Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

Ungemfananisha na nani hapa nchini kabla ya kwenda mbali
 
Jeshi lililomtoa madarakani idd amin ni jeshi la tanzania sio la uganda! Elewa vzr, wale walikuwa vibaraka tuh na sio jeshi rasmi la uganda
Mbona jwtza hawakupata upinzani toka Kwa wananchi wa Uganda
 
Kumbe habari yako ni chanzo cha mtu mmoja? Ukawadharau wengine wote kuanzia Waganda?
Ulitaka akwambie kuwa alikuwa mbaya?
 
Huku kwetu tulifundishwa na wimbo kabisa kwamba IDD AMIN AKIFA MIMI SIWEZI KULIA NITAMTUPA KAGERA AWE CHAKULA CHA MAMBA... R.I.P Mwamba
Pia walitundisha kwamba eti KAMBONA kaolewa uingereza kwenye Ile nyimbo kisa tu hakukubaliana na mawazo yao ya kijamaa.

Cha ajabu mawazo ya Sasa tunayoyaishi ndio alioyokuwa nayo KAMBONA 1960'S

JUST IMAGINE tungefuata mawazo ya KAMBONA miaka Ile.

Kuingia jeshi vitani vita ya kijinga Yan kutafuta misifa wakati diplomasia tu ingeweza tumika. Kumeturudisha nyuma kama TAIFA kiuchumi hadi Leo effects zake tunaziishi.

Pengine this time hii nchi ingekuwa superpower hapa AFRICA Ikila sahani Moja na misri, Nigeria, na south Africa.

Leo hata hata wachimbachumvi wakenya hatuwawezi.

Na zaidi viongozi wengi tuliona nao Sasa wanajenha dynasties za kiuchumi za kifamilia zao kwanza.

Damn it
 
Malengo ya hayati Idd Amin yalikuwa ni kuhakikisha kila raia wa uganda anafurahia matunda ya uhuru wa Uganda.
Ni vizuri kabla hamjapost kitu muwe mnajiridhisha kwa kufanya angalau ka utafiti kidogo. Mfano, unaweza kumwambia mamaangu mzazi kuwa Idd Amin alikuwa mzuri wakati Askari wake walifika nyumbani kwao na kumchukua babaake mwake 1973 na hadi leo hawajui alipotelea wapi?
 
Nipe vyanzo vya habar hizo

Brother, hii nchi ina vijana wa ajabu sana siku hizi. Wanaamini zaidi masimulizi wanayoyasikia kwenye vijiwe kuliko kusoma au kufuatilia historia.

Sidhani hata kama walishawahi kuketi chini na kuwahoji askari wetu walioiteka Kampala kwamba walikuta nini kwenye Ikulu ya Idi Amin (Nile Mansions Lodge), pale kwenye gereza la Nagasero au Makao Makuu ya 'Wasiojulikana' wa Amin (State Research Bureau).

Na sina uhakika kama walifatilia kumbukizi ya kuuawa kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Katiba na Sheria wa Uganda enzi za Idi Amin, Dr.Benedict Kiwanuka, iliyofanyika hivi majuzi pale Kampala na kuhudhuriwa na Rais Yoweri Museveni. Kama wangefatilia wangepata picha fulani kuhusu huyo Amin wanayemtetea.
 
Japo mimi sio mganda ila nilikua namkubali sana Idi Amin, alifaa kuwa rais wetu haswaa tukawapa nyerere
 

Walikuta nini kwenye ikulu?

Hivi na wewe unaamini alikua anakula nyama ya binaadam!
 
Nmewahi kumuuliza veteran flan badoo yupo hai aliyekuwa na cheo kipindi cha vita hiyooo....huwez amin CHANZO CHA VITA YA TZ NA UGANDA NI UGOMVI WA BAR kati ya askar wachache wa tz na askar wachache wa UGANDA....
 
Nmewahi kumuuliza veteran flan badoo yupo hai aliyekuwa na cheo kipindi cha vita hiyooo....huwez amin CHANZO CHA VITA YA TZ NA UGANDA NI UGOMVI WA BAR kati ya askar wachache wa tz na askar wachache wa UGANDA....
Wengi dunian tunalishwa matango pori kuhusu vita, fikiria tu vita ya ukraine na urusi bahat mbaya ukrain akashinda nini kingetokea kuhusu putin? Wangekuwa wanamsemaje?

Binasfir sikukubali kulishwa matango pori na wazungu hata vita ya kwanza ya dunia, eti hitler ni gaidi

Kuna kaulia alisema hitler kwamba anauwezo wakuwauwa wa israel wote dunian lkn hato fanya hivyo kwasababu anataka kuwabakisha wachache ambao wataihakikishia dunia kwamba kwann waliuwawa miaka ya hitler!, aisee waisrael n wasumbufu wanakeraaa wanaonea wanyonge usk na mchana wanaitawala dunia waitakavyo, wana roho mbayaa na ukiingia kwenye 18 zao uchomoki

Kwa ujinga wetu tu tukalazimishww kumuona nyerere ni shujaaa alf idd amin ni gaidi

Kwa ujinga wetu tukaaminishwa putin ni mbaya lkn ukraine ni shujaa

Kwa upumbavu wetu tukaaminishwa gadafi ni adui wetu na marekani ndio demokrasia ya kwel

Kwa kuto kufikiri tukaambiwa sadamu hussein ni gaidi tena wenye nyuklia nyingi na kunyongwa na tukaaminishwa marekani anailinda aman ya dunia hii

Kwa kutotumia akili tukaaminishwa sadm hussain ni gaidi na ndiye alilipua jengo refu duniani na kuwauwa watu wengi kumbe ni mechezo yao wenyewe

Mpaka lini tutakuwa wajinga kiasi hiki kwa kupokea story za friction kiasi hiki???

Hakuna sababu ya msingi yyte ya vita kuu ya kimbali nnchini Rwanda 1994

Hakuna sababu ya msingi ya kipekee ya Africa kuwa maskini kiasi hiki!

Yan mpaka kesho mtanzania anaamini Yesu ni mzungu na kwa ujinga huo wakakuamnisha iddi amin ni gaidi
Tuache ujinga uliokisiri kiasi hicho! Tutoke usingizini, kwenye black tuseme black na kwenye white tuseme white, full STOP
 
What a crap, ni sawa na binti ambaye amekaa miaka mingi bila kuonewa, akutane na njemba imbake apate mimba, akijifungua! Amshukuru Yule mbakaji!!!!
What a twisted way of thinking!
 

Nikisema utasema lete ushahidi. Hivyo msimamo wangu ni kwamba watafute makamanda walio hai waliopigana vita vile watakwambia.

Kwahiyo hao makamanda wako walio hai walikueleza waliyoyaona?
 
What a crap, ni sawa na binti ambaye amekaa miaka mingi bila kuonewa, akutane na njemba imbake apate mimba, akijifungua! Amshukuru Yule mbakaji!!!!
What a twisted way of thinking!
Atamshukuru baada ya matokeo ya hio mimba mfano mtoto akaja kuwa baraka na faraja katika maisha yake ataachaje kumshukuru mbakaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…