Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Hivyo mpaka anakuwa Afisa alikuwa na elimu ya form Six sio
 
Shule ya Sekondari Ndanda mwaka 1990 hadi 1992.

Baada ya kumaliza Elimu yake ya Sekondari Alijiunga na Elimu ya chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mwaka 2014 hadi 2017

Unamaliza Kidato cha sita 1992 unajiunga chuo Kikuu 2014????

Miaka 22 !!! Form six atakuwa alipata division 4.

Mount Meru University sawa na Open University
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ