Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Magu alikuwa plan BKikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!
Magu alikuwa plan BKikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!
Huyu hajui siasa na anaamini kinachosemwa na mwanasiasaHivi unamjua kikwete kweli? Kikwete ni mtu wa mwanadiplomasia,unafikiri angesema alikuwa anamtaka Membe pale kwenye msiba?
Hapo kwenye, "the ancestors wanapangua"...... Napingana na wewe.
Who are those ancestors?
How sure are you that it's them who interferes and diverges the aforesaid matter?
Huyu hajui siasa na anaamini kinachosemwa na mwanasiasa
Ukute pia anaamini kuwa Kikwete na Mwinyi walisikia taarifa ya msiba kwemye TV kama sisi kwa kuambiwa na simu wafungulie TV mama Samia anatangaza msiba..
Hivi kweli Marais wastaafu na wazee msiba utokee saa 12 kama walivyosema ila wasikie kwenye TV kama sie wananchi wa kawaida....
Biggest No
Before haijatangazwa hao ni miongoni mwa watu wa kwanza kujua
Magu alishachaguliwa na system kumrithi JK miaka miwili kabla ya JK kustaafu.
Utafiti wa ndani wa TISS ulishaonyesha kuwa wananchi wanamkubali Magufuli kumrithi JK
Hii nchi inaongozwa na invisible hand, tutakuja kujua baadae.. ila wanaoipenda nchi hii hawajawah kupewa Mic... God grace.
Namba 1 na namba 5 nani ni plan B hapo?Magu alikuwa plan B
Kivipi?Hata Kagame angekuwa Tanzania, asingedumu mpaka leo, angekuwa historia.
Jk mwongo huyo.Hayati Mugabe aliwahi kusema story za JK akienda kwake anaongea tofauti na akienda kwa wazungu.
Unamuamini Kikwete?Kikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!
Plan A ilikuwa Membe,Plan B ilikuwa Magufuli.Plan ikawa favorable zaidiNamba 1 na namba 5 nani ni plan B hapo?
Jk mwongo huyo.Hayati Mugabe aliwahi kusema story za JK akienda kwake anaongea tofauti na akienda kwa wazungu.
Hapana ni kiherehere chake tu msibani.Kwani ilikuwa ni lazima kwa mujibu wa katiba atuambie alimtaka nani?
Kabisa hotiba ya kikwete ilikuwa defensive...alijaribu kuonesha kuwa Mzee kweli kafariki tarehe tajwa moja ili kuondoa sintofahamu kwamba alifariki before mentioned date...lkn pia alijaribu kujibu kuwa yeye na Mabeyo hawahusiki na tetesi zinazoendelea mitaani kuhusu kuforce kutangazwa kwa msiba as wananchi wanasema ilikuwa inatakiwa bado iwe siri hadi mambo fulani fulani yatimizwe..kuhusu Magu kuwa chaguo lake la kwanza alitaka kujibu kuwa hakuwa team Membe kama ilivyohamishwa...kwa mimi hayo yote ni maneno ya mwanadiplomasia nguli ila ukweli unabaki pale pale.Huyu anaamini kweli Magufuli alikufa tarehe 17 kama ilivyotangazwa....
Jk mwongo huyo.Hayati Mugabe aliwahi kusema story za JK akienda kwake anaongea tofauti na akienda kwa wazungu.
Kwamba waleti yako imejaa hela sasa!!???Safari hii Mungu kaona asimame kati yetu
Asante Mola kwa kusikia maombi yetu
Mbona unalazimisha?Hivi unamjua kikwete kweli? Kikwete ni mtu wa mwanadiplomasia,unafikiri angesema alikuwa anamtaka Membe pale kwenye msiba?
Kikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!