Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

Nimetembea Tanzania yote bara na visiwani, Kilimanjaro ndiyo mkoa pekee ambao ni shida sana kukuta nyumba ya nyasi vijijini. Hawa watu wana maji ya bomba mpaka vijijini, umeme na sehemu kubwa barabara za lami ziko mpaka vijijini. Huduma za jamii kama vile shule na hospitali ziko za kutosha kila kijiji. Kimsingi Kilimanjaro ni mkoa ambao umeendelea sana
Ukizungumza Kilimanjaro kama mkoa usisahau maeneo yote ya Upareni halafu ndo useme . Uchagani kwa maana ya Marangu , baadhi ya maeneo ya Rombo , Kibosho , Uru na old Moshi ndo kuna hiyo miundo mbinu kwenye baadhi ya maeneo lakini Upareni panahitaji tu kuhurumiwa .
Ndugu zangu wana JF mimi nadhani hakuna mkoa hapa Tanzania ambao uko vizuri . Mtazamo wa jumla kama nchi bado kuna umasikini wa kupindukia . Kuna kazi kubwa ya kufanya kufikia maendeleo ya uhakika .
Mleta mada aliamua tu kuleta mada ili kusikia matusi watakayotukanwa Wahaya , maana nafikiri ndo kabila linawezakuwa linaongozwa kwa kuchukiwa humu JF . Inawezekana wahaya ndo sababu ya nchi kutokuendelea . Labda wanastahili matusi wanayotukanwa . Sina uhakika . Mungu tu Aziangazie akili zetu tupate maendeleo badala kumalizia stresses zetu kwa kabila moja .
 
tatizo hamjielewi, watu Kagera tunaifahamu vizuri hafu jamaa anakuja kutudanganya mchana kweupe
 
Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .

Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.

Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
Wewe wa mkoa gani?
 
Wahaya gani unawazungumzia mimi uzuli nimekaa sana wahaya

Nipo nao hapa manzese darajani yaani wengi wao wananiambia wanajuta kuzaliwa bukoba kwa sababu kuna hali ngumu ya maisha ndio maana wengiiii wanaona bora waje mjini kupiga biashara ya ngono.

Biashara ambayo wanapanga nyumba nzima wanaigawa katika vyumba huku wakiuzaaa papuchii elfu 2 baoo mojaa pamoja na chumba na pia hata baadhi wanaume wanatoa kwa bei cheeee.

Kama kuna mtu anabisha ajee manzese darajani au aende mwananyamala hospitali au buguruni sokoni au temeke hospitaliii .
Kwa hiyo buguruni sokoni badala ya kuuzwa vyakula wauzwa wahaya!!
 
Mod nimechoka na hoja za kudhalilisha Wahaya. Natamani kufungua kesi dhidi ya JF na wote wanaodhalilisha kabila letu.
 
Tena nyinyi baadhi mnaoonekana eti kuisema Kilimanjaro basi kwa taarifa yenu huu mkoa ndo maskini kupita kiwango. Huwezi kuwa na vyuo vyoote vile, ukawa na uwanja mkubwa wa ndege A.mashariki, ukawa na mlima mrefu Afrika alafu bado mkawa mko vile, huu ni umasikini.

Kanda ya ziwa ilikuwa na ziwa tu pekee yake kabla halijabinafsishwa miaka 18 lakini uchumi wake ulikuwa hatari na hii miaka 18 yote laiti lile ziwa lisingebinafsishwa leo kule pangekuwa habari nyingine.

Yaani mkoa wenye barabara za lami tokea miaka 20 iliyopita na leo lami ni 80% mkoani humo, bado mna watalii chungu nzima, bado mbio za marathoni n.k vyote viko huko alafu mnafikiria kujipima na mikoa mingine ...this is funny. Nina uhakika haya mambo yangekuwa yako katika mkoa mwingine basi kungekuwa Ulaya, si kwa rasirimali hizi, si kwa kubebwa huko.
 
Kuna mdau mmoja anasema kuwa tohara ndo maendeleo ya eneo ila nashangaa operation yote ya pangusa mkono wa sweta inazunguka nchi mzima! Mwingine anasema wadada kujiuza ndo kuna wakilisha watu kuwa masikini basi coffee shop zinazolipa kodi kabisa katika nchi za wa zisingekuwepo, anazungumzia barabara kuwa zina vumbi, aniambie kutokea Dar mpaka Kagera mpakani mpaka Mutukula wapi kuna barabaraba ya vumbi? Kuhusu stand ya mabasi ya mkoa nadhani Morogoro,Singida na Kigoma mjini ndo wana stand mzuri. Kuhusu daradara na njia zinazozunguka mjia nadhani huyu hata bukoba mjini na viuga vyake havijui vizuri! Ila nadhani wanakashifu / kupinga wangetuambia wanatokea mkoa gani! Pili labda mleta mada angetuambia yeye katoa hoja kulinganisha na wapi? Most of them wanasema huu mkoa kitofuati wanaendeshwa na mihemko ya kinadharia au psychological mob + Lombroso theory but tukitumia kitu kinachoitwa symbolic interaction huwezi sema vitu kama hivyo.
 
bukoba naifahamu vyema,stand yenu pale kwakweli n kituko kama wlivyosema mdau mmoja hapo juu ndgu jenerali kibibi
kwa mujibu was
takwimu za wizara ya fedha n mkoa wa tatu kwa umaskini
bukoba haina hadhi ya kuitwa manispaa
hebu nenda Kilimanjaro pitia wilaya zote moja moja uone jinsi watu walivyoporomosha mijengo vijijin ikipambwa na migomba na kahawa,kule n kitu cha kawaida mifugo kukaa ktk nyumba za block
 
Hapo ndo nashangaa sijui wahaya waliwafanyia nini atuelewi kabisaaaaaaaa Hivi kama umepita Dodoma (acha pale mjini kuzunguka viunga vya bunge) pako hovyo nyumba utadhani wanaishi wakongo fupi kama nini then ni Za nyasi, singida hovyo tabora Nayo Yale Yale Sasa njoo hapa morogoro nilipo huu ukanda wa Kikaguru kuanzia gairo mpaka dumila aseeeeeee kuna Hali mbaya kwanza Mtandao Shida, miundombinu hovyo Mvua ikinyesha kama Huko Na Safari sahau kabisaaaaaaaa, Jamani mbna hawa huwa amsemi!!!!
kagera n mkoa wa tatu maskini huku biharamulo ikiwa n wilaya ya pili maskini
ingia web ya wizara ya fedha
 
Ungeleta hizi hizo data zenye hiyo fact tungekuelewa zaidi ndg umezungumia Habari ya hotel kutokuwepo Hivi umefika koloping hotel hiko juu mlimani kashura, wapi Victoria hotel,walkgard annex hotel, oxygen hotel, nyingine hiko nyamkazi vile kama sikosei hiko jirani Na kanisa la eagt nimeisahau jina coz kitambo nimetoka
ingiq web ya wizara ya fedha jisomee mwenyew usije sema unapotoshwa
2_hivyo ulivyotaja hapo kule moshi tunaita lodge nyie ndio mnaona hotel ? unajua maana ya hotel?
 
bukoba naifahamu vyema,stand yenu pale kwakweli n kituko kama wlivyosema mdau mmoja hapo juu ndgu jenerali kibibi
kwa mujibu was
takwimu za wizara ya fedha n mkoa wa tatu kwa umaskini
bukoba haina hadhi ya kuitwa manispaa
hebu nenda Kilimanjaro pitia wilaya zote moja moja uone jinsi watu walivyoporomosha mijengo vijijin ikipambwa na migomba na kahawa,kule n kitu cha kawaida mifugo kukaa ktk nyumba za block
Sema unatokea mkoa gani ili tukutuonyeshe hali ya eneo lile? Nilienda Kilimanjaro airport nilisikitika sana kweli hii ndo airport ambayo wataliii wengi wanapitia! Poor infrastructure!! Nenda Rombo huone pombe unavyowaharibu vijana kwa wazee mpaka wanawake wanafanya kuimport wanaume kutoka Kenya! Hii Kilimanjaro tunayoisema kama hakutafanyika mpango mkakati wa kunusuru vijana kuachana na ulevi kuna janga kubwa litatokea. Angalia mkoa wa Mara kuna nini kule cha maendeleo? Stand yao umeiona?
 
Nenda kusini kuanzia pale mikindani ,tandahimba ,newala ,kitama mpaka mtama maisha ni magumu maji na chakula ni shida. Sasa anzia Tunduru,Namtumbo mpaka Nyasa ndo utajionea Tanzania yetu bado tuna safari ndefu. Kwa Nenda Iringa kule Mufindi au Njombe Makete ! Tembea Chunya au Kule Usangu na Ubaruku mbeya! Ndo mana nasema hawa watafiti wetu sijui wanatumia njia gani katika kukusanya takwimu zao? Mwaka gani Kagera walipelekewa chakula cha msaada? Kimeletwa kipindi cha tetemeko na bado watu wamegoma kukichukua! Pamoja na changamoto za migomba kuharibiwa na ugonjwa wa Nyauko bado wanajitahidi kupambana.
 
twende kwa twkwimu
kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha Kilimanjaro n mkoa wa pili kwa maisha bora pmj na makaz bora
hiyo rombo unayoisema ulionaje miundombnu yake? uliona Yale majumba yalivyojengwa huko kwenye migomba?, uliona jinsi mifugo inavyolala ktk nyumba za block zenye umeme? Fanya utafiti tembea wilaya zote Kilimanjaro ujionee makaz bora na ya kisasa sio kama kule kwenu misenyi
 
Hata ng'ombe wangu wanalala kwenye zizi liliozekwa vizuri na chini nawatandikia majani mabichi ambayo yanasaidia kukusanya kinyesi chao kwa urahisi. Ukienda mbeya kule Kyela unaweka kuwa umekaa sebuleni kwa mtu unaona mifugo inakatiza sebuleni kwenda sehemu yao ya kulala.
 
twende kwa twkwimu
kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha Kilimanjaro n mkoa wa pili kwa maisha bora pmj na makaz bora
hiyo rombo unayoisema ulionaje miundombnu yake? uliona Yale majumba yalivyojengwa huko kwenye migomba?, uliona jinsi mifugo inavyolala ktk nyumba za block zenye umeme? Fanya utafiti tembea wilaya zote Kilimanjaro ujionee makaz bora na ya kisasa sio kama kule kwenu misenyi
Unajua kitu kinachoitwa misuse of resources? Umeletewa nishati ya umeme karibu ila kuitumia ndo tatizo ni sawa na wewe kusema mifugo yako unaiwekea umeme. Labda kwa kuku wa nyama ndo tunafanya hivyo kwa ajiri ya joto has a hawa kuku wa kisasa.
 
Nenda kusini kuanzia pale mikindani ,tandahimba ,newala ,kitama mpaka mtama maisha ni magumu maji na chakula ni shida. Sasa anzia Tunduru,Namtumbo mpaka Nyasa ndo utajionea Tanzania yetu bado tuna safari ndefu. Kwa Nenda Iringa kule Mufindi au Njombe Makete ! Tembea Chunya au Kule Usangu na Ubaruku mbeya! Ndo mana nasema hawa watafiti wetu sijui wanatumia njia gani katika kukusanya takwimu zao? Mwaka gani Kagera walipelekewa chakula cha msaada? Kimeletwa kipindi cha tetemeko na bado watu wamegoma kukichukua! Pamoja na changamoto za migomba kuharibiwa na ugonjwa wa Nyauko bado wanajitahidi kupambana.
utafiti hupingwa kwa utafiti mkuu
kagera nimefka utafti unasadifu uhalisia kule ngara,misenyi,karagwe kuna nn?
vijumba vya nyas shax
angalau muleba kidgo wamejenga bkb vijijn n baadh tu kwingi n makazi duni na miunfombnu hovyo
pale bukb mjin panawachora n jins gan mlivyo,manispaa INA stand yw hovyo vile
manispaa haina daladala cjawwh ona
 
Back
Top Bottom