majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
sijui atakuwa anazungumzia Kagera ya wapi masikini.mwambie asome takwimu
mkoa wa kagera n.mkoa wa tatu kwa umaskini tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui atakuwa anazungumzia Kagera ya wapi masikini.mwambie asome takwimu
mkoa wa kagera n.mkoa wa tatu kwa umaskini tz
Ukizungumza Kilimanjaro kama mkoa usisahau maeneo yote ya Upareni halafu ndo useme . Uchagani kwa maana ya Marangu , baadhi ya maeneo ya Rombo , Kibosho , Uru na old Moshi ndo kuna hiyo miundo mbinu kwenye baadhi ya maeneo lakini Upareni panahitaji tu kuhurumiwa .Nimetembea Tanzania yote bara na visiwani, Kilimanjaro ndiyo mkoa pekee ambao ni shida sana kukuta nyumba ya nyasi vijijini. Hawa watu wana maji ya bomba mpaka vijijini, umeme na sehemu kubwa barabara za lami ziko mpaka vijijini. Huduma za jamii kama vile shule na hospitali ziko za kutosha kila kijiji. Kimsingi Kilimanjaro ni mkoa ambao umeendelea sana
tatizo hamjielewi, watu Kagera tunaifahamu vizuri hafu jamaa anakuja kutudanganya mchana kweupeUkizungumza Kilimanjaro kama mkoa usisahau maeneo yote ya Upareni halafu ndo useme . Uchagani kwa maana ya Marangu , baadhi ya maeneo ya Rombo , Kibosho , Uru na old Moshi ndo kuna hiyo miundo mbinu kwenye baadhi ya maeneo lakini Upareni panahitaji tu kuhurumiwa .
Ndugu zangu wana JF mimi nadhani hakuna mkoa hapa Tanzania ambao uko vizuri . Mtazamo wa jumla kama nchi bado kuna umasikini wa kupindukia . Kuna kazi kubwa ya kufanya kufikia maendeleo ya uhakika .
Mleta mada aliamua tu kuleta mada ili kusikia matusi watakayotukanwa Wahaya , maana nafikiri ndo kabila linawezakuwa linaongozwa kwa kuchukiwa humu JF . Inawezekana wahaya ndo sababu ya nchi kutokuendelea . Labda wanastahili matusi wanayotukanwa . Sina uhakika . Mungu tu Aziangazie akili zetu tupate maendeleo badala kumalizia stresses zetu kwa kabila moja .
Wewe wa mkoa gani?Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .
Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.
Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
Kwa hiyo buguruni sokoni badala ya kuuzwa vyakula wauzwa wahaya!!Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya
Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.
Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.
Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Kwa hio huyu ni mkeo sio?Huyu hamna tofauti na mke wangu
Masaa yote ni kujisifia,wahaya mna kazi
Big up shemeji
hakikaNaongezea tu kuwa wahaya kutoka bukoba hawana maji kama wengi wanavyodhani.
bukoba naifahamu vyema,stand yenu pale kwakweli n kituko kama wlivyosema mdau mmoja hapo juu ndgu jenerali kibibiKuna mdau mmoja anasema kuwa tohara ndo maendeleo ya eneo ila nashangaa operation yote ya pangusa mkono wa sweta inazunguka nchi mzima! Mwingine anasema wadada kujiuza ndo kuna wakilisha watu kuwa masikini basi coffee shop zinazolipa kodi kabisa katika nchi za wa zisingekuwepo, anazungumzia barabara kuwa zina vumbi, aniambie kutokea Dar mpaka Kagera mpakani mpaka Mutukula wapi kuna barabaraba ya vumbi? Kuhusu stand ya mabasi ya mkoa nadhani Morogoro,Singida na Kigoma mjini ndo wana stand mzuri. Kuhusu daradara na njia zinazozunguka mjia nadhani huyu hata bukoba mjini na viuga vyake havijui vizuri! Ila nadhani wanakashifu / kupinga wangetuambia wanatokea mkoa gani! Pili labda mleta mada angetuambia yeye katoa hoja kulinganisha na wapi? Most of them wanasema huu mkoa kitofuati wanaendeshwa na mihemko ya kinadharia au psychological mob + Lombroso theory but tukitumia kitu kinachoitwa symbolic interaction huwezi sema vitu kama hivyo.
kagera n mkoa wa tatu maskini huku biharamulo ikiwa n wilaya ya pili maskiniHapo ndo nashangaa sijui wahaya waliwafanyia nini atuelewi kabisaaaaaaaa Hivi kama umepita Dodoma (acha pale mjini kuzunguka viunga vya bunge) pako hovyo nyumba utadhani wanaishi wakongo fupi kama nini then ni Za nyasi, singida hovyo tabora Nayo Yale Yale Sasa njoo hapa morogoro nilipo huu ukanda wa Kikaguru kuanzia gairo mpaka dumila aseeeeeee kuna Hali mbaya kwanza Mtandao Shida, miundombinu hovyo Mvua ikinyesha kama Huko Na Safari sahau kabisaaaaaaaa, Jamani mbna hawa huwa amsemi!!!!
ingiq web ya wizara ya fedha jisomee mwenyew usije sema unapotoshwaUngeleta hizi hizo data zenye hiyo fact tungekuelewa zaidi ndg umezungumia Habari ya hotel kutokuwepo Hivi umefika koloping hotel hiko juu mlimani kashura, wapi Victoria hotel,walkgard annex hotel, oxygen hotel, nyingine hiko nyamkazi vile kama sikosei hiko jirani Na kanisa la eagt nimeisahau jina coz kitambo nimetoka
Sema unatokea mkoa gani ili tukutuonyeshe hali ya eneo lile? Nilienda Kilimanjaro airport nilisikitika sana kweli hii ndo airport ambayo wataliii wengi wanapitia! Poor infrastructure!! Nenda Rombo huone pombe unavyowaharibu vijana kwa wazee mpaka wanawake wanafanya kuimport wanaume kutoka Kenya! Hii Kilimanjaro tunayoisema kama hakutafanyika mpango mkakati wa kunusuru vijana kuachana na ulevi kuna janga kubwa litatokea. Angalia mkoa wa Mara kuna nini kule cha maendeleo? Stand yao umeiona?bukoba naifahamu vyema,stand yenu pale kwakweli n kituko kama wlivyosema mdau mmoja hapo juu ndgu jenerali kibibi
kwa mujibu was
takwimu za wizara ya fedha n mkoa wa tatu kwa umaskini
bukoba haina hadhi ya kuitwa manispaa
hebu nenda Kilimanjaro pitia wilaya zote moja moja uone jinsi watu walivyoporomosha mijengo vijijin ikipambwa na migomba na kahawa,kule n kitu cha kawaida mifugo kukaa ktk nyumba za block
twende kwa twkwimuSema unatokea mkoa gani ili tukutuonyeshe hali ya eneo lile? Nilienda Kilimanjaro airport nilisikitika sana kweli hii ndo airport ambayo wataliii wengi wanapitia! Poor infrastructure!! Nenda Rombo huone pombe unavyowaharibu vijana kwa wazee mpaka wanawake wanafanya kuimport wanaume kutoka Kenya! Hii Kilimanjaro tunayoisema kama hakutafanyika mpango mkakati wa kunusuru vijana kuachana na ulevi kuna janga kubwa litatokea. Angalia mkoa wa Mara kuna nini kule cha maendeleo? Stand yao umeiona?
Unajua kitu kinachoitwa misuse of resources? Umeletewa nishati ya umeme karibu ila kuitumia ndo tatizo ni sawa na wewe kusema mifugo yako unaiwekea umeme. Labda kwa kuku wa nyama ndo tunafanya hivyo kwa ajiri ya joto has a hawa kuku wa kisasa.twende kwa twkwimu
kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha Kilimanjaro n mkoa wa pili kwa maisha bora pmj na makaz bora
hiyo rombo unayoisema ulionaje miundombnu yake? uliona Yale majumba yalivyojengwa huko kwenye migomba?, uliona jinsi mifugo inavyolala ktk nyumba za block zenye umeme? Fanya utafiti tembea wilaya zote Kilimanjaro ujionee makaz bora na ya kisasa sio kama kule kwenu misenyi
utafiti hupingwa kwa utafiti mkuuNenda kusini kuanzia pale mikindani ,tandahimba ,newala ,kitama mpaka mtama maisha ni magumu maji na chakula ni shida. Sasa anzia Tunduru,Namtumbo mpaka Nyasa ndo utajionea Tanzania yetu bado tuna safari ndefu. Kwa Nenda Iringa kule Mufindi au Njombe Makete ! Tembea Chunya au Kule Usangu na Ubaruku mbeya! Ndo mana nasema hawa watafiti wetu sijui wanatumia njia gani katika kukusanya takwimu zao? Mwaka gani Kagera walipelekewa chakula cha msaada? Kimeletwa kipindi cha tetemeko na bado watu wamegoma kukichukua! Pamoja na changamoto za migomba kuharibiwa na ugonjwa wa Nyauko bado wanajitahidi kupambana.