Historia ya Dkt John Pombe Magufuli

Historia ya Dkt John Pombe Magufuli

Kumbe na wewe umeliona?
Nimejiuliza sana pindi niliposoma eti walihamia Chato
Sasa huyo aliewahamisha (Baba) hajulikani na alifanya kazi gani maana naona kaibuka Pombe tu

Ninavyojua historia huwa inaandikwa mpaka baba na hata kazi zake na hata Babu
Ila uhamiaji kiboko wakikuvalia njuga utaulizwa mpaka makaburi ya wahenga wote
Historia ya Rais aliyetawala kuanzia mwaka 2015 - 2021 ni ngumu kuipata historia yake ingali tuko mwaka 2021 je ikifika 2050 itakuaje?
 
Umenikumbusha kitabu cha historia ya rais wa zamani wa Marekani Harry S. Truman, kimeandikwa na muandishi nguli David McCullough. Kinaitwa "Truman". Kimetolewa mwaka 1992. Kitabu hiki pia kilifanyiwa sinema ya kampuni ya HBO.

Katika kitabu hicho, kilichoshinda nishani ya Pulitzer, muandishi David McCullough kabla ya kuanza kukupa historia ya Truman anaanza kukupa historia ya familia yake kwanza ilivyoingia na kuhamahama Marekani.

Yani kabla ya kuelezwa kuhusu Truman, unaelezwa kuhusu family tree ya Truman kwanza.

Ukija kufika kwa Truman mwenyewe inakuwa kama ushajengewa msingi wa kuanza kuelewa mtoto atakayezaliwa katika mlolongo huu anaweza kuwa vipi.

Ulivyoitaja hii point moja kwa moja nikakumbuka hicho kitabu. Hapo ndipo unaweza kuona tofauti ya muandishi nguli anayepata nishani ya Pulitzer na muandishi anayelipua lipua tu.
Wanajua wanachokifanya si kwamba Mambo ya akina Harry Truman na viongozi wengine duniani historia zinavyoandaliwa hawajui?wanajua Sana wanachofanya
 
Tunayaona mkuu
 
Historia ya Rais aliyetawala kuanzia mwaka 2015 - 2021 ni ngumu kuipata historia yake ingali tuko mwaka 2021 je ikifika 2050 itakuaje?

Tatizo la waafrika tunaficha mengi tofauti na wenzetu ambao asili ya mtu ni sifa kubwa na heshima
Angalia Wayahudi waliokimbia vita miaka ya nyuma na Irish waliohamia USA na pia Italians waliopo huko
Hawaachi asili yao na pia hawawezi kuficha wao ni nani na hata wanafika kuwa Maraisi kwa asili zao hizo hizo na wanakubalika

Sisi ni tofauti kwani kuna woga wa kujisema au tuseme ubaguzi ni mwingi sana kwetu
Naona mtu anajificha kataja asili yake na hajulikani kama ni black ila kama ni taifa lingine kama waarabu au Wahindi au Wasomali ni rahisi kuwajua na hata kuwatenga kama ikitokea hivyo

Sijui kama tutarudi kwenye utamaduni wetu wa zamani kujisifia asili
Miaka ya nyuma sana nilisoma na watoto ambao wazazi wao walikuwa wanasema kabisa wao ni Wanyasa toka Malawi na wengine toka Zambia na waliishi kama waTz tu na watoto kushika nyadhifa kubwa kubwa tu

Inasikitisha sana
 
Lakini niliyo weka ukijumuisha na video hiyo inaujazo kidogo
 
Kweli mkuu
 
Umenikumbusha kitabu cha historia ya rais wa zamani wa Marekani Harry S. Truman, kimeandikwa na muandishi nguli David McCullough. Kinaitwa "Truman". Kimetolewa mwaka 1992. Kitabu hiki pia kilifanyiwa sinema ya kampuni ya HBO.

Katika kitabu hicho, kilichoshinda nishani ya Pulitzer, muandishi David McCullough kabla ya kuanza kukupa historia ya Truman anaanza kukupa historia ya familia yake kwanza ilivyoingia na kuhamahama Marekani.

Yani kabla ya kuelezwa kuhusu Truman, unaelezwa kuhusu family tree ya Truman kwanza.

Ukija kufika kwa Truman mwenyewe inakuwa kama ushajengewa msingi wa kuanza kuelewa mtoto atakayezaliwa katika mlolongo huu anaweza kuwa vipi.

Ulivyoitaja hii point moja kwa moja nikakumbuka hicho kitabu. Hapo ndipo unaweza kuona tofauti ya muandishi nguli anayepata nishani ya Pulitzer na muandishi anayelipua lipua tu.

Kweli. Hata ukisoma profiles za The New Yorker, sehemu inayohusu kuzaliwa huwa inakuwa katikati huko ya makala sio mwanzo.
 
Tatizo wao hawaweki wazi wakiwa hai
Wanajua wanachokifanya si kwamba Mambo ya akina Harry Truman na viongozi wengine duniani historia zinavyoandaliwa hawajui?wanajua Sana wanachofanya
 
Mkuu mleta mada je ndugu JPM alizaliwa peke yake katika familia ya bi Suzan? Na je Kama anao ndugu wengine wapo wapi na wanafanya Nini? Natanguliza shukran.
 
Asante mkuu,
Familia ya Suzan haina mtoto mmoja ambaye ni Magufuli, bali kuna watoto wengine ila hapo juu ilikuwa inarejewa historia ya Magufuli.

Hivyo nipe mda mkuu kufuatilia Historia ya Suzan ambaye ni mama mzazi wa Magufuli, hivyo tutawajua na wengine.
 
Seminary alifukuzwa kw akufeli

Form Six alifeli akaenda kusomea ualimu

Ni mwalimu wa sekondari,most lowly profession of anybody

Chuo Kikuu aliingia mature entry

Alifeli PhD,marehemu Ben Saanane ana ushahidi na kilichopelekea kifo chake

Hana IQ kubwa...

Those are FACTS

I'm sorry you are sad to hear them but are FACTSSSS!
Asante mkuu kwa kutujuza hilo.
Hivyo tumalize kwa kusema marais wa Tanzania Elimu zao zina mashaka
 
Back
Top Bottom