Historia ya Kabila la Wahaya

Aaaaah ! Mkuu hebu muogope Mungu , mimi ni mhaya na nyumbani kwa Babu yangu ni bukoba vijijini , jina la kijiji nimelihifadhi , kwenye hicho kijiji hakuna barabara , huduma ya maji watu wanachota kwenye chemchemi , umeme , huduma ya afya na shule ni majanga na watu ni walevi wa pombe za kienyeji na ni masikini wa kutupwa , nyumba ni za hovyo , nyingi ni mabanda ya nyasi na tope chache sana ndo unakuta mtu kajenga mjengo wa maana , it is simply a ghost town to put it into perspective , hebu niambie ni kijiji gani hicho ulichotembelea ukakuta hakuna nyumba ya nyasi..........Tatizo la wahaya ni dharau na nyodo unakuta mtu anakaa kwenye banda la mbuzi halafu anashupaza shingo , kiufupi I'm not proud of my ethnicity as a Haya
 
asante mkuu kwa kusemaukweli
ukitaka kujua wahaya wakoje angakia pale bukoba mjin palivyokaa kishamba
yaan mji hauna daladala n maajabu,standi ya mabasi INA madimbi utadhan bwawa mjin vumbi tupu sasa huko vijijin si ndo balaa
 
Watu wamekata tamaa, maana kila wakijitahidi kujitutumua wapate maendeleo serikali yao wenyewe inawarudisha chini.
 
Umenikumbusha Wahaya wa pale Mwananyamala A!
 
Nimefanya Kazi Na Mwijage Muleba Kaskazini,rweikiza Bukoba Vijijini Na Kote Huko Nimezunguka Vijiji Vyote Kiufupi Mleta Uzi Huijui Kagera
 
Nimefanya Kazi Na Mwijage Muleba Kaskazini,rweikiza Bukoba Vijijini Na Kote Huko Nimezunguka Vijiji Vyote Kiufupi Mleta Uzi Huijui Kagera
wanaumwa funza bado
 
True
Hawa watu duh!
 
Nielekeze vizur mkuu nitembelee hicho kiwanda. Hivo vitu tumeumbiwa
 
Are you sure for what you are talking?.Bukoba ipi unaiongelea?.
Bukoba inahitaji kukombolewa sana kiroho.Ni mkoa ambao haufanani na uhalisia.Watu wanaishi locally sana they bealive much in superstitions than God hasa huko unakosema wewe vijijini.
Ni heri ukaoa mke wa kihaya una neema kuliko ndugu yako akaolewa na muhaya.Siku mkienda au ukaenda kutambulishwa ndipo utajuta na wanaume wengi wahaya wamezaa na wanawake kabila tofauti na kuwaoa hawaendi kuwatambulisha kwao tatizo lipo hapo.
Sina nia mbaya ila uvivu pia ni mkubwa maana hata vibarua wa kukata miwa bukoba kiwandani si wahaya wenyeji hawataki hiyo kazi sasa utawasifiaje watu kama hao.
Simamia ukweli nitakuelewa ila ukweli 70% mnaoolewa na wahaya mko utumwani sana hawajakombolewa sana hasa vijijini ni shida,matambiko mtindo mmoja uchawi balaaa.Duuuuh hapana.
 
Wewe fara kweli hao sio wahaya sisi tunajitambua wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…