Huwa naamini JK ni great statesman kwa kipindi cha kizazi hiki baada ya Saalim na Mahiga. Na angekuwa anaandika( articles ) JK angetambulika sana
Jamaa alikuwa na dalili zote za mtu anayesimika mizizi. Kiufupi alishajikita.Jiwe hakuwa na plan za kuondoka ikulu.
I agree!Ukitazama utaona with Mkapa gone na Mwinyi kuzeeka sana
Kikwete kabaki the most powerful..
Halafu ni kama Magufuli alitumika kumsafisha Kikwete na Ku pave way Kwa utawala wa Samia ..
Ni kama Kikwete sasa ana nafasi ingine hivi ya
Ku influence kila kitu
Plan A ilikuwa Membe,Plan B ilikuwa Magufuli.Plan ikawa favorable zaidi
Mungu akaamua kuonesha ukuu wake...Jiwe hakuwa na plan za kuondoka ikulu.
Ingependeza ungeuweka mkuu.Kuna uzi humu JF wa Pascal Mayala kuwa JPM alipitishwa tangu mwaka 2014 kuwa mgombea wa CCM kwa mwaka 2015 na wengi waliupinga na kubeza mwisho mchakato ikawa kweli je wasemaje katika hili mkuu?!
Nchi nyingi za kiafrika Rais anayetoka madarakani anafanikiwakumweka anayemtaka, Mdikteta wengi wamelishika Jeshi kwa 100%Kivipi?
Tanzania ni zaidi ya Rais, kwa jicho la haraka haraka huwezi liona. Hi kitu iliasisiwa Nyerere kwa kitendo chake cha kuachia madaraka.Una maana gani mkuu, fafanua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23] kwahiyo wanaendelea kudunda tuWa
Wazee wa Kiafrika hawapumziki hata wakifa; huendelea kufanya kazi kama mizimu!
Hakuwa na namna maana nchi pamoja na chama chake vilikuwa vimemwelemea, aliwahi ambiwa na kina Shibuda kuwa sisiem itamfia mikononi mwake, hivyo asingekuwa makini angetuacha juu ya miti.Sasa JK nae bwana. Ndio anathibitisha kuwa alituachia msala?! Kusema vile sasa ni sifa au fedheha kwake! Unaiachaje nchi vile?!
TAKUKURU wakisanua hili adharani watakuwa wamefanya jambo lamaana na tukawajua vizuri na huku kwenye vyeo vyakuchaguliwa wajumbe tufanye yetu!Akili yake yote ilikuwa kwenye kupanga mbinu za kumsimika makamu wa Rais anayemtaka pamoja na Katibu Mkuu wa ccm!! TAKUKURU inabidi wafanye kazi ya ziada kuthibiti rushwa kwani rushwa inayotembezwa hivi sasa kabla ya vikao vya juu vya ccm sio ya kitoto!!