Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hasa weweAmina!
Kumbuka u mavumbi wewe nawe mavumbini utarudi!
[emoji38][emoji38][emoji38]Hasa wewe
Kanisa ni waumini mkuu.. labda waumini washauriwe wafanye hayo uliyotaja na si kila kukicha kukesha makanisan na kulia.. ukiulizwa unalia nn unajibu nin?Kanisa Lianze Kutoa Asilimia kadhaa Kutoka Kwenye Sadaka, Shukrani, Harambee n. K n. K tuongozane nalo Tukawasaiidie Wagonjwa, masikini, wajane na Wasiojiweza siyo Libebeshe tena Mizigo waumini wake
Kanisa Lijitoe na Liwe mfano kwa Kuanza kufanya hayo na Waumini wake walifuata Nyuma
Kila Weekend linakusanya Michango mbalimbali kutoka kwa waumini kwanini Katika Mfungo kama huu lisiwe la Mfano kuonyesha Matendo hayo ya Huruma
Kanisa ni waumini mkuu.. labda waumini washauriwe wafanye hayo uliyotaja na si kila kukicha kukesha makanisan na kulia.. ukiulizwa unalia nn unajibu nin?
Au laa kupitia kanisa.. waseme bas hata sku1 mchango wa leo ni kwaajili ya dawa hospitali.. hutoskia hilo ng'ooo
Hiyo ni dhana uliyonayo wewe kwamba Kanisa ni waumini. Hebu nenda kwenye Miradi yao huko waambie Leo nasimama Mimi mapato Yenu maana Ni Muumini wenu au Waambie tu Jamani Leo ni mie ni Mgonjwa Nimekuja Katika Hospitali yenu Nionyesheni Matendo ya Huruma sina Pesa Jamani leo nipunguzienj hata Bei kwenye Dawa
Halafu uje Uone
Huwezi sikia maana Watu wengi mmepumbazaa msitumie Akili Timamu. Wewe kila siku Unaenda Kusali na Unatoa Sadaka na Shukrani na Harambee. Sasa Si Muda kama Huu wa Kufunga si ndio muda sahihi wa Kupeleka hizo Shukrani zenu na Sadaka zenu kwa Wahitaji inakuwaje Mnaanza Tena Kuhubiriana Maswala ya Muumini tena Aende Kufanya Matendo ya Huruma si Myafanye Nyie wenyewe huko huko Kanisani. Kanisa si ndio mstari wa Mbele Kufanya mambo hayo.
Yaani Nyie Mna ambiwa Fanyeni matendo ya Huruma halafu Lenyewe linaenda Kujenga na Kuimarisha Vigango na Miradi
Yesu alifunga siku 40 alipokuwa anajiandaa na huduma na baada ya mfungo alijaribiwa na shetani.
Swali:- Kwanini sisi tunafunga tunapoelekea Kwaresma?
Majibu yao yanajulikana ndugu yangu. kuwa Eti unakumbushwa kwamba Wewe ni Mavumbi na Mavumbini Utarudi.Swali lingine.
Kwa nini tunapakwa majivu kwenye paji la uso na uso uleta nuru ya MTU? Sasa ukipakwa majivu maana Yake ni nini kiroho? Sindio kutiwa giza ?
Maswali haya kupatiwa majibu ni muhimu sana kwa waamini maana kuuliza sio ujinga Ndugu waamini.
id yako nimejikuta nakumbuka bioloji ya class😄 kitu amphibiaHatufungi kuelekea Kwaresma, kwani Kwaresma ndio mfungo wenyewe. Bali tunafunga kuelekea kuadhimisha mateso, kifo na ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristu (Pasaka).
nafikiri ni alama tu kuashiria we ni mkristo km wagogo ukienda dodoma utawajua kwa ndonye la usoniSwali lingine.
Kwa nini tunapakwa majivu kwenye paji la uso na uso uleta nuru ya MTU? Sasa ukipakwa majivu maana Yake ni nini kiroho? Sindio kutiwa giza ?
Maswali haya kupatiwa majibu ni muhimu sana kwa waamini maana kuuliza sio ujinga Ndugu waamini.
Ndugu yangu Majivu yanaendanaje na Ukristonafikiri ni alama tu kuashiria we ni mkristo km wagogo ukienda dodoma utawajua kwa ndonye la usoni
ile musalaba nasemea au wanachorwaga alama gani?Ndugu yangu Majivu yanaendanaje na Ukristo
Aisee MKUU umenifumbua macho. Hivi majivu siyanatokana na Moto??? Tuwe macho Ndugu zanguni kudadisi mambo ni kuzuri sana shetani anaviji mambo ambavyo kuvigundua inatakiwa uwe na ufahamu wa rohoni.Majibu yao yanajulikana ndugu yangu. kuwa Eti unakumbushwa kwamba Wewe ni Mavumbi na Mavumbini Utarudi.
Cha Kujiuliza Huo Utaratibu wa kupakwa majivu aliuacha nabii gani au Mtume Gani. Na Kma Hakuuacha Wao wametoa wapi. Na Kwanini ni Majivu na Si Udongo wa Ardhini maana Mimi sikuumbwa na Majivu ila Udongo wa Ardhini
Majivu si Udongo na Udongo si Majivu na Binadamu hakuumbwa na Vumbi ila udongo hapa Kuna Watu wanaabudu vitu wasivyovijua