Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Jibu ni hivi,Pole Pole akuwai kurudi nchin maana hamna ripoti yake kuhusu yeye kurudi nchini kwenye mamlaka.

Umeruka kiunzi kweli huku ukweli unaujua, eti hakuna taarifa yake huna habari 15/9/2025 polisi walitoa barua ya wito Polepole aende ofisi ya DCI unataka kusema wao walitoa barua kwa mzimu ?

Ukianza kudai kuhusu unaoita utaratibu ambao hata hamufutati ntakuuliza hivi.

Nchimbi yupo wapi, una picha ya Nchimbi akikabidhi ofisi.?
 
Kumbe Mangungo 2.0
 
Kama hakuna vita hasara tupu...anakaribia kustaafu na ujuzi wote huo hajautumia nchini kwake kuna faida gani.
Raha ya mi ujuzi kama hayo uitumie kukiwa na misuko suko ukoswe koswe na hata na blankoo ndo inavyotakiwa.
 
Kwani Nchimbi umesikia aliondoka bila kufuata utaratibu?
Polisi kutoa barua kua afike kituoni ni sahihi sana..ata ukiwa Marekani nk polisi watakuambia ufike kituoni kama unahitajika ndugu. TUMUOMBEE LISSU ARUDI URAIANI NA MAISHA YAENDELEE.
 
Barua ile umeona mahali popote ilisema Polepole yuko Marekani?

Nchimbi tuliambiwa amejiuzulu , lini umeona akikabidhi ofisi na kuwaaga watu waliomchagua kwa 98 % ya kura milioni 31?

Lissu hajakwambia anahitaji kuombewa, thibitisha lini Lissu aliomba aombewe.
 
Mungu anatuasa kuombeana mazuri..kama wewe unaona kumuombea mtu ni vibaya ilo liko kwako mkuu.
TUMUOMBEE LISSU ARUDI URAIANI ILI MAISHA YAENDELEE
 
Mungu anatuasa kuombeana mazuri..kama wewe unaona kumuombea mtu ni vibaya ilo liko kwako mkuu.
TUMUOMBEE LISSU ARUDI URAIANI ILI MAISHA YAENDELEE

Huyo mungu wewe umemuona wapi hadi useme anakuasa kuombeana mazuri?

Ingekua kweli mnamuona huyo mungu basi msingebambikia watu kesi za uongo maana uongo si jambo jema.

Bado hujathibitisha wapi Lissu aliomba aombewe kurudi uraiani.

Nataka uthibitishe hilo, maana mahakama inafanya kazi kwa sheria sio maombi na ndio maana Lissu alisema yeye hataki huruma bali anataka sheria ndio iamue juzi anaitwa mtu kaingia mitini kwenda kusimama kizimbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…