Historia ya Dkt John Pombe Magufuli

Historia ya Rais aliyetawala kuanzia mwaka 2015 - 2021 ni ngumu kuipata historia yake ingali tuko mwaka 2021 je ikifika 2050 itakuaje?
 
Wanajua wanachokifanya si kwamba Mambo ya akina Harry Truman na viongozi wengine duniani historia zinavyoandaliwa hawajui?wanajua Sana wanachofanya
 
Tunayaona mkuu
 
Historia ya Rais aliyetawala kuanzia mwaka 2015 - 2021 ni ngumu kuipata historia yake ingali tuko mwaka 2021 je ikifika 2050 itakuaje?

Tatizo la waafrika tunaficha mengi tofauti na wenzetu ambao asili ya mtu ni sifa kubwa na heshima
Angalia Wayahudi waliokimbia vita miaka ya nyuma na Irish waliohamia USA na pia Italians waliopo huko
Hawaachi asili yao na pia hawawezi kuficha wao ni nani na hata wanafika kuwa Maraisi kwa asili zao hizo hizo na wanakubalika

Sisi ni tofauti kwani kuna woga wa kujisema au tuseme ubaguzi ni mwingi sana kwetu
Naona mtu anajificha kataja asili yake na hajulikani kama ni black ila kama ni taifa lingine kama waarabu au Wahindi au Wasomali ni rahisi kuwajua na hata kuwatenga kama ikitokea hivyo

Sijui kama tutarudi kwenye utamaduni wetu wa zamani kujisifia asili
Miaka ya nyuma sana nilisoma na watoto ambao wazazi wao walikuwa wanasema kabisa wao ni Wanyasa toka Malawi na wengine toka Zambia na waliishi kama waTz tu na watoto kushika nyadhifa kubwa kubwa tu

Inasikitisha sana
 
Historia ya Rais aliyetawala kuanzia mwaka 2015 - 2021 ni ngumu kuipata historia yake ingali tuko mwaka 2021 je ikifika 2050 itakuaje?
Lakini niliyo weka ukijumuisha na video hiyo inaujazo kidogo
 
Kweli mkuu
 
Kweli. Hata ukisoma profiles za The New Yorker, sehemu inayohusu kuzaliwa huwa inakuwa katikati huko ya makala sio mwanzo.
 
Tatizo wao hawaweki wazi wakiwa hai
Wanajua wanachokifanya si kwamba Mambo ya akina Harry Truman na viongozi wengine duniani historia zinavyoandaliwa hawajui?wanajua Sana wanachofanya
 
Mkuu mleta mada je ndugu JPM alizaliwa peke yake katika familia ya bi Suzan? Na je Kama anao ndugu wengine wapo wapi na wanafanya Nini? Natanguliza shukran.
 
Mkuu mleta mada je ndugu JPM alizaliwa peke yake katika familia ya bi Suzan? Na je Kama anao ndugu wengine wapo wapi na wanafanya Nini? Natanguliza shukran.
Asante mkuu,
Familia ya Suzan haina mtoto mmoja ambaye ni Magufuli, bali kuna watoto wengine ila hapo juu ilikuwa inarejewa historia ya Magufuli.

Hivyo nipe mda mkuu kufuatilia Historia ya Suzan ambaye ni mama mzazi wa Magufuli, hivyo tutawajua na wengine.
 
Asante mkuu kwa kutujuza hilo.
Hivyo tumalize kwa kusema marais wa Tanzania Elimu zao zina mashaka
 
Asante mkuu kwa kutujuza hilo.
Hivyo tumalize kwa kusema marais wa Tanzania Elimu zao zina mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…