Firecracker
Member
- May 21, 2017
- 51
- 45
Yes. Ingia www.localbitcoins.com unaweza kununua na kuuza kwa mpesa, tigopesa, airtelmoney nk..hivi hakuna uwezekano wa kubuy na kusell bitcoins kwa Tsh currency??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Ingia www.localbitcoins.com unaweza kununua na kuuza kwa mpesa, tigopesa, airtelmoney nk..hivi hakuna uwezekano wa kubuy na kusell bitcoins kwa Tsh currency??
Uliyemuuzia ndo anakutumia ela mpesa ndo unarelease hizo bitcoins kwenda kwake. Kila kitu kinafanyika kwenye system ya website hapo juu. Kaz yako ni kuupdate profile yako na kuweka namba kwa ajili ya malipoNashukuru sana mkuu
Lakini kitu kingine napenda kujua kwamfano nikiwa na bitcoins kadhaa kwenye bitcoins wallet yangu ni process zipi nazifanya mpaka natoa kama salio kwenye mobile money like M-pesa,tigo pesa n.k
[emoji106]Uliyemuuzia ndo anakutumia ela mpesa ndo unarelease hizo bitcoins kwenda kwake. Kila kitu kinafanyika kwenye system ya website hapo juu. Kaz yako ni kuupdate profile yako na kuweka namba kwa ajili ya malipo
Kwa kuwa wewe ni Thomaso Basi nenda "KIGOOGO" ujionee mwenyewe.................!!!Habari waungwana[emoji1538]
Niende moja kwa moja kwenye mada husika, hivi hii Bitcoin ndio kitu gani? Hivi hii kitu inauzika huku kwetu Tanzania? na je nikitaka kuingia kwenye hiyo kitu inakuwaje? (Ata kama ni haramu huku kwetu)
Hivi kuna wadau huku wamewahi jihusisha na hii kitu? Eti mlianzaje? Hivi ina tofauti na Betting au gambling?? na ni kivipi??
Haya shukrani nyote, nasubiri michango yenu.
Nb: na mim ni Thomaso sikubali adi nijionee
Utanilipa Tsh nikupe shule kuhusu uwekezaji wa bitcoin and all Cryptocurrence?
Pambana na hali yako.Elimu ya mwafrika inayohusisha 'Ada' huwa siiamini mkuu.
Kwa kuwa wewe ni Thomaso Basi nenda "KIGOOGO" ujionee mwenyewe.................!!!
Pambana na hali yako.
Google Bhana aaaaaaaaaaaaah...............!!! mbona hamjiongezi........? Halafu unataka Kuijua BITCOIN.....................!!! Bitcoin 1 = Usd 20,000Kigoogo ya wapi mkuu au ni hii ya hapa hapa daslamu
Achana na FOMO - Fear Of Missing Out - Woga wa kupitwa.
Kaa tulia, fanya vitu vilivyo kwenye uwezo wake.
Google Bhana aaaaaaaaaaaaah...............!!! mbona hamjiongezi........? Halafu unataka Kuijua BITCOIN.....................!!! Bitcoin 1 = Usd 20,000
Nenda kwa Wapiga dili wamo humu JF watakupa semina ya kulipia kwa USD 99.
Hivi we mzee kule ulikokuwa unawaponda na hichi unachokifanya kipi ni afadhari??? Wivu wa kike mbaya sanaUtanilipa Tsh nikupe shule kuhusu uwekezaji wa bitcoin and all Cryptocurrence?