The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,674
- Thread starter
- #181
Huwa naamini JK ni great statesman kwa kipindi cha kizazi hiki baada ya Saalim na Mahiga. Na angekuwa anaandika( articles ) JK angetambulika sana
Ukitazama utaona with Mkapa gone na Mwinyi kuzeeka sana
Kikwete kabaki the most powerful..
Halafu ni kama Magufuli alitumika kumsafisha Kikwete na Ku pave way Kwa utawala wa Samia ..
Ni kama Kikwete sasa ana nafasi ingine hivi ya
Ku influence kila kitu