Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

Historia ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Hayati Idd Amin Dada imepotoshwa sana. Uganda haitakuja kupata tena Rais mwenye misimamo kama yule

Huyu akishangaa imekuaje pale
sami.jpg
 
Alikuwa mtoto wa dawa yaani nusu binadamu nusu jinni
 
Sahihi kabisa, sijawahi kusikia Watu wakizungumzia mazuri ya Idi Amin hata kama ni machache.
 
Sana tu .propaganda zilipikwa kusema kula alikuwa akila nyama za watu
1.Kabila analotoka Idi Amin, yaani Wakwaka, walikuwa (na baadhi yao hata sasa) tabia ya kula nyama ya mtu waliyemuua kwa Imani kwamba ukifanya hivyo mizimu ya uliyemuua haitakuandama, usipokula utaandamwa na mizimu yake hadi uombe poo. Hivyo inawezekana naye alikula kwa misingi hiyo.

2.Uganda leo hii 2023 kuna maeneo ukijichanganya unaliwa supu. Bodaboda wengi wa Bukoba wanaoenda Uganda wamekuwa wakiliwa supu, na human flesh pale Uganda iko expensive. Hilo lingeshindikana miaka ya 1970s?

3.Idi Amin alikuwa na rafiki yake,dikteta mwenzake kutoka Central Africa Republic, Jean Bedel Bokassa, ambaye alikuwa akila nyama za watu na alikuwa hajifichi kuhusu hilo. Kumbe Africa walikuwepo viongozi wa hivi! Kumbe hata Amin pengine kweli alikuwa hivyo...si mnajua ndege wafananao mabawa huruka pamoja?
 
Watoto mliozaliwa miaka ya 1980 na kuendelea mnasimuliana na kuongopeana tu. Ulizeni wazee wenu wawasimulie wanayoyafahamu.
 
Watoto mliozaliwa miaka ya 1980 na kuendelea mnasimuliana na kuongopeana tu. Ulizeni wazee wenu wawasimulie wanayoyafahamu.
Kusema kweli hawa vijana wanadanganyana sana. Hawajui hata kwanini Mariam Amin (mke wa Idi Amin) aliikimbia ndoa. Mtu anamuua mjomba wa mkewe, huyo mke bado atajiona yuko salama kwenye hiyo ndoa? Na ndugu watamuelewaje, kwamba unaendelea kuishi na huyo mume ina maana umefurahi mjomba'ako kuuawa siyo?
 
Yule alikuwa mzalendo wa kweli aliyegusa maslahi ya Waingereza na Israel akatengenezewa zengwe. Sisi tukahusika kama pawns.

Tulianza kumchokoza Amin toka mwaka 1972 tuliporuhusu waasi washambulie Uganda kutokea katika ardhi yetu.
Aisee kumbe kuna mengi tunafichwaga kwenye hii nchi
 
Every action as equal positive result.
Nilikutana na Mhindi Fulani Canada alisema wanashukuru idii amini na mwalimu kuwafukuza East Africa Canada na UK zikawapokea waliondoka masikini wakiingia nchi hizo ndani ya mda mfupi kwa uchapakazi wao wakawa matajiri Tena.
 
Sasa matiki ya kutufudisha mabaya kumhusu ilikuwa Nini,

Nyimbo kama VAJANA MSILALE LALE BADO MAPAMBANO, IDD AMIN AKIFA SIWEZI KULIA NITAMTUPA KAGERA AWE CHAKULA CHA MAMBA, na ile speech uchwara ya NIA YA KUMPIGA TUNAYO, UWEZO TUNAO, SABABU TUNAZO viikiwa Nini??????????????
 
Aisee kumbe kuna mengi tunafichwaga kwenye hii nchi
Kuna mazuri alifanya lakini kuna mabaya mengi alifanya, hapo sasa ni suala la kupima kipi kinazidi kingine. Kwa kifupi hata Shetani mwenyewe ana mazuri na mabaya yake. Kuna watu wamegeuka wafuasi wa Shetani kwasababu anawapa mema yake (utajiri,Madaraka,n.k) ila wengine wamemkataa kwasababu wanaona ana mabaya mengi kuliko mema. Ndo ilivyo pia kwa Idi Amin Dada.
 
Sasa matiki ya kutufudisha mabaya kumhusu ilikuwa Nini,

Nyimbo kama VAJANA MSILALE LALE BADO MAPAMBANO, IDD AMIN AKIFA SIWEZI KULIA NITAMTUPA KAGERA AWE CHAKULA CHA MAMBA, na ile speech uchwara ya NIA YA KUMPIGA TUNAYO, UWEZO TUNAO, SABABU TUNAZO viikiwa Nini??????????????
Speech uchwara ilhali ilifaulu lengo lake ukilinganisha na speeches za Idi Amin?
 
Kulikuwa na haja gan kuivamia Kagera , mi nafkr madikteta wengi huwa Wana uchungu na nchi zao Ila huwa wanakosa akili na busara , nafkr ghadafi alikuwa Bora sana
Hakuna viashiria vyovyote vilivyowahi kuoneshwa wazi kwamba idd amin aluwahi kuwa na interest na kagera hakipo! Hizo ni story za kupikwa na ikawa chanzo cha yy kutoka madarakani! Ukielewa mauwaji ya kimbali ya mwaka 1994 basi utakuwa unaelewa na hili
 
Angekuwa na historia mzuri wananchi wake wasingeungana kumpinga
Hakuna mganda aliyeinua mkono wake kutamka wazi wazi kwamba hawamtaki idd amin, story nyingi ni zakutungwa sana
 
Hakuna mganda aliyeinua mkono wake kutamka wazi wazi kwamba hawamtaki idd amin, story nyingi ni zakutungwa sana
Sasa mbona waliwapa ushirikino wa kutosha wanajeshi wa Tza.
Hawakusimama na iddi walipvamiwa
 
Sasa mbona waliwapa ushirikino wa kutosha wanajeshi wa Tza.
Hawakusimama na iddi walipvamiwa
Jeshi lililomtoa madarakani idd amin ni jeshi la tanzania sio la uganda! Elewa vzr, wale walikuwa vibaraka tuh na sio jeshi rasmi la uganda
 
1.Kabila analotoka Idi Amin, yaani Wakwaka, walikuwa (na baadhi yao hata sasa) tabia ya kula nyama ya mtu waliyemuua kwa Imani kwamba ukifanya hivyo mizimu ya uliyemuua haitakuandama, usipokula utaandamwa na mizimu yake hadi uombe poo. Hivyo inawezekana naye alikula kwa misingi hiyo.

2.Uganda leo hii 2023 kuna maeneo ukijichanganya unaliwa supu. Bodaboda wengi wa Bukoba wanaoenda Uganda wamekuwa wakiliwa supu, na human flesh pale Uganda iko expensive. Hilo lingeshindikana miaka ya 1970s?

3.Idi Amin alikuwa na rafiki yake,dikteta mwenzake kutoka Central Africa Republic, Jean Bedel Bokassa, ambaye alikuwa akila nyama za watu na alikuwa hajifichi kuhusu hilo. Kumbe Africa walikuwepo viongozi wa hivi! Kumbe hata Amin pengine kweli alikuwa hivyo...si mnajua ndege wafananao mabawa huruka pamoja?
Noma sana!
 
Back
Top Bottom