Inawezekana kilipotezwa kuficha madudu flani flani kama hayaChuo cha Mount Meru kilifilisika hakipo tena😂😂
DuhhhMuhimu ni yeye kuja mahakamani kutolea ushahidi tu basi.
Hii CV wabaki nayo walio au wanao mteua.
Elimu mbali mbaliKumaliza sekondari 1992 kujiunga chuo kikuu 2014
Yani 1992 anakuja kusoma Chuo mwka 2014....??? duuuh au ndio elimu ,bali mbali..Baada ya kumaliza Elimu yake ya Sekondari Alijiunga na Elimu ya chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mwaka 2014 hadi 2017 na kutunukiwa shahada ya sanaa katika Utawala wa Umma na Usimamizi wa Rasilimali Watu.
Hivyo mpaka anakuwa Afisa alikuwa na elimu ya form Six sioenerali Jacob John Mkunda alijiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa "JKT" kwa mujibu wa sheria mwaka 1992 na ulijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania "JWTZ " Tarehe 1 Aprili mwaka 1993. Pia alihudhuria mafunzo ya Afisa Mwanafunzi na kutunukiwa kamisheni katika Chuo cha Monduli tarehe 25 Juni mwaka 1994.
Sawa, hawezi kukaa huko milele.Yuko Nje ya Nchi Kikazi
Duuuh.. Sasa itakuwaje..??Chuo cha Mount Meru kilifilisika hakipo tena😂😂
Swali ni moja, nani aliruhusu wanajeshi kuingia mtaani na bunduki na kwanini hawajazuia wananchi kuuawa?Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Tutawafuatilia Alumni wa hicho chuo😂😂Duuuh.. Sasa itakuwaje..??
Huenda hata darasani hakuingia.. alihonga pesa akatengenezewa Cheti cha Shahada...Tutawafuatilia Alumni wa hicho chuo😂😂
Jenerali
9. Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Nne.
Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
Huzuni sanaHuenda hata darasani hakuingia.. alihonga pesa akatengenezewa Cheti cha Shahada...