Jana niliishia msingi wa nane.
9. Ni wapi imechotwa hiyo fani
Huu ni msingi madhubuti kadhalika katika kuiendea elimu fulani,lazima ujue mpaka elimu hiyo imekuwa elimu na ikasimama yenyewe imetokana na mambo gani.
10. Marejeo ya kufanyia utafiti
Huu ni msingi wa mwisho. Baada ya elimu kuwa fani iliyosimama na kukita mizizi,huja suala la kufanya utafiti juu ya yale yaliyomo katika fani husika. Hapa lazima ujue marejeo ya kielimu hasa vitabu ambavyo ambavyo vitakusaidia kufanya utafiti juu ya fani hiyo.
Marejeo hukusaidia kutatua matatizo au kupata ufumbuzi juu ya yale yenye utata katika fani husika.
Natilia mkazo mimi,mwenye kuidhibiti misingi hii yote katika atakuwa amepata utukufu katika ile fani yoyote anayoiendea.
Anza leo kufanyia kazi misingi,na utarajie mazuri na kupata ladha ya elimu unayoitaka.
Nimemaliza.