Mbuguni TPC
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 535
- 405
Huyu akishangaa imekuaje pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Kabila analotoka Idi Amin, yaani Wakwaka, walikuwa (na baadhi yao hata sasa) tabia ya kula nyama ya mtu waliyemuua kwa Imani kwamba ukifanya hivyo mizimu ya uliyemuua haitakuandama, usipokula utaandamwa na mizimu yake hadi uombe poo. Hivyo inawezekana naye alikula kwa misingi hiyo.Sana tu .propaganda zilipikwa kusema kula alikuwa akila nyama za watu
Watoto mliozaliwa miaka ya 1980 na kuendelea mnasimuliana na kuongopeana tu. Ulizeni wazee wenu wawasimulie wanayoyafahamu.
Kusema kweli hawa vijana wanadanganyana sana. Hawajui hata kwanini Mariam Amin (mke wa Idi Amin) aliikimbia ndoa. Mtu anamuua mjomba wa mkewe, huyo mke bado atajiona yuko salama kwenye hiyo ndoa? Na ndugu watamuelewaje, kwamba unaendelea kuishi na huyo mume ina maana umefurahi mjomba'ako kuuawa siyo?
Aisee kumbe kuna mengi tunafichwaga kwenye hii nchiYule alikuwa mzalendo wa kweli aliyegusa maslahi ya Waingereza na Israel akatengenezewa zengwe. Sisi tukahusika kama pawns.
Tulianza kumchokoza Amin toka mwaka 1972 tuliporuhusu waasi washambulie Uganda kutokea katika ardhi yetu.
Kuna mazuri alifanya lakini kuna mabaya mengi alifanya, hapo sasa ni suala la kupima kipi kinazidi kingine. Kwa kifupi hata Shetani mwenyewe ana mazuri na mabaya yake. Kuna watu wamegeuka wafuasi wa Shetani kwasababu anawapa mema yake (utajiri,Madaraka,n.k) ila wengine wamemkataa kwasababu wanaona ana mabaya mengi kuliko mema. Ndo ilivyo pia kwa Idi Amin Dada.Aisee kumbe kuna mengi tunafichwaga kwenye hii nchi
Speech uchwara ilhali ilifaulu lengo lake ukilinganisha na speeches za Idi Amin?Sasa matiki ya kutufudisha mabaya kumhusu ilikuwa Nini,
Nyimbo kama VAJANA MSILALE LALE BADO MAPAMBANO, IDD AMIN AKIFA SIWEZI KULIA NITAMTUPA KAGERA AWE CHAKULA CHA MAMBA, na ile speech uchwara ya NIA YA KUMPIGA TUNAYO, UWEZO TUNAO, SABABU TUNAZO viikiwa Nini??????????????
Hakuna viashiria vyovyote vilivyowahi kuoneshwa wazi kwamba idd amin aluwahi kuwa na interest na kagera hakipo! Hizo ni story za kupikwa na ikawa chanzo cha yy kutoka madarakani! Ukielewa mauwaji ya kimbali ya mwaka 1994 basi utakuwa unaelewa na hiliKulikuwa na haja gan kuivamia Kagera , mi nafkr madikteta wengi huwa Wana uchungu na nchi zao Ila huwa wanakosa akili na busara , nafkr ghadafi alikuwa Bora sana
Hakuna mganda aliyeinua mkono wake kutamka wazi wazi kwamba hawamtaki idd amin, story nyingi ni zakutungwa sanaAngekuwa na historia mzuri wananchi wake wasingeungana kumpinga
Sasa mbona waliwapa ushirikino wa kutosha wanajeshi wa Tza.Hakuna mganda aliyeinua mkono wake kutamka wazi wazi kwamba hawamtaki idd amin, story nyingi ni zakutungwa sana
Jeshi lililomtoa madarakani idd amin ni jeshi la tanzania sio la uganda! Elewa vzr, wale walikuwa vibaraka tuh na sio jeshi rasmi la ugandaSasa mbona waliwapa ushirikino wa kutosha wanajeshi wa Tza.
Hawakusimama na iddi walipvamiwa
Noma sana!1.Kabila analotoka Idi Amin, yaani Wakwaka, walikuwa (na baadhi yao hata sasa) tabia ya kula nyama ya mtu waliyemuua kwa Imani kwamba ukifanya hivyo mizimu ya uliyemuua haitakuandama, usipokula utaandamwa na mizimu yake hadi uombe poo. Hivyo inawezekana naye alikula kwa misingi hiyo.
2.Uganda leo hii 2023 kuna maeneo ukijichanganya unaliwa supu. Bodaboda wengi wa Bukoba wanaoenda Uganda wamekuwa wakiliwa supu, na human flesh pale Uganda iko expensive. Hilo lingeshindikana miaka ya 1970s?
3.Idi Amin alikuwa na rafiki yake,dikteta mwenzake kutoka Central Africa Republic, Jean Bedel Bokassa, ambaye alikuwa akila nyama za watu na alikuwa hajifichi kuhusu hilo. Kumbe Africa walikuwepo viongozi wa hivi! Kumbe hata Amin pengine kweli alikuwa hivyo...si mnajua ndege wafananao mabawa huruka pamoja?
Tunaomba proof kwenye hilo mkuu!Noma sana!