Bashatu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 834
- 885
najibu swali la pili la kwa nini Bitcoin ni expensive sana?Jumaaofficial block chain ni nini?
Kwann bitcoin ni expensive sana??
Kila kitu kinapokuwa limited supply, na kikawa highly demanded, basi kinapanda value. Bitcoin ni expensive na itazidi kuwa expensive kwa sababu ipo subjected to market demand only. Kadiri watu wanavyoitumia zaidi ndivyo inavyozidi kuwa na thamani kubwa, ikumbukwe kuwa Bitcoin supply ipo limited to 21,000,000. Mpaka sasa zipo 16.7 million bitcoin ambazo zimekuwa relesed na ndizo zinazunguka.
Hii ni tofauti na pesa nyingine kama TZS, USD, GBP ambazo huwa zinatengenezwa na Central Banks kila mara ili kuongeza supply yake.