Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

Idd Amin alihojiwa alipokuwa uhamishoni Saudi Arabia, kwanini aliondoa jeshi lisiendelee kupigana.Alimjibu mwandishi kuwa hakuona sababu ya kupigana kuiangamiza Kampala ambayo ilikuwa ndio kitovu cha uchumii wa nchi ya Uganda. Hakutaka raia wake wa Uganda wapate maafa zaidi hivyo aliamua kuondoka uhamishoni na kuiacha uganda salama.

Idd Amin aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa hajawahi kumiliki akaunti ya benki nchi za nje tofauti na viongozi wengi wa kiafrika wa wakati huo pindi walipopata madaraka walihamisha fedha kupeleka katika nchi za nje.

Hayati Idd Amin Dada alikuwa ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na maslahi wa raia wake wa Uganda na Afrika kwa ujumla.
Ungemfananisha na nani hapa nchini kabla ya kwenda mbali
 
Jeshi lililomtoa madarakani idd amin ni jeshi la tanzania sio la uganda! Elewa vzr, wale walikuwa vibaraka tuh na sio jeshi rasmi la uganda
Mbona jwtza hawakupata upinzani toka Kwa wananchi wa Uganda
 
Amani iwe nanyi

Nimekuwa nikifuatilia sana historia na makala mbalimbali kuhusiana na maisha ya Mwamba wa Africa, Hayati Idd Amin Dada. Nilichokuja kugundua kuwa huyu jamaa alichukiwa sana na mabeberu kutokana na misimamo yake. Idd Amin alikuwa ni rais mwenye misimamo na uchungu na nchi yake ya Uganda.

Toka kipindi alipoipindua serikali ya Milton Obote, mwaka 1971, Idd Amin alifanya kazi kubwa kuhakikisha rasilimali za Uganda zinabaki kuwanufaisha waganda na si vinginevyo. Aliingia madarakani na kukuta asilimia kubwa ya uchumi wa Uganda ukishikiliwa na Wahindi ambao walikuwa hawainufaishi uganda kwa lolote zaidi ya kutorosha pesa na kuzipeleka kwao India au uingereza. Idd Amin baada ya kuliona hilo akaamua kuja na sera ya kuwatimua Wahindi ndani ya ardhi ya Uganda ndani ya siku 90 tu aliwataka waondoke nchini humo na kuacha rasilimali zote ziwanufaishe Waganda.

Biashara kubwa zote katika jiji la Kampala zilikuwa zikishikiliwa na Wahindi ambao kiuhalisia ni wabaguzi. Idd Amin aliwahi kuhojiwa kwanini amefikia uamuzi wa kuwatimua wahindi mwaka 1972, alijibu wazi kuwa haoni umuhimu wa uganda kuendelea kuwa na watu ambao hawataki kuwa waganda bali walikuwa wanataka tu kuendelea kuinyonya Uganda . Serikali ya Idd Amin iliwapa chaguo wahindi hao wapewe uraia wa uganda lakini asilimia kubwa walikataa wakitaka wabaki na passport za Uingereza , na pia alisema kuwa wahindi ni watu wabaguzi hawataki kujichanganya na jamii zingine kama katika suala la kuoa/kuolewa ,wao wanataka kuendeleza asili yao tu. Hivyo Idd Amin aliona bora waondoke waelekee kwao india au uingereza waiache Uganda kwa Waganda.

Ujasiri huu ndio ulimfanya Robert Mugabe aige tukio hili na kuwatimua wazungu katika ardhi ya Zimbabwe na kuwamilikisha wananchi wa zimbabwe rasilimali za Zimbabwe.

Wazungu walimchukia Idd Amin kutokana na siasa zake za kutetea maslahi ya waafrika hivyo waliamua kumuundia zengwe na hatimaye walimtoa Idd Amin kupitia jeshi la Tanzania mwaka 1979.

Idd Amin alihojiwa alipokuwa uhamishoni Saudi Arabia, kwanini aliondoa jeshi lisiendelee kupigana.Alimjibu mwandishi kuwa hakuona sababu ya kupigana kuiangamiza Kampala ambayo ilikuwa ndio kitovu cha uchumii wa nchi ya Uganda. Hakutaka raia wake wa Uganda wapate maafa zaidi hivyo aliamua kuondoka uhamishoni na kuiacha uganda salama.

Idd Amin aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa hajawahi kumiliki akaunti ya benki nchi za nje tofauti na viongozi wengi wa kiafrika wa wakati huo pindi walipopata madaraka walihamisha fedha kupeleka katika nchi za nje.

Hayati Idd Amin Dada alikuwa ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na maslahi wa raia wake wa Uganda na Afrika kwa ujumla.

Daima Afrika itakukumbuka kwa ushujaa wako.
Kumbe habari yako ni chanzo cha mtu mmoja? Ukawadharau wengine wote kuanzia Waganda?
Ulitaka akwambie kuwa alikuwa mbaya?
 
Huku kwetu tulifundishwa na wimbo kabisa kwamba IDD AMIN AKIFA MIMI SIWEZI KULIA NITAMTUPA KAGERA AWE CHAKULA CHA MAMBA... R.I.P Mwamba
Pia walitundisha kwamba eti KAMBONA kaolewa uingereza kwenye Ile nyimbo kisa tu hakukubaliana na mawazo yao ya kijamaa.

Cha ajabu mawazo ya Sasa tunayoyaishi ndio alioyokuwa nayo KAMBONA 1960'S

JUST IMAGINE tungefuata mawazo ya KAMBONA miaka Ile.

Kuingia jeshi vitani vita ya kijinga Yan kutafuta misifa wakati diplomasia tu ingeweza tumika. Kumeturudisha nyuma kama TAIFA kiuchumi hadi Leo effects zake tunaziishi.

Pengine this time hii nchi ingekuwa superpower hapa AFRICA Ikila sahani Moja na misri, Nigeria, na south Africa.

Leo hata hata wachimbachumvi wakenya hatuwawezi.

Na zaidi viongozi wengi tuliona nao Sasa wanajenha dynasties za kiuchumi za kifamilia zao kwanza.

Damn it
 
Malengo ya hayati Idd Amin yalikuwa ni kuhakikisha kila raia wa uganda anafurahia matunda ya uhuru wa Uganda.
Ni vizuri kabla hamjapost kitu muwe mnajiridhisha kwa kufanya angalau ka utafiti kidogo. Mfano, unaweza kumwambia mamaangu mzazi kuwa Idd Amin alikuwa mzuri wakati Askari wake walifika nyumbani kwao na kumchukua babaake mwake 1973 na hadi leo hawajui alipotelea wapi?
 
Nipe vyanzo vya habar hizo

Brother, hii nchi ina vijana wa ajabu sana siku hizi. Wanaamini zaidi masimulizi wanayoyasikia kwenye vijiwe kuliko kusoma au kufuatilia historia.

Sidhani hata kama walishawahi kuketi chini na kuwahoji askari wetu walioiteka Kampala kwamba walikuta nini kwenye Ikulu ya Idi Amin (Nile Mansions Lodge), pale kwenye gereza la Nagasero au Makao Makuu ya 'Wasiojulikana' wa Amin (State Research Bureau).

Na sina uhakika kama walifatilia kumbukizi ya kuuawa kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Katiba na Sheria wa Uganda enzi za Idi Amin, Dr.Benedict Kiwanuka, iliyofanyika hivi majuzi pale Kampala na kuhudhuriwa na Rais Yoweri Museveni. Kama wangefatilia wangepata picha fulani kuhusu huyo Amin wanayemtetea.
 
Japo mimi sio mganda ila nilikua namkubali sana Idi Amin, alifaa kuwa rais wetu haswaa tukawapa nyerere
 
Brother, hii nchi ina vijana wa ajabu sana siku hizi. Wanaamini zaidi masimulizi wanayoyasikia kwenye vijiwe kuliko kusoma au kufuatilia historia.

Sidhani hata kama walishawahi kuketi chini na kuwahoji askari wetu walioiteka Kampala kwamba walikuta nini kwenye Ikulu ya Idi Amin (Nile Mansions Lodge), pale kwenye gereza la Nagasero au Makao Makuu ya 'Wasiojulikana' wa Amin (State Research Bureau).

Na sina uhakika kama walifatilia kumbukizi ya kuuawa kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Katiba na Sheria wa Uganda enzi za Idi Amin, Dr.Benedict Kiwanuka, iliyofanyika hivi majuzi pale Kampala na kuhudhuriwa na Rais Yoweri Museveni. Kama wangefatilia wangepata picha fulani kuhusu huyo Amin wanayemtetea.

Walikuta nini kwenye ikulu?

Hivi na wewe unaamini alikua anakula nyama ya binaadam!
 
Nmewahi kumuuliza veteran flan badoo yupo hai aliyekuwa na cheo kipindi cha vita hiyooo....huwez amin CHANZO CHA VITA YA TZ NA UGANDA NI UGOMVI WA BAR kati ya askar wachache wa tz na askar wachache wa UGANDA....
 
Wengi dunian tunalishwa matango pori kuhusu vita, fikiria tu vita ya ukraine na urusi bahat mbaya ukrain akashinda nini kingetokea kuhusu putin? Wangekuwa wanamsemaje?

Binasfir sikukubali kulishwa matango pori na wazungu hata vita ya kwanza ya dunia, eti hitler ni gaidi

Kuna kaulia alisema hitler kwamba anauwezo wakuwauwa wa israel wote dunian lkn hato fanya hivyo kwasababu anataka kuwabakisha wachache ambao wataihakikishia dunia kwamba kwann waliuwawa miaka ya hitler!, aisee waisrael n wasumbufu wanakeraaa wanaonea wanyonge usk na mchana wanaitawala dunia waitakavyo, wana roho mbayaa na ukiingia kwenye 18 zao uchomoki

Kwa ujinga wetu tu tukalazimishww kumuona nyerere ni shujaaa alf idd amin ni gaidi

Kwa ujinga wetu tukaaminishwa putin ni mbaya lkn ukraine ni shujaa

Kwa upumbavu wetu tukaaminishwa gadafi ni adui wetu na marekani ndio demokrasia ya kwel

Kwa kuto kufikiri tukaambiwa sadamu hussein ni gaidi tena wenye nyuklia nyingi na kunyongwa na tukaaminishwa marekani anailinda aman ya dunia hii

Kwa kutotumia akili tukaaminishwa sadm hussain ni gaidi na ndiye alilipua jengo refu duniani na kuwauwa watu wengi kumbe ni mechezo yao wenyewe

Mpaka lini tutakuwa wajinga kiasi hiki kwa kupokea story za friction kiasi hiki???

Hakuna sababu ya msingi yyte ya vita kuu ya kimbali nnchini Rwanda 1994

Hakuna sababu ya msingi ya kipekee ya Africa kuwa maskini kiasi hiki!

Yan mpaka kesho mtanzania anaamini Yesu ni mzungu na kwa ujinga huo wakakuamnisha iddi amin ni gaidi
Tuache ujinga uliokisiri kiasi hicho! Tutoke usingizini, kwenye black tuseme black na kwenye white tuseme white, full STOP
 
Every action as equal positive result.
Nilikutana na Mhindi Fulani Canada alisema wanashukuru idii amini na mwalimu kuwafukuza East Africa Canada na UK zikawapokea waliondoka masikini wakiingia nchi hizo ndani ya mda mfupi kwa uchapakazi wao wakawa matajiri Tena.
What a crap, ni sawa na binti ambaye amekaa miaka mingi bila kuonewa, akutane na njemba imbake apate mimba, akijifungua! Amshukuru Yule mbakaji!!!!
What a twisted way of thinking!
 
Wengi dunian tunalishwa matango pori kuhusu vita, fikiria tu vita ya ukraine na urusi bahat mbaya ukrain akashinda nini kingetokea kuhusu putin? Wangekuwa wanamsemaje?

Binasfir sikukubali kulishwa matango pori na wazungu hata vita ya kwanza ya dunia, eti hitler ni gaidi

Kuna kaulia alisema hitler kwamba anauwezo wakuwauwa wa israel wote dunian lkn hato fanya hivyo kwasababu anataka kuwabakisha wachache ambao wataihakikishia dunia kwamba kwann waliuwawa miaka ya hitler!, aisee waisrael n wasumbufu wanakeraaa wanaonea wanyonge usk na mchana wanaitawala dunia waitakavyo, wana roho mbayaa na ukiingia kwenye 18 zao uchomoki

Kwa ujinga wetu tu tukalazimishww kumuona nyerere ni shujaaa alf idd amin ni gaidi

Kwa ujinga wetu tukaaminishwa putin ni mbaya lkn ukraine ni shujaa

Kwa upumbavu wetu tukaaminishwa gadafi ni adui wetu na marekani ndio demokrasia ya kwel

Kwa kuto kufikiri tukaambiwa sadamu hussein ni gaidi tena wenye nyuklia nyingi na kunyongwa na tukaaminishwa marekani anailinda aman ya dunia hii

Kwa kutotumia akili tukaaminishwa sadm hussain ni gaidi na ndiye alilipua jengo refu duniani na kuwauwa watu wengi kumbe ni mechezo yao wenyewe

Mpaka lini tutakuwa wajinga kiasi hiki kwa kupokea story za friction kiasi hiki???

Hakuna sababu ya msingi yyte ya vita kuu ya kimbali nnchini Rwanda 1994

Hakuna sababu ya msingi ya kipekee ya Africa kuwa maskini kiasi hiki!

Yan mpaka kesho mtanzania anaamini Yesu ni mzungu na kwa ujinga huo wakakuamnisha iddi amin ni gaidi
Tuache ujinga uliokisiri kiasi hicho! Tutoke usingizini, kwenye black tuseme black na kwenye white tuseme white, full STOP

Nikisema utasema lete ushahidi. Hivyo msimamo wangu ni kwamba watafute makamanda walio hai waliopigana vita vile watakwambia.

Kwahiyo hao makamanda wako walio hai walikueleza waliyoyaona?
 
What a crap, ni sawa na binti ambaye amekaa miaka mingi bila kuonewa, akutane na njemba imbake apate mimba, akijifungua! Amshukuru Yule mbakaji!!!!
What a twisted way of thinking!
Atamshukuru baada ya matokeo ya hio mimba mfano mtoto akaja kuwa baraka na faraja katika maisha yake ataachaje kumshukuru mbakaji
 
Back
Top Bottom