Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
JK gani? Huyu huyu aliyemwambia lowassa akimaliza kipindi chake anamwachia urais?
Hotuba ilikuwa well calculatedKabisa hotiba ya kikwete ilikuwa defensive...alijaribu kuonesha kuwa Mzee kweli kafariki tarehe tajwa moja ili kuondoa sintofahamu kwamba alifariki before mentioned date...lkn pia alijaribu kujibu kuwa yeye na Mabeyo hawahusiki na tetesi zinazoendelea mitaani kuhusu kuforce kutangazwa kwa msiba as wananchi wanasema ilikuwa inatakiwa bado iwe siri hadi mambo fulani fulani yatimizwe..kuhusu Magu kuwa chaguo lake la kwanza alitaka kujibu kuwa hakuwa team Membe kama ilivyohamishwa...kwa mimi hayo yote ni maneno ya mwanadiplomasia nguli ila ukweli unabaki pale pale.
Alikuwa option namba 2Kikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!
Muwe mnafatilia hotuba za viongozi alafu msiwe wazembe wakuzitunza ukishindwa kuhifadhi mahali jitahidi maneno muhimu jk namnukuu mnasema mm niregerege mnataka rais mkali haya jiandaeni mtampata huyo rais mkali kabla hata mchakato wakura zamaoni bado ulitaka mudahuo akwambie namleta magu kwenu ulikuwa naimani kuwa magu angeweza kumshinda edo akili yakuambiwa changanya nazakoKatika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.
Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.
Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.
Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.
Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.
Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Samia ajifunze hapoKatika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.
Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.
Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.
Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.
Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.
Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Magu alikuwa bonge moja la chawa. Alikuwa anamsifu mnoooo Kikwete.Magu alishachaguliwa na system kumrithi JK miaka miwili kabla ya JK kustaafu.
Utafiti wa ndani wa TISS ulishaonyesha kuwa wananchi wanamkubali Magufuli kumrithi JK
Shangiliatu ila usije tena hapa umejitwika mikono kichwani ukilialia, ooh bora utawala uliopita.Safari hii Mungu kaona asimame kati yetu
Asante Mola kwa kusikia maombi yetu
Mungu hakushindwa kuizuia@mama D, yaani unataka kusema kuwa hata serikali ya Nduli Idi Amini Dada ilitoka kwa Mungu?
Hakushindwa kuzuia Idi Amini Dada kuwa rais au?Mungu hakushindwa kuizuia
Mungu akamuondoa kwa nguvu asije kutusumbua..alishapanga na kina Ndugai wamuongezee muda..mchezo ukamalizwa mapemaa!Jiwe hakuwa na plan za kuondoka ikulu.
Mzee wa Msoga, alijitahidi na kutumia muda mwingi kujisafisha japo hakuweza kuwa smart enough. Aliacha gaps nyingi.Hotuba ilikuwa well calculated
Mnamuonea bure mzee wa watuJiwe hakuwa na plan za kuondoka ikulu.
Jifunze kutafti,maneno ya kijiweni yatakupotosha,kikwete alimtaka magu baada baada tu ya kuvunjika kwa ndoa yao rasimi na lowassa,kumbuke hotuba ya siku ya wafanyakzi RUVUMA,na baada ya akina membe na kundi lake kupigwa bani ya miezi 12 na ccm ya kutokujihusisha na maswala ya kisiasaHivi unamjua kikwete kweli? Kikwete ni mtu wa mwanadiplomasia,unafikiri angesema alikuwa anamtaka Membe pale kwenye msiba?
Ni uwongo wa waziwazi kuwa kikwete alimtaja membe,amwjibu tuhuma hizo kwa kueleza ukweli kuwa yeye alimtaka maguKatika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.
Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.
Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.
Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.
Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.
Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Jk Ni true politician. Very smart..Naomba kama Una link na hiko alichosema Mugabe unitumie..
JK alikuwa Mwenyekiti wa AU wakati Bush anataka kumlazimisha Mugabe ajiuzulu..
Nna uhakika JK alikuwa anawafanyia usanii kina Bush tukapata misadaa mingi kuliko nchi yoyote Africa..
JK katika hapo Kwa Sanaa na hadaa..za kisiasa.. anaweza kutabasam Kwa mtu nyoka kabisa
Halaf Kikwete alivyokuwa mjanja alitaka kuwaambia sio kweli barabara za kuunganisha mikoa zilijengwa kipindi cha Magu.. akasema yeye ndo aliacha legacy ya kujenga barabara zote za kuunganisha mikoa,kasoro ya Kigoma na Katavi. Kazi kwa wale Walikuwa wanaita Magu ndo kajenga barabara zote za nchi hiiKabisa hotiba ya kikwete ilikuwa defensive...alijaribu kuonesha kuwa Mzee kweli kafariki tarehe tajwa moja ili kuondoa sintofahamu kwamba alifariki before mentioned date...lkn pia alijaribu kujibu kuwa yeye na Mabeyo hawahusiki na tetesi zinazoendelea mitaani kuhusu kuforce kutangazwa kwa msiba as wananchi wanasema ilikuwa inatakiwa bado iwe siri hadi mambo fulani fulani yatimizwe..kuhusu Magu kuwa chaguo lake la kwanza alitaka kujibu kuwa hakuwa team Membe kama ilivyohamishwa...kwa mimi hayo yote ni maneno ya mwanadiplomasia nguli ila ukweli unabaki pale pale.
Haaa haaa haaaKama angekuwa hai Hadi 2025 Magu angefanikiwa, angeenda na jina moja tu na hakuna ambaye angempinga.