Historia ya Daraja la Selander la Jijini Dar es Salaam

Kajima wamejenga. Kabla ya Hilo unaloliona lilikuwa lingine la zamani. Nenda pale utakuta kwenye nguzo moja ina bango lenye majibu ya swali lako. Likifunguliwa na Salim Ahamed salim. Wakati huo akiwa waziri mkuu WA serikali ya awamu ya kwanza.
 
Hivi yule jamaa aliyekuwa anashika watu mikono wanakuwa na manyoya mwili mzima mlimpeleka wapi ..!

Dar inapitia majaribu,mara popobawa,dengue,zika,mafuriko,panya road,watu kunasana....
 
Nadhani mzee wetu Said Mohamed "mzee wa historia ya dsm" anaweza kutusaidia baadhi ya maswali haya.
 
Sababu ya kujenga kile kituo cha polisi pale ni mchonga kutegeshewa bomu kipindi kile cha vita baridi.. Hata hivyo alighairi kupita dakika za mwisho alikuwa anaelekea Kawe ana Lugalo jeshini nadhani
Ilikuwa mwaka gani?
Na jilo bomu liligunduliwaje, au lililipuka?
 
Mkuu wewe ni mjinga sanaaa ,badala ya kujibi swali hilo umeanza kukejeli et kitu cha kawaida are u serious kweli ???
Hebu mkuu kuwa na akili bana unazingua sanaaaaa.
Usirudie tena tabia zako za ajabu..
 
Asanteni sana kwa wote mliochangia kwa njia moja au nyingine!

Ngoja nitafute taarifa za huyu John Einar Selander anaweza kusaidia kupatikana taarifa zaidi!!

Total length 85 metres (279 ft)

Opened 1929

INABIDI WATAALAMU WETU WA SIKU HIZI WAJIFUNZE KITU HAPA' (85 METERS, 279 FT) SI MCHEZO!!
 
Wajenzi waliachwa wakatumia Taaluma zao vizuri bila kuingiliwa na Wana Siasa uchwara, panapokua na Siasa kila kitu kinafeli, mfano Hostel za Mlimani, DART offices pale Jangwani, ujenzi wa hospital ya Simiyu
Kuna watu bila kujadili kisiasa hamjisikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…