Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena.

Na nasikia huenda hata na Cabinet la mwaka 2025 kwa 65% au hata 75% likawa dominated na Wanawake (akina Mama) watupu tu na hata kule Kwingineko kwenye Usiri na Unyeti mwingi Kiutendaji Wanawake wakawekwa vile vile.

Haya Mama yetu (Waziri Mkuu mtarajiwa kwa mwaka 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu) anza sasa Kujiandaa jinsi ya Kuishi Kiprotokali zaidi japo najua Protokali umeshazizoea na bado hata sasa upo katika Maisha ya Protokali.

Sali sana ila punguza kidogo idadi ya Marafiki ulionao kwani wapo baadhi uko nao Jirani (na Unawaamini) wameshalijua hili ambalo GENTAMYCINE nimelijua na wanataka Kukuharibia ili Mama mnayeshibana mno asikuamini tena kisha Wamshawishi wamuweke Msanii (Fisadi) Mwenzao na Wamtakae Mr. Kipara Macho Manne Suti Kifungo Kimoja ili waendelee Kufyonza Mrija wa Utajiri wa Tanzania.

Tafadhali Uzi huu Utunzwe kwa Matumizi ya Mwezi Oktoba kuelekea Novemba mwaka 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Kukamilika/Kumalizika.
 
Kusema tu Premier ajaye atakuwa mwanamke bila kutoa walau ABC za huyo mwanamke hiyo ni ramli tu. Unataka uje kusema kwamba niliwaambia atakuwa ni mwanamke na ndio huyo niliyemsema.
 
Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke ( Mwanamama ) ajaye wa mwaka 2025 ( ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja ) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena.

Na nasikia huenda hata na Cabinet la mwaka 2025 kwa 65% au hata 75% likawa dominated na Wanawake ( akina Mama ) watupu tu na hata kule Kwingineko kwenye Usiri na Unyeti mwingi Kiutendaji Wanawake wakawekwa vile vile.

Haya Mama yetu ( Wazri Mkuu mtarajiwa kwa mwaka 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu ) anza sasa Kujiandaa jinsi ya Kuishi Kiprotokali zaidi japo najua Protokali umeshazizoea na bado hata sasa upo katika Maisha ya Protokali.

Sali sana ila punguza kidogo idadi ya Marafiki ulionao kwani wapo baadhi uko nao Jirani ( na Unawaamini ) wameshalijua hili ambalo GENTAMYCINE nimelijua na wanataka Kukuharibia ili Mama mnayeshibana mno asikuamini tena kisha Wamshawishi wamuweke Msanii ( Fisadi ) Mwenzao na Wamtakae Mr. Kipara Macho Manne Suti Kifungo Kimoja ili waendelee Kufyonza Mrija wa Utajiri wa Tanzania.

Tafadhali Uzi huu Utunzwe kwa Matumizi ya Mwezi Oktoba kuelekea Novemba mwaka 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Kukamilika / Kumalizika.

Sorry wanachaguliwa sababu ni wanawake au sababu ya uwezo? Kama ni gender influenced decision wawe makini
 
Hizi nazo ni tetesi tu, kama ambavyo majina mengine nayo yamekuwa yakihusishwa na uwaziri mkuu 2025.

Tetesi nyingine zinasema Majaliwa nae anaundiwa zengwe asifike 2025, kwa hiyo inawezekana pia tukawa na PM mpya kabla hata ya 2025 kutegemea kama zengwe analoundiwa PM Majaliwa litafaulu.
 
Sisi hatutaki historia. Tunataka maendeleo. Tunataka viongozi wanaoweza kudhibiti rushwa na mfumuko wa bei.
Hatuna shida na sura za watu wala jinsia zao bali tuna shida na wale watakao watumikia wananchi na kuziondoa hizi shida zilizopo !!
 
Mjue kwanza Rais wa 2025 ndio uje kwa PM.

Mambo ni bampa to bampa.
 
Back
Top Bottom