HISTORIA: Jinsi Jina la "TANZANIA" lilivyobuniwa

Mtoto wa Dokta Samia.
1792866313278.png

1792866337415.png

1792866398956.png

1792866420578.png

Picha ya kwanza Ofisi Ndogo ya CCM, Lumumba Avenue nyuma ya mabati yaliyozungushwa ilipokuwa nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Mtaa wa Kariakoo.

Picha ya pili nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma.
Picha ya tatu Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi wa Rais 1970.

Sheikh Haidar Mwinyimvua Mjumbe Halmashauri Kuu ya TANU 1954 mtoto wa Bi. Mwamtoro bint Chuma.
 
Mzee Mohamed "unasema Tatizo ni wanakataa kuwa aliyebuni jina Tanzania.....", ni kina nani hao wanakataa?

Barua ya wizara ilisema apokee 200 yeye na wenzake 16, tunaomba majina ya hao 16 pia tuyafahamu.

Infact, Hongera kwa juhudi unazozionyesha kwenye kuiweka sawa Historia ya hili Taifa.
Ishu ni kwamba huyi mzeeni mdini! Hilo la dini kai
Katika mahojiano yake

Jibu: Kabla ya kulipeleka kunakohusika serikalini nilifanya utafiti mdogo na kugundua kuwa nchi nyingi za Afrika majina yao yanaishia na IA kwa mfano EthiopIA, ZambIA, NigerIA, TunisIA, SomalIA, GambIA, NamibIA, LiberIA, MauritanIA. Baada ya utafiti huo nikapendekeza na kuamua kwamba jina TANZANIA ndilo litumike kuwakilisha nchi hizi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Kwa maana hiyo jina TANZANIA limezaliwa kutoka katika majina manne ambayo ni Tanganyika, Zanzibar, Iqbal na Ahmadiyya.

Pia baada ya kufanya utafiti na kuhundia nchi nyingi za Africa zinaishia ja IA nalo ikamshawishi amalizie IA

Kusema kuwa I na dini yake A hizo zilikuwa mbwembwe zake

Inapendeza pia kwamba mbwembwe zake za kuwa jina lake ni I na dini yake A

Ingawa hakuna dini ya A, au ipo dini ya namna hiyo?

Dini ni Uislam. Hizi zehebu Shia, Sunni au Answsr ....sio dini, kama ni dini nieleweshe...
Huyu mzee ni mdini, hapo kwenye dini katafuta means ya kuingiza ili ionekane hivyo, si kwamba hajui hilo la huo utafiti! Hiyu mzee anyang'anywe simu na humu jf apigwe marufuku ikibidi account yake ifutwe.
 
Tufanye Tanzania iitwe hata Islamic State of Tanzania(IST), tunachotaka sisi ni maendeleo na umasikini uishe, sio hizi porojo zako za kulazimisha Tanzania kuwa nchi iliyoanzishwa na Waislamu.
Miaka 25 baada uhuru na kanisa katoliki kwa mfumo kristo iliitoa Tanzania kutoka kuwa na uchumi sawa na South Korea mpaka kuwa nchi ya pili kutoka mwisho kwa umasikini tukiwa juu ya msumbiji wa mwisho.
If you fail to plan, then plan to fail, if you loose the initiative, means you will always be chasing the back of "progress"
 
Tatizo langu kwake analeta historia za familia na kuzilazimisha kuwa Historia ya Tanzania. Hapo hatutaelewana kamwe!
Mtoto...
Silazimishi lolote.
Hii ndiyo historia ya jamii niliyozaliwa mimi.

Angalia video hii:

View: https://youtu.be/x2tRI9JFItw?si=TPN2hXKMkti1RaR7
Ulipewa na wasiojua Historia sahihi ya nchi hii.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

1792873664465.png

Huu ni mradi wa Harvard na Oxford University Press New York uliosimamiwa na Prof. Michael Akyeampong
na David Louis Gates.
 
Ishu ni kwamba huyi mzeeni mdini! Hilo la dini kai

Huyu mzee ni mdini, hapo kwenye dini katafuta means ya kuingiza ili ionekane hivyo, si kwamba hajui hilo la huo utafiti! Hiyu mzee anyang'anywe simu na humu jf apigwe marufuku ikibidi account yake ifutwe.
1792874194101.png

​
 
🏚️ NYUMBA YA BI MWAMTORO BINT CHUMA: MIKAKATI YA UHURU WA TANGANYIKA ILIPANGWA HAPA, LEO IMEBOMOLEWA!

Je, historia ya uhuru wa Tanganyika inafutika mbele ya macho yetu?

📌 KUTOKA MAKTABA YA MOHAMED SAID

Katika video hii, mwandishi Mohamed Said anatufikisha mtaa wa Kariakoo na Lumumba Avenue, Dar es Salaam, kuonyesha eneo lenye historia kubwa katika harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Hapa ndipo ilipokuwa nyumba ya Bi Mwamtoro Bint Chuma, mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Kwa mujibu wa simulizi ya Mohamed Said, nyumba hii ilihusishwa na mikutano ya siri ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika.

Mohamed Said anaeleza jinsi Bi Mwamtoro Bint Chuma alivyovunja ua uliotenganisha nyumba yake na ofisi ya TANU ili kuunganisha maeneo hayo kwa ajili ya mikutano. Wanawake walikaa upande wa nyumba yake, huku wanaume wakikaa upande mwingine. Mwalimu Julius Nyerere na wanaharakati wengine walikutana hapo kupanga mikakati ya kupigania uhuru.

Mzee Rashid Kawawa aliwahi kuwaambia watoto wa Bi Mwamtoro Bint Chuma kwamba, iwapo wangeamua kuiuza nyumba hiyo, wampe kipaumbele ili ihifadhiwe kama sehemu ya historia ya harakati za uhuru.

Lakini Mohamed Said anapofika eneo hilo, anakuta mabati na ushahidi wa nyumba iliyokuwa ikisimulia historia ya ukombozi wa Tanganyika. Nyumba hiyo ilikuwa imebomolewa, na kumbukumbu muhimu ya kihistoria ilikuwa hatarini kupotea.

Katika simulizi yenye huzuni, Mohamed Said anakumbuka mazungumzo yake na marehemu Bwana Ali kuhusu kubomolewa kwa nyumba nyingine ya kihistoria. Anaeleza hofu yake kwamba maeneo yaliyoshuhudia harakati za uhuru yanaweza kutoweka bila kuhifadhiwa kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Pia anazungumzia historia ya tawi la TANU lililokuwa na nguvu kubwa Kariakoo na kutaja nyumba ya Ali Mshamu, ambayo nayo iko katika hatari ya kupoteza utambulisho wake wa kihistoria.

Mwisho wa simulizi, Mohamed Said anakumbusha umuhimu wa Bi Mwamtoro Bint Chuma katika historia hii kwa kueleza kuwa mwaka 1970 alipiga kura katika uchaguzi mkuu. Anatafakari uhusiano wake na Mwalimu Julius Nyerere, ambaye alifungua milango ya nyumba yake na kuruhusu eneo hilo kutumika katika harakati za kudai uhuru.

Historia ya uhuru haipo kwenye vitabu pekee. Ipo pia katika nyumba, mitaa na maeneo ambayo viongozi na wananchi walikutana kupanga mustakabali wa taifa.

🔴 SWALI LA KUTAFAKARI: Tunapobomoa nyumba zilizohusishwa na harakati za uhuru bila kuhifadhi kumbukumbu zake, tunawaachia nini watoto na wajukuu wetu?

🎥 Tazama video hadi mwisho na shiriki maoni yako.

📚 KUTOKA MAKTABA YA MOHAMED SAID — kuhifadhi historia, ushahidi na kumbukumbu za Tanganyika na Tanzania.

SEO KEYWORDS

Mohamed Said, Bi Mwamtoro Bint Chuma, Sheikh Haidar Mwinyimvua, historia ya Tanganyika, historia ya uhuru wa Tanganyika, TANU, African Association, Mwalimu Julius Nyerere, Rashid Kawawa, historia ya Kariakoo, Lumumba Avenue Dar es Salaam, nyumba za kihistoria Tanzania, mikutano ya TANU, harakati za kupigania uhuru, urithi wa kihistoria Tanzania, historia ya Dar es Salaam, Kutoka Maktaba ya Mohamed Said.

HASHTAGS

#MohamedSaid #KutokaMaktabaYaMohamedSaid #BiMwamtoroBintChuma #SheikhHaidarMwinyimvua #HistoriaYaTanganyika #TANU #JuliusNyerere #RashidKawawa #HistoriaYaTanzania #Kariakoo #UhuruWaTanganyika #UrithiWaKihistoria #TanzaniaHistory

View: https://youtu.be/i95KQfYVi7s?si=_LWw4BnJ3r_WAoKe
 
Unajitetea sana mzee wangu! Ila chonde chonde ukiweka siku ukiweka udini pembeni, jina lako litavuma na kuandikwa kwenye miamba nchi nzima! Utatengenezewa sanamu na litawekwa pale Ubungo! Wewe ni hazina, tunakuheshimu kwa maarifa yako na historia! Ila weka udini mbali!
 
Mzee Said unapoteza mda kushabikia Uislamu na Tanzania hakuna mtu anayekuchulia serious!

Kimsingi unazeeka vibaya
Mzalendo...
Sijapatapo kupoteza muda wangu.

Uislamu ndiyo dini yangu na ndiyo dini ya wazee wangu na Uislam si jambo la ushabiki.

Baada ya kuandika kitabu cha Abdul Sykes nilitiwa katika miradi kadhaa ya kisomi Marekani na Ulaya.

Hapa nyumbani nimekuwa maarufu kupita kiasi.
 
Tangu nikuone msikitini siku Ile unaongea mambo ya udini, nilikufuta kwenye watu wa maana.
 
Mzalendo...
Sijapatapo kupoteza muda wangu.

Uislamu ndiyo dini yangu na ndiyo dini ya wazee wangu na Uislam si jambo la ushabiki.

Baada ya kuandika kitabu cha Abdul Sykes nilitiwa katika miradi kadhaa ya kisomi Marekani na Ulaya.

Hapa nyumbani nimekuwa maarufu kupita kiasi.
Hujaitwa Saudia?

Ulaya na Marekani ni MAKAFIRI.
 
Unajitetea sana mzee wangu! Ila chonde chonde ukiweka siku ukiweka udini pembeni, jina lako litavuma na kuandikwa kwenye miamba nchi nzima! Utatengenezewa sanamu na litawekwa pale Ubungo! Wewe ni hazina, tunakuheshimu kwa maarifa yako na historia! Ila weka udini mbali!
Frey...
Nijitetee kwa kufanya kosa gani?
Mimi si mdini nilichofanya nimeandika historia ya jinsi Waislamu walivyopambana na ukoloni.

Mimi nasomwa kwingi vyuoni Ulaya na Marekani sihitaji sanamu.

Huko sijasikia mimi kushutimiwa udini wanashangaa vipi Tanzania ilikuwa ikispmesha historia ilojojaa makosa.

Mimi kalamu yangu inawasiliana na bongo za watu kama hivi wewe unavyonisoma.
 
Back
Top Bottom