Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Hapo kwenye machawa ungemtaja akiwemo na yeye mwenyeweHujajibu maswali hapo, balozi amepotea miezi 11 akiwa nyumbani kwake je yuko wapi?
Baada ya October 29 tuliambiwa na jaji Chande watu 700 walipotea hadi leo hawajulikani walipo?
Leo tunavyoongea kuna balozi tangu August 25 yuko mateka utasemaje kuna amani ?
Hao wananchi walio salama ni wale walioamua kuwa chawa na mazuzu kukubali kuburuzwa wanaopinga wanapotezwa na kukimbia nchi.
