Historia moja imebaki intact; hakuna Rais aliyefanikiwa kurithisha kiti cha Urais kwa amtakaye

Wa
Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.

Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.

Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.

Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.

Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.

Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.

Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.

Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.

Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.

Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Wazee wa Kiafrika hawapumziki hata wakifa; huendelea kufanya kazi kama mizimu!
 
Jifunze kutafti,maneno ya kijiweni yatakupotosha,kikwete alimtaka magu baada baada tu ya kuvunjika kwa ndoa yao rasimi na lowassa,kumbuke hotuba ya siku ya wafanyakzi RUVUMA,na baada ya akina membe na kundi lake kupigwa bani ya miezi 12 na ccm ya kutokujihusisha na maswala ya kisiasa
Stoty yako ndio umeiokota kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.

Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Chaguo la Samia lini hiyo? 2025 au 2030?

Mama Samia mwenyewe anaweza kujikuta wanamtupa nje hiyo 2025
 
Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.

Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.

Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.

Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.

Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.

Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.

Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.

Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.

Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.

Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Nnai alikwambia hayo?
 
Kikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.

Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!

Kikwete mtu wake alikuwa Membe hiyo ya kusema marehemu alikuwa nambari one wake ni maneno ya msibani tu; kuwa hakumpenda marehemu sio siri hasa baada ya kupiga spana mradi wake wa Bagamoyo!! Ungeangalia reaction na body language ya mama Janet wakati wa speech ya Kikwete hapo ungeweza kutambua kuwa uhusiano wao ulikuwa wa urafiki wa mashaka!!

Hivi sasa Kikwete anapigana kufa na kupona kuiteka cc ya chama chao ili aweze kumsimika Mtu wake! Ile yote kuleta historia ya Suluhu Hassan na jinsi alivyofanya kazi chini yake ni mbinu za intimidation ili Rais afuate ushauri wake wa nani wateuliwe kwenye nafasi za VP na SG wa ccm!!! He seems to be very desperate.!
 
Kikwete mtu wake alikuwa Membe hiyo ya kusema marehemu alikuwa nambari one wake ni maneno ya msibani tu; kuwa hakumpenda marehemu sio siri hasa baada ya kupiga spana mradi wake wa Bagamoyo!! Ungeangalia reaction na body language ya mama Janet wakati wa speech ya Kikwete hapo ungeweza kutambua kuwa uhusiano wao ulikuwa wa urafiki wa mashaka!!
Mrisho JK ni msanii haswa,anajua kucheza na maneno ,blue anaweza kusema yellow na watu wakaamini.
 
Kwa bahati nzurii sana Jakaya hana ujuzi wa kujua AUDIENCE yake na kama wasemavyo waswahili "UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU" ; kwani alisahau kuwa wale aliokuwa anawahutubia walikuwa washiriki katika mchakato uliompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais mwaka 2015 na walikuwa mashahidi wa unafiki wake!!

Jeshi letu liko imara kulinda maslahi ya nchi kama alivyosema Mkuu wetu wa majeshi General MABEYO!! Chama kiwe makini katika kuteua nani awe VP kwani vyombo vya ulinzi vinaangalia kwa makini kuhakikisha kuwa hatoki kwenye kundi la mafisadi wanaotaka kurudi kufanya ufisadi uliozuiliwa na marehemu magufuli!!
 
Nafikiri hujaisikia hotuba ya Magufuli akisema kuwa kama siyo Kikwete asingekuwa raisi maana Kikwete aliwakata marafiki zake akamuacha yeye
 
Katika yale majina matano Membe ,January na Asha Rose hawa walikuwa ndio watu wake; Magufuli na Fatma Said Ali aliwaweka kama wasindikizaji !! Alikuwa na uhakika kabisa kuwa asingekosa mmoja kati ya watu wake watatu lakini kura zilipopigwa Magufuli akatoka kidedea kwa Nguvu ya wafuasi wa Lowassa ambaye alikuwa amekatwa kwa nguvu ya Kikwete! Kikwete hakuwakata marafiki zake walikataliwa na wajumbe!!!

Kama Magufuli alisema maneno hayo ni siasa tu kama vile mkwere anavyosema yeye Magufuli ndio lilikuwa chaguo lake la kwanza!!! Ukweli haujifichi.
 
Katika madhimisho ya miaka 34 ya CCM Kikwete alisema tutaweletea mtu mchapakazi na anayekubalika na watanzania wote awe rais wenu.
 
Back
Top Bottom