Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

Elewa kuwa kuna tofauti kati ya Prime Minister na Premier kwenye nchi ambayo ni Republic na ina Executive President. Nimeshasoma mara kadhaa waandishi wetu wengi wakitumia titles hizo interchangebly hapa kwetu lakini ni makosa kwa vile sisi ni republic na gtuna exceuitve President. Kwenye nchi zenye Consititutional Monarch chini ya King au Queen au ambazo ni Republic na zina Ceremonial Preseident kuna Prime Ministers na Premiers au Chief Ministers. Prime Minister anaongoza mambo yote ya kiserikali wakati Premier anaongoza mambo ya kiserikali kwenye majimbo. Nchi moja inakuwa na Prime minister mmoja na Premiers kadhaa.

Kwa mfano Australia ambayo ni consitutional Monarcy sasa hivi ninavyoandika post hii Prime Minister in Anthony Norman Albanese, na ina Premiers na Cheife Ministers 8 Premiers and chief ministers of the Australian states and territories - Wikipedia

Muundo ni huo huo kwa Canada na New Zealand. Japan pia wana muundo huo huo lakini wao wanawaita Prefectural Governors badala ya Premier.

Vile vile India ambayo ni republic lakini ina Ceremonial President, Rais wake ni Droupadi Murm, Prime Minister wake ni Narendra Damodardas Modi na ina Premiers na Chief Ministers wengi List of current Indian chief ministers - Wikipedia

Kwa Tanzania sisi tuna Prime Minister, siyo Premier kwani ukishakuwa na Premier una indicate kuwa above yake kuna Prime Minister, jambo ambalo siyo sahihi kwa mazingira ya kwetu.
 
Nina uhakika kuwa hata Wewe uliyeiandika hii Post yako hapa hujaielewa kama ambavyo na Sisi Wengine hatujakuelewa vile vile.
 
Sisi hatutaki historia. Tunataka maendeleo. Tunataka viongozi wanaoweza kudhibiti rushwa na mfumuko wa bei.
Sasa Ummy aliweza hilo katika wizara ipi tangu aingie Cabinet?

Zaidi ya kumsindikiza saa-100 kwenda Kuzuga Tanga,wakati akiandaliwa mazingira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…