Historia: Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima cha Siku 40

Leo ikiwa ndio siku ya Jumatano ya Majivu , ambayo ndio mwanzo wa Kwaresma kuelekea Pasaka , JamiiForums imewakumbuka wote wanaohusika na jambo hilo kwa kuwatakia Siku njema .

Hili hapa ndio bango lao

LEO_NI_JUMATANO_YA_MAJIVU._KWARESMA_INAANZA_RASMI%0A-%0ASiku_ya_kwanza_ya_kipindi_cha_Kwaresma...jpg
 
Da maskini Mbowe kakosa na majivu na pasaka anailia jela duuu na Christmas ya mwaka huu nayo atalia jela duuuuuuuuuuuu
 
Ubarikiwe sana kwa uinjilishaji ulioufanya kwetu katika siku hii ya jumatano ya majivu. ASANE SANA.
 
Kanisa Lianze Kutoa Asilimia kadhaa Kutoka Kwenye Sadaka, Shukrani, Harambee n. K n. K tuongozane nalo Tukawasaiidie Wagonjwa, masikini, wajane na Wasiojiweza siyo Libebeshe tena Mizigo waumini wake

Kanisa Lijitoe na Liwe mfano kwa Kuanza kufanya hayo na Waumini wake walifuata Nyuma

Kila Weekend linakusanya Michango mbalimbali kutoka kwa waumini kwanini Katika Mfungo kama huu lisiwe la Mfano kuonyesha Matendo hayo ya Huruma
Kanisa ni waumini mkuu.. labda waumini washauriwe wafanye hayo uliyotaja na si kila kukicha kukesha makanisan na kulia.. ukiulizwa unalia nn unajibu nin?

Au laa kupitia kanisa.. waseme bas hata sku1 mchango wa leo ni kwaajili ya dawa hospitali.. hutoskia hilo ng'ooo
 
Hiyo ni dhana uliyonayo wewe kwamba Kanisa ni waumini. Hebu nenda kwenye Miradi yao huko waambie Leo nasimama Mimi mapato Yenu maana Ni Muumini wenu au Waambie tu Jamani Leo ni mie ni Mgonjwa Nimekuja Katika Hospitali yenu Nionyesheni Matendo ya Huruma sina Pesa Jamani leo nipunguzienj hata Bei kwenye Dawa

Halafu uje Uone

Huwezi sikia maana Watu wengi mmepumbazaa msitumie Akili Timamu. Wewe kila siku Unaenda Kusali na Unatoa Sadaka na Shukrani na Harambee. Sasa Si Muda kama Huu wa Kufunga si ndio muda sahihi wa Kupeleka hizo Shukrani zenu na Sadaka zenu kwa Wahitaji inakuwaje Mnaanza Tena Kuhubiriana Maswala ya Muumini tena Aende Kufanya Matendo ya Huruma si Myafanye Nyie wenyewe huko huko Kanisani. Kanisa si ndio mstari wa Mbele Kufanya mambo hayo.

Yaani Nyie Mna ambiwa Fanyeni matendo ya Huruma halafu Lenyewe linaenda Kujenga na Kuimarisha Vigango na Miradi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Swali lingine.
Kwa nini tunapakwa majivu kwenye paji la uso na uso uleta nuru ya MTU? Sasa ukipakwa majivu maana Yake ni nini kiroho? Sindio kutiwa giza ?

Maswali haya kupatiwa majibu ni muhimu sana kwa waamini maana kuuliza sio ujinga Ndugu waamini.
Yesu alifunga siku 40 alipokuwa anajiandaa na huduma na baada ya mfungo alijaribiwa na shetani.

Swali:- Kwanini sisi tunafunga tunapoelekea Kwaresma?
 
Swali lingine.
Kwa nini tunapakwa majivu kwenye paji la uso na uso uleta nuru ya MTU? Sasa ukipakwa majivu maana Yake ni nini kiroho? Sindio kutiwa giza ?

Maswali haya kupatiwa majibu ni muhimu sana kwa waamini maana kuuliza sio ujinga Ndugu waamini.
Majibu yao yanajulikana ndugu yangu. kuwa Eti unakumbushwa kwamba Wewe ni Mavumbi na Mavumbini Utarudi.

Cha Kujiuliza Huo Utaratibu wa kupakwa majivu aliuacha nabii gani au Mtume Gani. Na Kma Hakuuacha Wao wametoa wapi. Na Kwanini ni Majivu na Si Udongo wa Ardhini maana Mimi sikuumbwa na Majivu ila Udongo wa Ardhini

Majivu si Udongo na Udongo si Majivu na Binadamu hakuumbwa na Vumbi ila udongo hapa Kuna Watu wanaabudu vitu wasivyovijua
 
Hatufungi kuelekea Kwaresma, kwani Kwaresma ndio mfungo wenyewe. Bali tunafunga kuelekea kuadhimisha mateso, kifo na ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristu (Pasaka).
id yako nimejikuta nakumbuka bioloji ya class😄 kitu amphibia
 
Swali lingine.
Kwa nini tunapakwa majivu kwenye paji la uso na uso uleta nuru ya MTU? Sasa ukipakwa majivu maana Yake ni nini kiroho? Sindio kutiwa giza ?

Maswali haya kupatiwa majibu ni muhimu sana kwa waamini maana kuuliza sio ujinga Ndugu waamini.
nafikiri ni alama tu kuashiria we ni mkristo km wagogo ukienda dodoma utawajua kwa ndonye la usoni
 
Majibu yao yanajulikana ndugu yangu. kuwa Eti unakumbushwa kwamba Wewe ni Mavumbi na Mavumbini Utarudi.

Cha Kujiuliza Huo Utaratibu wa kupakwa majivu aliuacha nabii gani au Mtume Gani. Na Kma Hakuuacha Wao wametoa wapi. Na Kwanini ni Majivu na Si Udongo wa Ardhini maana Mimi sikuumbwa na Majivu ila Udongo wa Ardhini

Majivu si Udongo na Udongo si Majivu na Binadamu hakuumbwa na Vumbi ila udongo hapa Kuna Watu wanaabudu vitu wasivyovijua
Aisee MKUU umenifumbua macho. Hivi majivu siyanatokana na Moto??? Tuwe macho Ndugu zanguni kudadisi mambo ni kuzuri sana shetani anaviji mambo ambavyo kuvigundua inatakiwa uwe na ufahamu wa rohoni.
 
Back
Top Bottom