Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Je, umewahi kusikia kuhusu kijana aliyekuwa na ndoto ya kutawala dunia na akaifanya iwe kweli
Hii si hadithi ya kubuni, bali ni historia halisi ya Alexander the Great, mfalme kijana aliyetikisa dunia yote kabla hata hajafikisha miaka 33. Kutoka Macedonia hadi Egypt hadi India, alishinda vita mfululizo bila kushindwa hata mara moja. Alikuwa mwerevu wa vita, jasiri kupita kawaida na mwenye ndoto kubwa kuliko wakati wake.
Lakini nyuma ya ushindi wake kulikuwa na usaliti, maumivu na tamaa ya nguvu isiyo na mipaka. Kama unapenda historia za kweli, vita vya kusisimua na safari za mafanikio makubwa, basi hii ni story usiyo faa kukosa.