Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Nashukuru sana mkuu
Lakini kitu kingine napenda kujua kwamfano nikiwa na bitcoins kadhaa kwenye bitcoins wallet yangu ni process zipi nazifanya mpaka natoa kama salio kwenye mobile money like M-pesa,tigo pesa n.k
 
Uliyemuuzia ndo anakutumia ela mpesa ndo unarelease hizo bitcoins kwenda kwake. Kila kitu kinafanyika kwenye system ya website hapo juu. Kaz yako ni kuupdate profile yako na kuweka namba kwa ajili ya malipo
 
Habari waungwana[emoji1538]

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, hivi hii Bitcoin ndio kitu gani? Hivi hii kitu inauzika huku kwetu Tanzania? na je nikitaka kuingia kwenye hiyo kitu inakuwaje? (Ata kama ni haramu huku kwetu)

Hivi kuna wadau huku wamewahi jihusisha na hii kitu? Eti mlianzaje? Hivi ina tofauti na Betting au gambling?? na ni kivipi??

Haya shukrani nyote, nasubiri michango yenu.

Nb: na mim ni Thomaso sikubali adi nijionee
 
Kwa kuwa wewe ni Thomaso Basi nenda "KIGOOGO" ujionee mwenyewe.................!!!
 
Utanilipa Tsh nikupe shule kuhusu uwekezaji wa bitcoin and all Cryptocurrence?
 
Achana na FOMO - Fear Of Missing Out - Woga wa kupitwa.

Kaa tulia, fanya vitu vilivyo kwenye uwezo wako.
 
Achana na FOMO - Fear Of Missing Out - Woga wa kupitwa.

Kaa tulia, fanya vitu vilivyo kwenye uwezo wake.

Kwaio nisiji update mkuu??, ndio maana nkauliza maswali ya jumla lengo ni kutaka kufahamu (elimu) na elimu si tumeagizwa na vitabu vitakatifu tuitafite popote ilipo ama??
 
Nenda kwa Wapiga dili wamo humu JF watakupa semina ya kulipia kwa USD 99.
 
Back
Top Bottom