Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Na hizi ndio athari kuwa na viongozi washirikina na wenye kuamini uchawi na kuishi uchawi huwa inageuka kuwa laana kwa taifa, ndio kama haya tuna yaishi sasa
Hawa watumishi wengine wasio wanasiasa, wajifunze kujiwekeza kabla ya kustaafu

Maisha ya kikokotoo cha 33% sio kabisa

Hasa ukiwa bado una watoto chini ya miaka 18 (wategemezi)
 
Kumaliza sekondari 1992 kujiunga chuo kikuu 2014
Some people are very luck, Kuna dogo mmoja wenzake wanamuitaga KITIVO a.k.a Professor

Ukitizama elimu yake imenyooka ila now yupo mtaani ni BODA BODA inasikitisha sana

Ukisoma cvs za BAADHI ya wakuu wa vyombo na viongozi wetu wa nafasi za juuu kimaamuzi

Tumepigwa big time
 
Hawa watumishi wengine wasio wanasiasa, wajifunze kujiwekeza kabla ya kustaafu

Maisha ya kikokotoo cha 33% sio kabisa

Hasa ukiwa bado una watoto chini ya miaka 18 (wategemezi)
wajifunze kujiwekeza, au wajifunze kuiba ?

kuna mishahar ya kujiwekeza sasa ? Hivyo vi mishahara vya 2 million, mtu ana familia hiyo, daily to daily cost anabaki na kipi hapo ? unless wajifunze wizi tu nao ngoma iwe draw
 
Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elim
7. Nishani ya Utumishi Mrefu.
8. Nishani ya Utumishi Uliotukuka.
9. Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Nne.

Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Umekunya kunya tuu,hakuna la maana uliloandika.
 
Hawa watumishi wengine wasio wanasiasa, wajifunze kujiwekeza kabla ya kustaafu

Maisha ya kikokotoo cha 33% sio kabisa

Hasa ukiwa bado una watoto chini ya miaka 18 (wategemezi)
Mzee wangu ikitokea uka staafu ukachukua pesa Yako then ukaendelea kula pension yakoo let say miaka 10 ( wastaafu wengi majority Huwa hawatoboi miaka zaidi ya kumi)

Sasa ikitokea AKAFARIKI Dunia JE Kuna pesa yoyote ambayo WANAPEWA mkewe na watoto kama pesa ya kuagana na mfuko wa hifadhi ya jamii?

Naomba kuwasilisha
 
Ukishapokea gawio la mkupuo (Ile 33%) Ile inayobaki inatolewa kidogo kidogo hadi utakapoaga Dunia

Kwahiyo ukifa, ndiyo imetoka hiyo

Hakuna pesa nyingine familia itapewa baada ya kifo chako
 
Back
Top Bottom