Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Jumaaofficial block chain ni nini?
Kwann bitcoin ni expensive sana??
najibu swali la pili la kwa nini Bitcoin ni expensive sana?
Kila kitu kinapokuwa limited supply, na kikawa highly demanded, basi kinapanda value. Bitcoin ni expensive na itazidi kuwa expensive kwa sababu ipo subjected to market demand only. Kadiri watu wanavyoitumia zaidi ndivyo inavyozidi kuwa na thamani kubwa, ikumbukwe kuwa Bitcoin supply ipo limited to 21,000,000. Mpaka sasa zipo 16.7 million bitcoin ambazo zimekuwa relesed na ndizo zinazunguka.
Hii ni tofauti na pesa nyingine kama TZS, USD, GBP ambazo huwa zinatengenezwa na Central Banks kila mara ili kuongeza supply yake.
 
Jumaaofficial block chain ni nini?
Kwann bitcoin ni expensive sana??
Blockchain niwallet yakuhifadhi bitcoin zako hii ndio wallet ambayo watu wengi wanaipenda kwasababu ni rahisi kuitumia na tranfication fee ni ndogo.

e2f088f95890afebb2cc0173de816747.jpg

Hata mimi natumie wallet ya blockchain.

Faida wanazopata blockchian kwenye transifation unapoa fanya muamala wakutuma bitcoin wanataka athilimia kadhaa.
 
kwa hiyo Mkuu Jumaaofficial leo tu portifolio yako imekua kwa 14%!! naona imefika dollar 11,400 kwa bitcoin. Kwa kweli kuweka pesa bank ni hasara
 
Will it reach 13,000 before next year or re-rate?
anything is possible, may be $20,000 as it is controlled by demand forces only. Also as governments print more money and impose taxes, more firms accepting it, bitcoin and other cryptos will gain more popularity and eventually value. this is indeed internet world.
 
Unaweza kujiunga na sierrahash buree ukaanza unapewa 150 GH/s km ukitaka kuongeza mapato GH/s unadeposit minimum ni 0.001 amyo ni km dola 11 kaz kwako
 
Hii pesa inasemwa haina central authority au sio?

Who is making bit coin? and how does they mine it? Nataka kujua because i think this sort of currency is vulnerable
 
Hii pesa inasemwa haina central authority au sio?

Who is making bit coin? and how does they mine it? Nataka kujua because i think this sort of currency is vulnerable
Hii pesa haina mwenye nayo transaction Inategemea peer to peer ( sharing of resource on the network without depending on central administration systems) hivyo unaposema una mine hiyo ina maana kuwa una verfy transaction km ni halali ama sio halali km sio halali bas inakataa
Na hiinpesa zilitengenezwa na hao wasiojulikana toka japan wanaitwa SATOSHI NAKAMOTO

Bitcoin
 
Nimesoma, nimeona kuwa ni open source software, meaning yoyote anaweza kuimodify to their needs. nataka kujua, ukiachilia Satoshi, who was the second to have bitcoins, and how did he/she/they acquire it? nataka nijue possibilites ya uzalishaji wa hizi bitcoins, how they got them ukiachilia kwa hao Satoshi. Sijui kama utakuwa umenielewa hapa mana ukweli i dont know the easy way to explain it
 
Bitcoin zinapatikana kwa kumine kwa kutumia hardware mbali mbali kama antiminer s9 ambazo zinakuwa connected na pc na pc inakuwa connected na internet n.k ukitaka kuelewa zaidi unaweza kugoogle/youtube au subiri wajuzi zaidi waje
IMG_20171204_140935.jpg
 
Kati ya blockchain na localbitcoin. ipi ni nzuri kufungua wallet na yenye urahisi wa kuuza na kununua??
 
Kuna kitu uko sahihi,
Kua ni mfumo mpya wa ki pesa unaofanyika online,

Ila kuna kitu pia hauko sahihi,
Kua Unapanda thamani kwa kasi,

Kwa sasa Bitcoin imekua ikiyumba kidogo kwa thamani kwani kuna wakati ilifika mpaka BTC1 = $4,900 ila kwa sasa imeshuka mpaka $ 3,800

Na sasa ni 14,000 usd as we speak
 
Whaaat, jana sijaangalia exchange ya bitcoin. Kumbe imehit $ 15,000
Hii kitu ni noma kama una mkwanja unaweza kuinvest huku na kupiga pesa za hatar leo tar 8/12/17 inasoma $16721
Screenshot_2017-12-08-10-47-11.png
 
Blockchain niwallet yakuhifadhi bitcoin zako hii ndio wallet ambayo watu wengi wanaipenda kwasababu ni rahisi kuitumia na tranfication fee ni ndogo.

e2f088f95890afebb2cc0173de816747.jpg

Hata mimi natumie wallet ya blockchain.

Faida wanazopata blockchian kwenye transifation unapoa fanya muamala wakutuma bitcoin wanataka athilimia kadhaa.
mm naomba maelezo namna ya kudeposit kwenye hii wallet.
 
Naomba kujua ofisi ya dar inayohusiana na masula ya bitcoin club ipo wapi?
 
Naomba kujua ofisi ya dar inayohusiana na masula ya bitcoin club ipo wapi?
Kuna mambo mawili unatakiwa uyatofautishe kwanza bitcoin ni kitu kingine na Bitclub ni kitu kingine, yaani Bitcoin ni Pesa ya kidigitali mojawapo ya cryptocurrencies na Bitclub ni Mining Pool Company inayojihusisha na Bitcoin Mining, ipo Asia,Europe na nchi za Africa kuna South Africa,Kenya,Zimbabwe,Uganda,Ghana,Nigeria na nchi nyingine, kwa Tanzania bado hawajaweka office official ila kuna baadhi ya members wao wapo huku.
 
Back
Top Bottom