Historia imedanganya na kupotosha asili ya mwanadamu

Historia imedanganya na kupotosha asili ya mwanadamu

Sijavamia na si kwamba sijui sikuwa nilichoandika.... Hebu cheki reply yako uone pia makosa yaliyopo... Sidhani kama kutotaja homo erectus ndio kutokujua
Na huyu Homo erectus ndo tunasema ndio kiumbe kilichosafiri kutoka africa kusambaa na kwenda maeneo mengine. Baada ya kufika ulaya kutokana na mazingira kuwa tofauti H. erectus aliweza kutoa Homo niendathelensis nk. Ni sisi H.sapiens ndo tuliokuja kuwauwa hawa niendathensis kutokana na sie kuwa more advanced katika mambo mbalimbali ikiwemo uwezo wetu katika kutengeneza silaha pamoja na magonjwa tuliyobeba kutoka maeneo mengine.
Niliposema kutoa ni kurahisisha mambo tu (oversimplification). Actually process ya kupata aina (species) nyingine ni ndefu (inayochukua miaka milioni kwa mamilioni) na ni habari nyengine kabisa inayotaka muda wake.
Kwa akili ya kawaida sana hizo porojo hata mtoto mdogo ni ngumu sana kuzielewa maana ulitegemea tuone uvimbe ambao wapo kwenye process ya kutoka nyani kwenda kwenye ubinafamu kamili lakini Leo nenda katafute kwenye mapori yote uyajuayo tuambizane kuna nyani wameanza kujenga Madarasa!
 
hatare sana...wanajikita zaidi na vitabu vilivyopewa majina yanayong'aa ( misahafu)..

They dont want to dig outside ( dogma)...free your mind the universe will show you where you originated kwa kufuata mtiririko wa wa system ilivyo..

Kila siku nawambia watu bible na quran ni man made books to hide the truth na kumfanya mwanadamu asijue ukweli wa mambo ,.

Ndo mana mpaka leo watu wanatembea njiani na bible( Quran) lakini haawaielewi..

The way ilivyojazwa maneno ndo mana inaonekana ni complicated kuelewa kwa watu wanaoiamini zaidi..

Kitabu kimoja kinakuwa kigumu kukuelewa kuliko mtaala mzima wa elimu za Engeneering na medicine zenye miaka 4 mpka 5 ila bible ambayo ujazo wake unalingana na kitabu kimoja tena cha Anatomy and physiology cha medicine mwaka wa kwanza..

Sijui kwanini watu walifikilii hili...

napata uchungu mkubwa sana kumuona mtu akija na reference za bible kama source ya kumpa ukweli...

Hivi nani alikuambia the truth is exposed openly kiasi hicho ..??

very sad..

surviving is the process ...

maisha hayapo raisi kama wanavyofikilia...

Suala la kutembea na vitabu vya Mungu kisha mtu akawa havielewi hatukatai lipo,ila je wale wanaovielewa?
Au ni wote hawavielewi tu?

Unatuaminisha kwamba tusitumie vitabu vya imani (bible au quran)kutafuta ukweli

Wewe unadhani tutumie kitu gani kutafuta ukweli ambacho kitafanya watu wote tuafikiane katika ukweli huo.

Mfano tu leo watu wote tumeafikianna juu ya ukweli wa kifo,lakini kila mtu yupo na imani yake ambayo inathibitisha kifo na imani zote zimeafikiana jambo kifo lipo licha ya kuona kwa macho yetu kila siku.

Leo watu tumeafikiana kwamba kitu kuzaa kipo japo kila mmoja na imani yake lakini tumeafikiana sote kwamba kuzaa ama kuzaana kupo.

Unmafikiri kuwafikiana kwetu kwa mambo haya tumepita katika njia moja ya imani?
 
Kwa ufupi kila elimu ina mipaka,na mipaka ya elimu husika ni yale yote yasiyohusiana na elimu hiyo.

Na mipaka ya kila elimu ni hii misingi kumi,na kuna baadhi ya wanachuoni wanasema 8 yaani miwili iliyozidi inaingia katika msingi mmoja au kama walivyosema.
Iweke hiyo misingi kwa mukhtasari mkuu
 
Common misconceptions about evolution
1.Evolution is a theory about the origin of life
Reality: Evolutionary theory deals mainly with how life changed after its origin. Regardless of how life started, it branched and diversified. Evolution theory focuses on the processes that change life after its origin.
2.Evolution is ‘just’ a theory
Reality: Yes, but a scientific theory which has explanations that are based on lines of evidence that have enabled valid predictions, and have been tested in many ways
3. Evolution is like a ladder of progress; organisms get better with time e.g that humans evolved from chimpanzees
Reality: Humans and chimpanzees are evolutionary cousins and share a recent common ancestor but have each evolved traits unique to their own lineages: for more detail please read article by
Erez S. Garty, Ph.D.
Editor in Chief, Davidson Online
Davidson Institute of Science Education
Weizmann Institute of Science
 
...dhana yenye mashiko kidogo ni ile ya kuumbwa na Alliens,..Ananuk....ila hii ya kwenye biblia na Quran haina mashiko hata robo nayo
Watu wenye ubongo usio jitambua

wapo ndani ya giza la ujinga

Sema utakavyo...
ipo siku utaomba ujifunze tena
 
Kuhusu origin ya mwanadamu aise tunamezeshwa matango poli sana uko maskul kiukweli kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utagundua elimu yote tunayoipata na tuliyoipata mashukeni kuusu ORIGIN OF HUMAN and UNIVERSE Kwa ujumla imejaa upotoshaji, Uongo, na Ufichwaji wa mambo ....

Wenyewe Wajuzi Wa Mambo Wanakwambia Hata ule Mstari Wa Ikweta ambao tumejifunza basi ule mtari kila point uliopita kuna hadhina muhimu sana juu ya origin of human amboyo hawataki kila mmoja wetu kufahamu Na bila kufahamika kwa madhumuni gani.......

Mwisho Kuna dhana kubwa sana kuusu origin of human being and universe generally ambazo zinafichwa ila ile ya human made by aliens inaonekana inamashiko sana kwa sasa na kuna bahadhi ya mishoro ya kiistoria ikionesha ivyo kuwa kulikua na kitu kama iko .............

By The way aya tunayomezeshwa maskul alifu ni mafekeshe tu chalii yangu be aware dig info deep about your original man other wise unaweza ukawa unaabudu kitu kisichokuwepo alifu ..........

Morning Dwax Mazee
Funguka zaid mkuu..Naona unabonge la ktu kichwan mwako
 
Ganda la ujinga,huwa ni lenye kutoa misuli imara katika kutetea haki yake ya ujinga
Ujinga ni sifa ya asili kwa mwanaadam,lkn unaweza kuiepuka ukitaka na kujaaliwa kuiepuka
Si kila msomi,kwamba amelivua gamba hili la hatari,Bali wapo mpaka Maprofesa,wanaoishangaza Dunia kwa sasa,bado wamelikumbatia gamba hili
Gamba hili,halina rangi maalum,na wala halimkatai mtu,Bali wapo wanaolipenda,huku Dunia,ikiwaita na kuwaona kuwa ni wasomi

Piga vita ujinga,katika maisha yako yote
 
Common misconceptions about evolution
1.Evolution is a theory about the origin of life
Reality: Evolutionary theory deals mainly with how life changed after its origin. Regardless of how life started, it branched and diversified. Evolution theory focuses on the processes that change life after its origin.
2.Evolution is ‘just’ a theory
Reality: Yes, but a scientific theory which has explanations that are based on lines of evidence that have enabled valid predictions, and have been tested in many ways
3. Evolution is like a ladder of progress; organisms get better with time e.g that humans evolved from chimpanzees
Reality: Humans and chimpanzees are evolutionary cousins and share a recent common ancestor but have each evolved traits unique to their own lineages: for more detail please read article by
Erez S. Garty, Ph.D.
Editor in Chief, Davidson Online
Davidson Institute of Science Education
Weizmann Institute of Science
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Katika kitu najilaumu maishani mwangu basi ni kusoma Technical School. Hii ilisababisha nikose kusoma somo muhimu la Historia.

Kwa kuwa sikusoma history basi siwezi kupinga mojamoja kuwa mada yako haina ukweli. Nasema hivyo kwa sababu sijaona sehemu yoyote inayosema binadamu anatokana na nyani. Na kama history inafundisha kuwa tumetokana na nyani basi ni upotoshaji mkubwa sana. Inaenda tofauti na dhana nzima ya evolution.

Dhana ya evolution ambayo inamhusisha binadamu na nyani inatokana na kuwa na features nyingi ambazo tunashare na nyani. Hii imetupelekea tupangwe katika same groups of Classification mpaka level ya genus.
Tunachotofautiana ni Ile hali ya kutoweza kujamiiana nao na kupata kiumbe hai kamili.

Kwa kutumia Classification hiyo basi evolutionists wakaja na theory kwamba kwa sababu tupo kwenye genus moja basi kuna uwezekano tulitokana na kiumbe mmoja (common ancestor ). Kutokana na mabadiliko ya hali ya dunia kipindi hicho huyu common ancestor akashindwa kuendana na mazingira hivyo evolution ikatokea na kutokea species hizi ambazo tunaziita nyani na binadamu.

Nadhani hukuelewa tu kuwa hiyo historia ya mwanadamu imebase katika evolutionary theory ambayo inasema mwanadamu ametokana na nyani like organism na sio nyani kama ulivosema.

Na hizi zote ni theories tu katika kutafuta asili ya maisha hapa duniani. Kwahiyo sio vizuri kusema kuwa wazungu wanasema hivi na hivi wakati wao wenyewe wamesema ni theory tu. Na hiyo ya kuumbwa na mungu pia hawajaipotezea bali ipo kama theory tu.
 
Katika misingi au mambo ya kuangalia katika kila fani au elimu ni :

1. Maana ya fani au elimu husika
Huu ni msingi mama. Kwanza kabisa lazima ujue nini maana ya fani unayotaka kuisoma. Kama unasoma kuhusu Umeme. Lazima ujue umeme ni nini ?

2. Maudhui

Huu ni msingi wa pili. Unapoiendea fani husika lazima ujue maudhui ya fani husika. Yaani fani husika ina jihusisha na masuala gani ?

3. Tija au natija.

Lazima ujue ni matunda gani yanayotokana na fani husika.

Nakuja......!
 
Katika kitu najilaumu maishani mwangu basi ni kusoma Technical School. Hii ilisababisha nikose kusoma somo muhimu la Historia.

Kwa kuwa sikusoma history basi siwezi kupinga mojamoja kuwa mada yako haina ukweli. Nasema hivyo kwa sababu sijaona sehemu yoyote inayosema binadamu anatokana na nyani. Na kama history inafundisha kuwa tumetokana na nyani basi ni upotoshaji mkubwa sana. Inaenda tofauti na dhana nzima ya evolution.

Dhana ya evolution ambayo inamhusisha binadamu na nyani inatokana na kuwa na features nyingi ambazo tunashare na nyani. Hii imetupelekea tupangwe katika same groups of Classification mpaka level ya genus.
Tunachotofautiana ni Ile hali ya kutoweza kujamiiana nao na kupata kiumbe hai kamili.

Kwa kutumia Classification hiyo basi evolutionists wakaja na theory kwamba kwa sababu tupo kwenye genus moja basi kuna uwezekano tulitokana na kiumbe mmoja (common ancestor ). Kutokana na mabadiliko ya hali ya dunia kipindi hicho huyu common ancestor akashindwa kuendana na mazingira hivyo evolution ikatokea na kutokea species hizi ambazo tunaziita nyani na binadamu.

Nadhani hukuelewa tu kuwa hiyo historia ya mwanadamu imebase katika evolutionary theory ambayo inasema mwanadamu ametokana na nyani like organism na sio nyani kama ulivosema.

Na hizi zote ni theories tu katika kutafuta asili ya maisha hapa duniani. Kwahiyo sio vizuri kusema kuwa wazungu wanasema hivi na hivi wakati wao wenyewe wamesema ni theory tu. Na hiyo ya kuumbwa na mungu pia hawajaipotezea bali ipo kama theory tu.
Kaka kutojifunza somo husika sio tatizo. Tatizo je ni wapi unajifunza somo husika.

Kaka ulitakiwa hapo awali ujue umuhimu wa historia. Hata kama ungekaa darasani na uhakika usingepata unachokitaka.

Jifunze jambo kutokana na umuhimu wake ukiambatana na mapenzi yako.

Mara nyingi elimu nje ya darasani kwa maana ya skuli huwa ni bora kuliko ya darasani hasa ukiipata kwa watu wake.

Sisi wengine tumejifunza mambo nyeti sana nje ya shule.

Nakuja.......!
 
Katika kitu najilaumu maishani mwangu basi ni kusoma Technical School. Hii ilisababisha nikose kusoma somo muhimu la Historia.

Kwa kuwa sikusoma history basi siwezi kupinga mojamoja kuwa mada yako haina ukweli. Nasema hivyo kwa sababu sijaona sehemu yoyote inayosema binadamu anatokana na nyani. Na kama history inafundisha kuwa tumetokana na nyani basi ni upotoshaji mkubwa sana. Inaenda tofauti na dhana nzima ya evolution.

Dhana ya evolution ambayo inamhusisha binadamu na nyani inatokana na kuwa na features nyingi ambazo tunashare na nyani. Hii imetupelekea tupangwe katika same groups of Classification mpaka level ya genus.
Tunachotofautiana ni Ile hali ya kutoweza kujamiiana nao na kupata kiumbe hai kamili.

Kwa kutumia Classification hiyo basi evolutionists wakaja na theory kwamba kwa sababu tupo kwenye genus moja basi kuna uwezekano tulitokana na kiumbe mmoja (common ancestor ). Kutokana na mabadiliko ya hali ya dunia kipindi hicho huyu common ancestor akashindwa kuendana na mazingira hivyo evolution ikatokea na kutokea species hizi ambazo tunaziita nyani na binadamu.

Nadhani hukuelewa tu kuwa hiyo historia ya mwanadamu imebase katika evolutionary theory ambayo inasema mwanadamu ametokana na nyani like organism na sio nyani kama ulivosema.

Na hizi zote ni theories tu katika kutafuta asili ya maisha hapa duniani. Kwahiyo sio vizuri kusema kuwa wazungu wanasema hivi na hivi wakati wao wenyewe wamesema ni theory tu. Na hiyo ya kuumbwa na mungu pia hawajaipotezea bali ipo kama theory tu.

Wewe unasadikisha nadharia ya Evolution au ?
 
Wewe unasadikisha nadharia ya Evolution au ?
Nilikua najaribu kumuonyesha mleta mada hayo mambo yalikotokea. Mimi naamini hii nadharia kwa 50%. Kuna mambo yanathibitishika kwa hii nadharia.
 
Nilikua najaribu kumuonyesha mleta mada hayo mambo yalikotokea. Mimi naamini hii nadharia kwa 50%. Kuna mambo yanathibitishika kwa hii nadharia.
Kama yapi ? Ili tuone kwa vipi yana thibitishika ?
 
Kama yapi ? Ili tuone kwa vipi yana thibitishika ?
Nilijua tu unanitega ha! ha! a!. Mfano mzuri ni dinosaur ambaye anaonekana alikua ana nguvu sana lakini mwisho wa siku akashindwa kuendana na mazingira na kuwaacha sisimizi na udogo wakiendelea kula mema ya dunia. Je ukiachana na dhana nzima ya evolution unaweza kuelezea ni kwanini dinosaur alipotea ??
 
Hapa sasa ndio tunaona maajabi ya Elimu. Hapa nazungumzia Elimu ya uhakiki wa habari.

Nakuuliza tena swali,Je una uhakika gani juu ya ukweli habari hiyo ?

Je wewe baada ya kupata habari hiyo,ulitumia hatua gani au vigezo gani kuisadiki habari hiyo.

Nasubiri jibu bro !
 
Naendelea.

4. Nasaba au nisba

Huu ni msingi muhimu sana kuujua na kuufanyia kazi unapotaka au unapoiendea elimu fulani.

Lazia ujue elimu unayoisoma au unayo taka kuisoma ina munasaba gani au ina mahusiano na elimu nyingine,au iko ndani ya elimu gani. Hapa nataka nitoe mfano.

Ukiulizwa leo hii Elimu ya USHAIRI ina munasaba gani na elimu nyingine mama ? Hapa moja kwa moja utasema munasaba wa elimu ya ushairi ni miongoni mwa elimu za lugha.

5. Ubora wa elimu husika

Huu ni msingi mkubwa katika kujifunza elimu. Lazima ujue kwamba elimu husika ina ubora gani,je ni lazima kujifunza au sio lazima ? Je elimu hii wachache wakijifunza hutosheleza wengine au la ?

Katika msingi huu kuna mifano kadhaa. Kiimani ni lazima kila mtu ajifunze elimu ya dini yake hapa hakuna udhuru. Ila si lazima kila mtu awe muhandisi au tabibu au mwalimu wa somo fulani,hapa wachache wakisoma wanakuwa wamewatosheleza wengine.

Narudi kuendelea na msingi wa 6......!
 
Back
Top Bottom