Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

Too general and too low for Gentamycin.
 
Ramli chonganishi
 
Huyo mama namfaham, nimesikia pia hilo. Kwa uzi huu nimekukubali aisee. Kweli unavyanzo sahihi vya taarifa.
 
Kajamaa kwa kujipa UMUHIMU TUU hakajambo [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sawa acha itakavyokuwa.
 

Hii ni ishara ya CCM kuendeleza ushetani wake. Vipi unatabiri viongozi na uchaguzi huru haujafanyika , wala Tume huru ya uchaguzi haijaundwa?
 
Hata wakiweka Waziri Mkuu mwanamke unadhani kuna kitakachobadilika?. Mifumo iliyopo hata uwe na viongozi gani wazuri watakwama tu.
 
Ulimtabiria ODINGA ndiye AJAYE majuzi na haikuwa hivyo, na ulitamba una vyanzo vya kutosha.

2025 Bado mbali na ajaye Si KE, unaweza Rudi USINGIZINI uote tena juu ya huyo PM.
😀 😀😀😀😀😀. Huyu jamaa binafsi nilishamgundua ni illusionist vibaya mno. Ni mtu anaandika mitazamo yake halafu anajidai ametoa kwenye vyanzo vya uhakika. Jamaa kwa Fix ni YAHAYA wa hapa mjini JF
 
Ulimtabiria ODINGA ndiye AJAYE majuzi na haikuwa hivyo, na ulitamba una vyanzo vya kutosha.

2025 Bado mbali na ajaye Si KE, unaweza Rudi USINGIZINI uote tena juu ya huyo PM.
Hii NCHI Hii

Kuna watu wanatukosea Sana!

Hivi mtua anawazaje urais wa 2025 wakati BADO kuna wananchi wanapaswa watoe maoni kama atafaa au hafai!!?

YAANI kivipi YAANI!!?


Huwa anatukosea sana kwakweli!

Halafu huyo Mungu mmemuweka WAPI!?

Haya ngoja Tuone!!
 
Hii ndio mada ya kwanza kutoka kwa mtoaji ambayo binafsi namwona ameonyesha ni jinsi gani alivyo,bora ubakie na mada za michezo, politics ni muhimu uwe impartial ili kuleta mjadala huru, Tanzania umeionyesha kuwa ni mtoto wa ccm, yaani nchi hii ni mali yao, na middle class wa kitanzania wameaminishwa hivyo ni shida
 
Wakianza kupiga umbea ......Siri nyingi zitamwagika........yaani hapo Kira kitu kitakuwa mwanuuuuu ......au nasema uongo ndugu zangu
 
Stargomena Tax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…