HISTORIA: Jinsi Jina la "TANZANIA" lilivyobuniwa

HISTORIA: Jinsi Jina la "TANZANIA" lilivyobuniwa

Hujaitwa Saudia?

Ulaya na Marekani ni MAKAFIRI.
Mpwimbe,
Nimefika Saudia mara tatu.
Nimezungumza University of Madina.

Mwaka wa 2014 wakati wa Hijja nilialikwa na Mfalme na nilikwenda.
 
Ni kweli kabisa. Dini ni jambo binafsi.

Sasa ni jini gani huwa linakuingia mpaka unadhani kila mtu analazimika kufuta mfumo wa dini yako?

Huko peponi Allah anahukumu mtu mmoja mmoja kwa matendo yake au kundi?
Mpwimbe,

Mimi sijapata kufanya mahubiri hapa.

Kitabu changu kinaeleza mchango wa Waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Mpwimbe,

Mimi sijapata kufanya mahubiri hapa.

Kitabu changu kinaeleza mchango wa Waislamu katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mchango wa Waislam au mchango wa Sykes?

Kwenye Quran mnafundwa UNAFIKI, kulialia na kuomba omba?
 
Mchango wa Waislam au mchango wa Sykes?

Kwenye Quran mnafundwa UNAFIKI, kulialia na kuomba omba?
Mpwimbe,
Kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika."

Hayo mengine nayakalia kimya.
 
Mpwimbe,
Kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika."

Hayo mengine nayakalia kimya.
Bado kipo msikiti wa Mtoro?
 
Frey...
Nijitetee kwa kufanya kosa gani?
Mimi si mdini nilichofanya nimeandika historia ya jinsi Waislamu walivyopambana na ukoloni.

Mimi nasomwa kwingi vyuoni Ulaya na Marekani sihitaji sanamu.

Huko sijasikia mimi kushutimiwa udini wanashangaa vipi Tanzania ilikuwa ikispmesha historia ilojojaa makosa.

Mimi kalamu yangu inawasiliana na bongo za watu kama hivi wewe unavyonisoma.
Kwa nini udeal zaidi na uislam?
Kwani wakristo, madhehebu mengine na hata wapagani hawakuhusika?
Ungekuwa kiongozi mkubwa wa dini ingekuwa angalao!
Lakini wewe si raia tu wa kawaida mwenye historia ya nchi hii ilivyopata uhuru..? Balance usiwe bias...
 
Katika historia ya uhuru Waislamu walikuwa mbele kabisa na nimeeleza hili katika kitabu cha Abdul Sykes.

Wapagani hawakuwako lakini Wakristo waliokuwapo na nimewataja.

Bahati mbaya ilipoandikwa historia ya uhuru mchango wa hawa Waislamu mfano wa Abdulwahid Sykes na nduguye Ally Sykes hawakutajwa popote ila kwenye majina ya waasisi wa TANU.

Ndiyo nikaamua kueleza historia hii ili ukweli ufahamike.
 
Huyu mzee ni mtu mjinga
Mzalendo...
Ikiwa mimi ni mjinga hapa JF sijui wewe ipi itakuwa nafasi yako.

Katika kitabu cha Maisha ya Julius Nyerere kilichoandikwa na Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Ngwaza Kamata wanasema Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni taarifa za Julius Nyerere.

Maktaba ya kwanza ya Dr. Salim Ahmed Salim, ya pili yangu Mohamed Said na ya tatu ni ya Brig. General Hashim Mbita.

Jopo hili lilinihoji mara mbili kuhusu Julius Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu hicho.
 
Mzalendo...
Ikiwa mimi ni mjinga hapa JF sijui wewe ipi itakuwa nafasi yako.

Katika kitabu cha Maisha ya Julius Nyerere kilichoandikwa na Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman na Ngwaza Kamata wanasema Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni taarifa za Julius Nyerere.

Maktaba ya kwanza ya Dr. Salim Ahmed Salim, ya pili yangu Mohamed Said na yatu ni ya Brig. General Hashim Mbita.

Jopo hili lilinihoji mara mbili kuhusu Julius Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu hicho.
Nimefurahi ulivyomtaja Brig-Gen Hashim Idd Mbita, alifariki mwaka 2015 akiwa kashastaafu, alikuwa katibu wa kamati ya ukombozi, ambapo jeshi la wananchi Tanzania lilihusika kusaidia nchi zingine za Afrika kudai uhuru kutoka kwa wakoloni.

Nashangaa mzee Mohamed Said unajua kutumia mitandao ya kijamii kuliko hata baadhi ya vijana GEN Z.
 
Zinn,
Mara yangu ya kwanza kugusa computer ilikuwa 1991 nilipokwenda Uingereza kusoma.

Kuanzia hapo nikaipenda computer.

Mimi nilikuwa mtu wa kwanza kuwa na computer nyumbani mwaka wa 1995 ambayo alinipa rafiki yangu akifanya kazi UNDP.

Computer hii ndiyo iliyoandika kitabu cha Abdul Sykes.
 
Kamtaja mara 20 kwenye video,sijui alimfanya nini yule jamaa
Babukijana,
Tunaweza tukafanya mjadala huu kwa uungwana bila matusi.

Naanza na kutotajwa Abdul Sykes na kutajwa Abdul Sykes katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hapa ndipo ulipo msingi wa historia ya harakati za kupigania uhuru wa nchi yetu Tanganyika kuanzia mwaka wa 1929 African Association ilipoasisiwa.

Sasa hebu tumtafute Kleist Sykes katika historia.

Kleist Sykes alikutana na Dr. Kweggyr Aggrey Dar es Salaam mwaka wa 1924 na ndiye aliyempa fikra ya kuunda African Association.

Bahati mbaya kuna watu maini yanawakatika na historia hii.

Jina la Sykes linawataabisha.

Mimi nimeeleza historia hii na kumtaja Sykes.

Mwaka wa 1929 hawa wafuatao waliounda African Association: Cecil Matola, Kleist Sykes, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Suleiman Majisu, Zibe Kidasi, Ibrahim, Hamisi, Raikes Kusi na Rawson Watts.

Sykes nimemtaja.

Je ungependa tuondoe jina lake asiwe muasisi wa African Association mwaka wa 1929?

Vipi?

Tukiliondoa jina la Sykes kutakuwa na upungufu wowote katika historia ya Tanganyika?

Mimi nashauri tuliondoe.

Mohamed Said asitaje jina hili katika historia ya Tanganyika.

Sasa tuje mwaka wa 1950 African Association sasa inajulikana kama TAA yaani Tanganyika African Association.

Dr. Vedasto Kyaruzi President wa TAA na Abdul Sykes Secretary General.

Hapa napo vipi tuliondoe jina la Sykes katika historia ya TAA lisitajwe?

Mwaka huu TAA inaunda TAA Political Subcommittee: Dr. Vedasto Kyaruzi, Abdul Sykes, Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Mwapachu, Steven Mhando na John Rupia.

Abdul Sykes anakutana na Jomo Kenyatta, Nairobi mwaka huu wa 1950.

Sykes wanatajwa sana wapo kila mahali katika historia ya Tanganyika.

Hii ni mara ya 20 wanatajwa!

Mwaka 1953 Uchaguzi wa TAA nafasi ya Rais inagombewa kati ya Abdul Sykes na Julius Nyerere Arnautoglou Hall.

Sykes katajwa tena.
Hakwepeki?

Nashauri tusimtaje tumtaje Nyerere peke yake.

TANU inaasisiwa na katika waasisi 17 kuna Sykes wawili kaka mkubwa Abdulwahid na mdogo wake Ally.

Nipe ushauri vipi tunaweza kuwafuta wasiwe sehemu ya historia ya Tanganyika?

View: https://youtu.be/cGln0q9H1Oc?si=laq96NNC-vUVqVk7
 
Zinn,
Mara yangu ya kwanza kugusa computer ilikuwa 1991 nilipokwenda Uingereza kusoma.

Kuanzia hapo nikaipenda computer.

Mimi nilikuwa mtu wa kwanza kuwa na computer nyumbani mwaka wa 1995 ambayo alinipa rafiki yangu akifanya kazi UNDP.

Computer hii ndiyo iliyoandika kitabu cha Abdul Sykes.
OK
 
Back
Top Bottom