo lao lilikuwa ninini?
Jaribu tena kusoma kwa makini ulichoandika, rudia tena uone ulivyochanganya mambo..... Halafu soma tena kwa kutulia nilichoandika mimi... Nafikiri umesoma na kuchangia bila kuelewa kilichomo kwenye mada husikaScientifically speaking kipindi hiki ndipo binadamu anaishi miaka mingi kuliko hata vipindi vyote vilivyopita..! Hii inatokana na maendeleo katika mapinduzi ya kisayansi yaliyofikiwa duniani kwasasa. Hizo story zako za kwenye bible ni story kama story nyengine. Watu wamekuja maevidence tele kwa tele we unaleta mistari kutoka kwenye bible inayosema dunia ipo flat, like really?!
Alafu haya mambo ya binadamu kutoka kwa nyani sijui mliyapata wap..?! Hii nadhani ni inatokana na kutokujua mambo so mtu anayabeba kama yalivyo iliaonekane anayajua..! Please Mshana Jr baki kwenye madogoli na majini mkuu. Mbona unaheshimika sana na wenzio kwa kuleta mada kama hizo..! Just stick to those things mkuu...! [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Ahsante sana kwa kunambia nirudie tena. Maana baada ya kupitia tena ndo nmekuta makosa mengine zaidi..[emoji16][emoji16][emoji16]Jaribu tena kusoma kwa makini ulichoandika, rudia tena uone ulivyochanganya mambo..... Halafu soma tena kwa kutulia nilichoandika mimi... Nafikiri umesoma na kuchangia bila kuelewa kilichomo kwenye mada husika
Anyway asante kwa kushiriki mjadala
Na huyu Homo erectus ndo tunasema ndio kiumbe kilichosafiri kutoka africa kusambaa na kwenda maeneo mengine. Baada ya kufika ulaya kutokana na mazingira kuwa tofauti H. erectus aliweza kutoa Homo niendathelensis nk. Ni sisi H.sapiens ndo tuliokuja kuwauwa hawa niendathensis kutokana na sie kuwa more advanced katika mambo mbalimbali ikiwemo uwezo wetu katika kutengeneza silaha pamoja na magonjwa tuliyobeba kutoka maeneo mengine.Ahsante sana kwa kunambia nirudie tena. Maana baada ya kupitia tena ndo nmekuta makosa mengine zaidi..[emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia mfano hapo umesema "ithibati za kuunga zikionyesha kutoka kwenye hatua za homo sapien mpaka homo habilis..." hapo ni umeingia CHAKA la kufa mtu..! Yaani inaonyesha wazi haya mambo hata kuyafahamu huyafahamu. Kisayansi asili ya binadamu hutoka kwa Australopithecus africanus (ape like organism from the East African valley) kuja kwa Homo habilis and then Homo erectus(the upright man) na mwisho kabisa ndo tunakuja sie Homo sapiens (wise-man). Nenda kasome mkuu usivamie mambo usiyoyajua mkuu.
Sijavamia na si kwamba sijui sikuwa nilichoandika.... Hebu cheki reply yako uone pia makosa yaliyopo... Sidhani kama kutotaja homo erectus ndio kutokujuaAhsante sana kwa kunambia nirudie tena. Maana baada ya kupitia tena ndo nmekuta makosa mengine zaidi..[emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia mfano hapo umesema "ithibati za kuunga zikionyesha kutoka kwenye hatua za homo sapien mpaka homo habilis..." hapo ni umeingia CHAKA la kufa mtu..! Yaani inaonyesha wazi haya mambo hata kuyafahamu huyafahamu. Kisayansi asili ya binadamu hutoka kwa Australopithecus africanus (ape like organism from the East African valley) kuja kwa Homo habilis and then Homo erectus(the upright man) na mwisho kabisa ndo tunakuja sie Homo sapiens (wise-man). Nenda kasome mkuu usivamie mambo usiyoyajua mkuu.
Ithibati ya haya ni zipi? Na Kwanini uzao wa sasa usipitie mchakato huohuo? Kwanini sasa Leo hii tuna nyani kama nyani na binadamu kama binadamu? Na hayo mamilioni ya miaka kimetumika kipimo gani kuyapima? Huoni bado ni ithibati za kufikirika na kuungaunga zaidi ya uhalisia?Na huyu Homo erectus ndo tunasema ndio kiumbe kilichosafiri kutoka africa kusambaa na kwenda maeneo mengine. Baada ya kufika ulaya kutokana na mazingira kuwa tofauti H. erectus aliweza kutoa Homo niendathelensis nk. Ni sisi H.sapiens ndo tuliokuja kuwauwa hawa niendathensis kutokana na sie kuwa more advanced katika mambo mbalimbali ikiwemo uwezo wetu katika kutengeneza silaha pamoja na magonjwa tuliyobeba kutoka maeneo mengine.
Niliposema kutoa ni kurahisisha mambo tu (oversimplification). Actually process ya kupata aina (species) nyingine ni ndefu (inayochukua miaka milioni kwa mamilioni) na ni habari nyengine kabisa inayotaka muda wake.
Sidhani kama huu uongo na upotoshaji bado unafundishwa kwenye shule zetu kwenye somo la historia....
Sisi tulifundishwa na kuaminishwa kuwa asili ya mwanadamu ni mnyama nyani.... Ni katika harakati za kutatua changamoto za maisha yanayomzunguka ndio akajikuta mpaka anaweza kusimama kwa miguu miwili na kutumia mikono kwa shughuli nyinginezo... Ithibati za kuunga zikionesha kutoka hatua za homo sapien mpaka homo habilis.. Ambaye sasa alikuwa ni binadamu kamili....
Kadiri tunavyozidi kuzama na kuhoji kuhusu hizi elimu na uhalisia wake ndivyo tunavyozidi kuangaziwa na kufunuliwa kuhusu uongo na upotoshaji mwingi kisayansi, kibaologia na kihistoria...
Ndana ya binadamu wa kwanza kutokana na nyani inawezekana kabisa ndio dhana dhaifu zaidi na inayoongoza kwa uongo na upotoshaji kuliko dhana nyingine zote kuhusiana na asili ya mwanadamu
Kuna maswali mengi ya kuhoji hapa
. Asili ya huyo nyani ni ipi?
. Kwanini baada ya hapo nyani wengine hawakupitia mchakato wa mabadiliko mpaka kuwa binadamu?
. Kwanini sasa nyani azae nyani na binadamu azae binadamu?
. Kwanini kusiwe na kinyume cha binadamu kuzaa nyani na nyani kuzaa binadamu?
Pamoja na mfanano wa vinasaba kati ya nyani na binadamu kwa zaidi ya asilimia 90.. Lakini ukweli unabaki kuwa hizi ni asili mbili tofauti kabisa
Dhana ya binadamu kubadilika umbo tangu kuumbwa kwa dunia inaweza kuwa na mashiko... Tukisoma misahafu tunaambiwa kuna watu waliishi zaidi ya miaka 800,Lakini pia kuna simulizi za wanefili, majitu makubwa yaliyoishi zamani...rejea zinjathropus
Kadiri miaka inavyosonga umri wa kuishi unazidi kupungua na hata maumbo pia.. Na hii si kwa binadamu tuu bali hata wanyama na vitu vingine vingi...
Dhana pekee ambayo mpaka sasa inajadilika ni Ile dhana ya uumbaji wa kiimani... Dhana ya asili ya mwanadamu na uumbaji wa kimungu...
Upotoshaji huu wa historia ulifanywa na watu maalum... Je lengo lao lilikuwa ninini?
Duuuh mkuu..! Huyo H. erectus ni bonus tu..! Kosa lako ni kuchanganya kati ya H. sapiens na H. habilis ni nani aliyeanza..! Aisee..!Sijavamia na si kwamba sijui sikuwa nilichoandika.... Hebu cheki reply yako uone pia makosa yaliyopo... Sidhani kama kutotaja homo erectus ndio kutokujua
Basi mkuu ngoja nikuache maana naona tunaongea lugha tofauti..!Ithibati ya haya ni zipi? Na Kwanini uzao wa sasa usipitie mchakato huohuo? Kwanini sasa Leo hii tuna nyani kama nyani na binadamu kama binadamu? Na hayo mamilioni ya miaka kimetumika kipimo gani kuyapima? Huoni bado ni ithibati za kufikirika na kuungaunga zaidi ya uhalisia?
Alien wako wangapi hivi walivo wadogo wataumba MTU?? Waumbe mtu anayejua mambo kuliko wao, kwanza uwepo wa alien ni uongo tu....dhana yenye mashiko kidogo ni ile ya kuumbwa na Alliens,..Ananuk....ila hii ya kwenye biblia na Quran haina mashiko hata robo nayo